Ukipigwa marufuku kula nyama kwa miaka miwili halafu ukaamua kuinyonya, kulamba na kunywa mchuzi wake utakuwa hauna kosa?

Ukipigwa marufuku kula nyama kwa miaka miwili halafu ukaamua kuinyonya, kulamba na kunywa mchuzi wake utakuwa hauna kosa?

Ila Eng Hersi mjanja sana. Hii mbinu ni Babu kubwa. Amemsakizia Haji ili akutane na ban ya maisha kama njia ya kummwe-evacuate Haji bila kujitambua. Amempiga sindano ya ganzi aondoke bila maumivu, naye amejaa tayari. Akili kubwa kwa akili ndogo.
Yes
 
Akili hizi bwana, kweli kila mtu ana zake.
Halafu Sasa naamini kwa asilimia 200 kuwa kweli Utopoloni hakuna mwenye akili isipokuwa wale aliowataja mwenye Haji. Mwandiko wako unadhijirisha weupe. Yaani pamoja na viongozi wote huko hakuna aliyeliona hili kosa!!? Senzo ana haki ya kupumzika na aibu ya watu wasiolewa.
Hapa mkiadhibiwa museme mnaonewa!

Yaani Haji kaenda kwa machongo naye amevunja lake. [emoji3][emoji3][emoji848][emoji848]
Unateseka ukiwa wapi?[emoji1]

Kwani wakati wanamfungia walimfungia kama "Haji Manara" ama kama "Msemaji wa Yanga"?

Kaenda pale kama "MC Haji Manara", siyo kama "Msemaji wa Yanga"...
 
Mnataka aishi vipi?

Mmemfungia kwenye soka, hamtaki hata afanye kazi zingine?

Kaenda pale kama MC,thats all.
Bas ni sawa tuseme aendelee na usemaji na uhamasishaji Yanga ila awe anaitwa MC ktk hayo majukumu,asee Takadini anadharau sana
 
Yeye alieleza kuwa yuko pale kama MC hivyo analipwa, je, ni kweli Haji hufanya kazi za MC kama alivyosema? Na huko Tabata ni kweli amekwenda kama MC na yuko? Kama hujishughulisha na umc siku zote haina shida ila kama hajihusishi atawajibishwa.
Huwez kumpangia aanze lini kaz yake ya uMC na malipo anajua mwnyw
 
Mjanja sana,kisheria hafungwi kivyovyote,maana kaja kama MC.
 
Bas ni sawa tuseme aendelee na usemaji na uhamasishaji Yanga ila awe anaitwa MC ktk hayo majukumu,asee Takadini anadharau sana
Hatakiwi kabisa kujishughulisha na michezo ilichochini ya bodi ya ligi au TFf.
Yanga day ilikuwa TAIFA, inatambuliwa na bodi ya ligi iliyochini ya TFF hivyo! Manara anamakosa ya kuadhibiwa na yanga pia inamakosa !

Vinginevyo waseme labda pale haikuwa michezo Bali ni HARUSI ya JOYCE na MWAMUNYETO
 
Eti wadau ukipigwa marufuku kula nyama kwa miaka miwili halafu ukaamua kuinyonya, kuilamba na kunywa mchuzi wake utakuwa umevunja kanuni?

Case study Haji manara! Sikio la kufa!
Kaonekana akitangaza leo taifa, kwa haiba yake akiguswa na TFF atakuwa kaonewa? Tueleweshane hapo! AU makundi maalum wanaruhusiwa kuvunja sheria!
Byuti byuti
JamiiForums620990026.jpg
 
Huyu jamaa ana psychological disorder ya hali ya juu sana, bad enough inasikitisha uongozi wa Yanga unalea hii takataka. Nimeishi Yanga miaka mingi sana hiki kituko sijawai ona.
TFF wampotezee anatafuta airtime lakini ifike mahali Yanga wavunje ukimya wamuonye
 
Bas ni sawa tuseme aendelee na usemaji na uhamasishaji Yanga ila awe anaitwa MC ktk hayo majukumu,asee Takadini anadharau sana
MC ni neno la kiingereza lenye maana ileile kama MSEMAJI/MSHEHERESHAJI!
Hivyo kakaidi anastahili adhabu kweupe
 
Eti wadau ukipigwa marufuku kula nyama kwa miaka miwili halafu ukaamua kuinyonya, kuilamba na kunywa mchuzi wake utakuwa umevunja kanuni?

Case study Haji manara! Sikio la kufa!
Kaonekana akitangaza leo taifa, kwa haiba yake akiguswa na TFF atakuwa kaonewa? Tueleweshane hapo! AU makundi maalum wanaruhusiwa kuvunja sheria!
Labda itungwe sheria ya kushonea zipu kinywa
 
Nini maana ya kutokujihusisha na shughuli za mpira?
Kamati ya maadili katika kufafanua adhabu ya manara walisema anaruhusiwa
1. Kwenda uwanjani
2. Kuposti kwenye accounts zake za mitandao ya kijamii
Sasa swali linakuja mtu huyu amefungiwa kujihusisha na mpira kivipi wakati hivyo vitu ni vya kimpira?
 
Nini maana ya kutokujihusisha na shughuli za mpira?
Tamasha la Yanga lilikuwa na mambo zaidi ya Mpira....

Shughuli ya Mpira ilivyoanza Haji hakujuhusisha aliondoka kuelekea kigogo ktk kazi nyingine ya Uemcii[emoji38][emoji16][emoji16]

Ikae hivyo
 
Back
Top Bottom