Ukipewa nafasi ya kumuondoa Waziri mmoja madarakani kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake ungemuondoa nani?

Wako wengi tuu
1.Dr.Kijaji
2.Jafo
3.DR.Gwajima
4.Mdumbaru
5.Pindi Chana
6.Utalii
 
Aikoooo! Kumuoondoa peke yake haitoshi utapeleka matatizo sehemu nyingine ondoa kabisa ule mwanasesere unaorembua rembua kwa kusifiwa kinafki.
 
Acha unafiki wewe, wengi wao wanapiga Hela, kama mwigulu tutampigia hesabu kama mshahara wake na safari na malupulupu mengine yanaendana na utajiri wake, hizi Hela mtatapika, Bado mda mchache
 
Acha unafiki wewe, wengi wao wanapiga Hela, kama mwigulu tutampigia hesabu kama mshahara wake na safari na malupulupu mengine yanaendana na utajiri wake, hizi Hela mtatapika, Bado mda mchache
chuki binafsi na gubu zako ziambatane na kuandamana nawe pekee ๐Ÿ’


hicho ndicho nikionacho mie kwa mawaziri....

ni uhuru wako kuona unacho kiona ....

na wala hakuna haja ya kughadabishwa na kuhemshwa na maoni na mitazamo ya wengine.

zaidi sana hamna maana yeyote na wala sio Lazima uonyeshe uteketeke wako katika siasa ๐Ÿ’

R.l.P Laigwanani comrade ENL
 
Bwashee, masela hapa kijiweni wanauliza, kwa kuwa rais naye ni sehemu ya baraza la mawaziri, naye yumo kwenye hilo kundi la wanaoweza kupigwa chini?
 
Dorothy Gwajima
 
NAPE https://jamii.app/JFUserGuide**g NNAUYE hili bogus tulipigwa big time.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ