Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wale unawawekea Kvant walewe tuKwahiyo hapo maana yake unamtoa kwanza PM ili baraza zima life si ndio?Mana kwakweli hakuna mmoja wote ni uozoo labda dada yangu Angellah Kairuki.
Sent from my SM-A107M using JamiiForums mobile app
Wako wengi tuuWakuu kwema, nyuki wa mama mpo?
Kama ukipewa nafasi ya kumuondoa Waziri mmoja kwenye nafasi yake kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake, na Waziri huyu asiweze kurudi tena kwenye nafasi nyingine ya uongozi, ungemuengua nani?
Mzee wa kuja na tozo za kila aina nakusalimu, Nape na wewe (bonus) una nafasi yako adhimu.
Ungekuwa na nafasi hiyo ungelamba kichwa cha nani?
Kwani tatizo la umeme ni Waziri? Jitokeze hadharani uombe nafasi upewe tuone kama umeme utawakaNishati umeme!!?unaweza ukaamua kuchapa mti hadi hasira ziishe!
Hii nchi Kuna watu wanatia hasira jamani nyie acheni TU!
Makatani mkuuHuyu sijampata Mkuu
Mimi ningekuwa na Hela mbona viongozi wezi wote ningeua wote,mana wanatulostisha, sema mpunga wenyewe hausomi ndio PONA yaodah ninge pewa kazi ya utoa Roho, mbona viongozi wenye hoja za uongo wange isoma namba.
Acha unafiki wewe, wengi wao wanapiga Hela, kama mwigulu tutampigia hesabu kama mshahara wake na safari na malupulupu mengine yanaendana na utajiri wake, hizi Hela mtatapika, Bado mda mchacheI think to be honest,
Mawaziri na manaibu waziri wote Tanzania wanatekeleza wajibu na majukumu yao kikamilifu sana kwa weledi, kasi na viwango vya juu mno.
Chuki na gubu binafsi ndio tatizo la wakosoaji wengi wa utendaji wa mawaziri humu nchini.
hata hivyo hali hiyo haikwepeki hususani kwa kiongozi yeyote mwenye dhamana ya uongozi kisiasa kwa umma [emoji205]
Muhimu kwa kiongozi makini ni kuchapa kazi kwa bidii sana, bila kuzingatia au kujali eruptions za deconstructive criticism bali kuzingatia constructive criticisms na kusonga mbele mwendo wa ngiri [emoji205]
R.I.P Laigwanani comrade ENL
chuki binafsi na gubu zako ziambatane na kuandamana nawe pekee 🐒Acha unafiki wewe, wengi wao wanapiga Hela, kama mwigulu tutampigia hesabu kama mshahara wake na safari na malupulupu mengine yanaendana na utajiri wake, hizi Hela mtatapika, Bado mda mchache
Dorothy GwajimaWakuu kwema, nyuki wa mama mpo?
Kama ukipewa nafasi ya kumuondoa Waziri mmoja kwenye nafasi yake kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake, na Waziri huyu asiweze kurudi tena kwenye nafasi nyingine ya uongozi, ungemuengua nani?
Mzee wa kuja na tozo za kila aina nakusalimu, Nape na wewe (bonus) una nafasi yako adhimu.
Ungekuwa na nafasi hiyo ungelamba kichwa cha nani?