Ukisikia kujilipua ndio huku. Milioni 60 hisa za CRDB, liwalo na liwe

Hisa zina risk zake hope for the best but don’t count your money on the gambling table.
 
Unq
Hakuna changamoto yoyote

Sawa mkuu ngoja niusome upepo IPO siku nitajilipua
Unanunuaje dollar
 
Unq

Unanunuaje dollar
Dola inaposhuka thamani wewe chukua shilingi yako ibadili kuwa dola nenda bereau exchange. Unaiweka dola muda kadhaa mfano Dec dola ilikua ni 2200 watu wakaanza kuziuza zaidi. Wewe ukiinunua na kama umekaa nayo mpaka sasa ile dola 1 ya January now ni 2650 ongezeko la 450 kwa kila dola.

Ina maana kama ulikua na dola 10000 utapata faida ya 4.5m ukiuza kwa sasa...
 
Mkuu naona una million 5 na laki tisa,kulingana na gawio la mwaka huu
 
Mwakan siku kama ya leo naomba inshallah tukiwa hai naomba usisahau kutuma mrejesho wa ongezeko la pesa au gawio na ufanye mahesabu kama the same pesa ingekuwa utt ingekuwa imeongezeka kias gan tuone wap kuna afadhali ila mhh all the best
Utt ndio best solution
 
ukata wa dola umewangusha sana mwaka jana, kazi kwa mazoea bila kujari wateja kunaenda kuwaangusha pia

kifupi wafanya kazi wa CRDB hasa mameneja hawajishughulishi tena wanahisi wamemaliza kazi

naiona NBC inakuja vizuri

CRDB walipeana sana kazi kindugu, fuatilia hili utajua. Matokeo yake wana workforce kubwa ya watu wazembe. Wasio jali wateja, wako bado kwenye kipindi ambacho wao walikuwa benki pekee na kulikuwa hakuna alternative.
 
Tunaendelea mdogomdogo
 
Hongera sana brother, kamwe usisikilize maneno ya watu wanaokukatisha tamaa, as long as ulifanya analysis yako vizuri…You are good to go… Mm mwenyewe nilinunua 3 yrs back za Crdb enzi zikiwa 380 zaidi ya 100M, ssiv bei imedouble na dividends 3 times…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…