Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha....Tubadilishane makocha halftime....[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Siyo laizimen ni linesman akiwa mmoja na wakiwa wengi yaani kuanzia wawili ni LinesmenLaizimen aruhusiwe kuurudisha Mpira kwa mchezaji ili urushwe kwa haraka kuliko kuupisha umpire ukitoka. Huwa inaniuzi sana laizimen kuukwepa Mpira utoke
ikaishia wapi.....Hii iliwahi kufikiriwa
Nawaliolipa pesa zao wanaingia bure auKusiwepo na penati mechi ya fainali , zikiisha dakika 90 na 30 basi ngoma irudiwe kesho yake tu.
Hii nimeipenda mana harry maguire anampa tabu sana degeaMchezaji atakae sababisha penalty yeye ndo akaidake hiyo penalty, haiwezekani kosa afanye mwingine adhabu iende kwa kipa
Huyo wa red card asitolewe nje badala yake acheze golini(adake) halafu kipa acheze uwanjani kwa dakika zote zilizobaki hadi mechi iisheWaongeze kadi ya ziada(black) ambayo mchezaji akipewa apumzike hata nusu msimu maana kuna makosa ya maudhi sana hata red haitoshi uzito wa kosa
Sasa mnashindanaje bila kugombaniaKila mtu aingie tu na mpira wake....mambo ya kugombania mpira mmoja wakati fifa ina pesa ndefu tu ni ujinga
Hapo sasa dk za nyongeza zifutweMuda wa kuchezea uhesabike Mpira ukiwa unachezwa uwanjani tu.
Mashabiki waruhusiwe kucheza kama sub... mana tuna mdomoHabari wanamichezo,
Ikatokewa umepewa nafasi ya kuongeza Sheria moja mpya kwenye mpira wa miguu ungeongeza ipi?
Kwenye penati ukikosa kusiwe na rebound kwa mpiga penaltyHabari wanamichezo,
Ikatokewa umepewa nafasi ya kuongeza Sheria moja mpya kwenye mpira wa miguu ungeongeza ipi?
😂😂😂Mchezaji atakae sababisha penalty yeye ndo akaidake hiyo penalty, haiwezekani kosa afanye mwingine adhabu iende kwa kipa
Hii c ndo ipo, zile dkk za nyongeza zinatokana na mpira kutoka nje, wachezaji kuumia, nyuki kuvamia uwanja kama Bongo 😁😁 n.kMuda wa kuchezea uhesabike Mpira ukiwa unachezwa uwanjani tu.
Nmesoma comments zote ila hii ni the bestMchezaji atakae sababisha penalty yeye ndo akaidake hiyo penalty, haiwezekani kosa afanye mwingine adhabu iende kwa kipa
Twende kama kikapu Mzee .... Hakuna sekunde kupotea... Soka Mpira ukitoka sekunde zinahesabu tu ...kikapu hakuna hiyo Mpira ukitoka tu muda unasimama... Ukirushwa tu kuingia uwanjani dakika zinaanzia kuhesabu. Dakika za nyongeza ni mapenzi ya refa aongeze ngapi.Hii c ndo ipo, zile dkk za nyongeza zinatokana na mpira kutoka nje, wachezaji kuumia, nyuki kuvamia uwanja kama Bongo 😁😁 n.k
Niliwahi kuangalia mechi flan ya UK dkk ya 45 kamili refa akapiga kipenga kumaanisha n mapumziko na hakuna aliyelalamika mana n kweli hapakuwa na ucheleweshaji wa muda.