Ukipewa nafasi ya kuongeza Sheria moja kwenye soka ungeongeza ipi?

Ukipewa nafasi ya kuongeza Sheria moja kwenye soka ungeongeza ipi?

Waongeze kadi ya ziada(black) ambayo mchezaji akipewa apumzike hata nusu msimu maana kuna makosa ya maudhi sana hata red haitoshi uzito wa kosa
Huyo wa red card asitolewe nje badala yake acheze golini(adake) halafu kipa acheze uwanjani kwa dakika zote zilizobaki hadi mechi iishe
 
Magoli matam kama yamayele yahesabiwe mawil kwamoja
 
Muda wa kuchezea uhesabike Mpira ukiwa unachezwa uwanjani tu.
Hii c ndo ipo, zile dkk za nyongeza zinatokana na mpira kutoka nje, wachezaji kuumia, nyuki kuvamia uwanja kama Bongo 😁😁 n.k
Niliwahi kuangalia mechi flan ya UK dkk ya 45 kamili refa akapiga kipenga kumaanisha n mapumziko na hakuna aliyelalamika mana n kweli hapakuwa na ucheleweshaji wa muda.
 
Goli litakalofungwa Kwa mpira uliopigwa kutokea nje ya 18 yahesabike mawili kama vile 3points ya kwenye Basketball Ball ukifunga nje ya "D"
 
Hii c ndo ipo, zile dkk za nyongeza zinatokana na mpira kutoka nje, wachezaji kuumia, nyuki kuvamia uwanja kama Bongo 😁😁 n.k
Niliwahi kuangalia mechi flan ya UK dkk ya 45 kamili refa akapiga kipenga kumaanisha n mapumziko na hakuna aliyelalamika mana n kweli hapakuwa na ucheleweshaji wa muda.
Twende kama kikapu Mzee .... Hakuna sekunde kupotea... Soka Mpira ukitoka sekunde zinahesabu tu ...kikapu hakuna hiyo Mpira ukitoka tu muda unasimama... Ukirushwa tu kuingia uwanjani dakika zinaanzia kuhesabu. Dakika za nyongeza ni mapenzi ya refa aongeze ngapi.
 
Back
Top Bottom