- Thread starter
- #41
YesIla Eng Hersi mjanja sana. Hii mbinu ni Babu kubwa. Amemsakizia Haji ili akutane na ban ya maisha kama njia ya kummwe-evacuate Haji bila kujitambua. Amempiga sindano ya ganzi aondoke bila maumivu, naye amejaa tayari. Akili kubwa kwa akili ndogo.