G
Nmenunua hisa za crdb kama 45 hivi..lengo ni kufanya demo..ni almost wiki imepita lkn mpaka sasa hazisomi kwenye account yangu..tatzo wenda ni nini?Mwakani hisa zitafika 2000 CRDB kwenye 1H imetengeneza faida ya bil 342 hii ni ishara nzuri sana. Tukutane mwakane bei itakuwa 2000+
Kweli kabisa mkuuUoga wako ndio umaskini wako
Nmenunua hisa za crdb kama 45 hivi..lengo ni kufanya demo..ni almost wiki imepita lkn mpaka sasa hazisomi kwenye account yangu..tatzo wenda ni nin
DSE walikuwa wanafanya maboresho ya mifumo yao, ukitaka uwe na amani na uhakika muombe broker wako akupatie CSDR statement…Itaonesha holding zako zote !!Nmenunua hisa za crdb kama 45 hivi..lengo ni kufanya demo..ni almost wiki imepita lkn mpaka sasa hazisomi kwenye account yangu..tatzo wenda ni nini?
Huyu solomoni brocker anaringa balaa,tangu juzi napiga simu hawapokei kabisaDSE walikuwa wanafanya maboresho ya mifumo yao, ukitaka uwe na amani na uhakika muombe broker wako akupatie CSDR statement…Itaonesha holding zako zote !!
Kama hujaridhishwa na huduma zake, unaweza kubadilisha broker…Huyu solomoni brocker anaringa balaa,tangu juzi napiga simu hawapokei kabisa
Nafanyaje ili nibadili brocker mkuu..na yup yuko poaKama hujaridhishwa na huduma zake, unaweza kubadilisha broker…
Ni heri kujua ambaye yuko poaNafanyaje ili nibadili brocker mkuu..na yup yuko poa
Siwapi promo but, nafikiri Orbit Securities wana Huduma nzuri sana, coz kwa kiasi kikubwa wao ndio wamesaidia kuongeza ufaham wa mambo ya uwekezaji wa hisa kuanzia wakat walikuwa wana discussions Clubhouse kabla haijawa banned, wana group la Whatsapp wanatoa elimu za uwekezaji, pia wana live session kila ijumaa jioni kwenye Youtube Channel inaitwa Mindsetting Initiative ambapo wanaoengelea mwenendo wa uchumi, habari za kibiashara , mwenendo wa soko la hisa kwa week hiyo…Pia ni among broker ambao wana market share kubwa meaning wana wateja wengi na wapo kwenye game la brokerage services for 27 yrs…Nafanyaje ili nibadili brocker mkuu..na yup yuko poa
Ukitaka kuhama unawaambia hao ulionao ssiv kuwa unataka kuwahama, watakupa form ya kubadili broker…Hawana mamlaka ya kukuzuia usihame!!Nafanyaje ili nibadili brocker mkuu..na yup yuko poa
Shukrani sana mkuu. Ilikuwa mara yangu ya kwanza kununua hisa,,na nilifanya kwa ajili tu ya demo,maana mimi niko zaidi UTT. Ndo maana nkaweka tu kias kidogo kisicho zidi elfu 51..kwa bei ya siku ile nkapata Hisa 44 za CRDB.Lakini cha ajabu wiki imekatika nkiingia kwenye account yangu nakuta naambiwa sina holding zozote,nkawaza labda imeliwa na wahuni wa mitandao 😀Siwapi promo but, nafikiri Orbit Securities wana Huduma nzuri sana, coz kwa kiasi kikubwa wao ndio wamesaidia kuongeza ufaham wa mambo ya uwekezaji wa hisa kuanzia wakat walikuwa wana discussions Clubhouse kabla haijawa banned, wana group la Whatsapp wanatoa elimu za uwekezaji, pia wana live session kila ijumaa jioni kwenye Youtube Channel inaitwa Mindsetting Initiative ambapo wanaoengelea mwenendo wa uchumi, habari za kibiashara , mwenendo wa soko la hisa kwa week hiyo…Pia ni among broker ambao wana market share kubwa meaning wana wateja wengi na wapo kwenye game la brokerage services for 27 yrs…
Tangu mwaka 1998 DSE ilipoanza kufanya kazi, hakuna hata hisa moja ya mtu aliyowahi kuibiwa au kupotea…DSE inasimamiwa kikamilifu na CMSA, capital markets and securities tribunal, CSDR , Bank of Tanzania, Ministry of Finance… Ukiona holding zako huzielewi unamwambia Broker anakutumia Csdr statement ambapo CSDR ni taasisi ya serikali inayodeal specific na kutunza kumbukumbu zako zote za uwekezaji, csdr statement itaonesha lini ulinunua hisa gani kwa bei gani na ulilipa how much including na brokerage fee…Shukrani sana mkuu. Ilikuwa mara yangu ya kwanza kununua hisa,,na nilifanya kwa ajili tu ya demo,maana mimi niko zaidi UTT. Ndo maana nkaweka tu kias kidogo kisicho zidi elfu 51..kwa bei ya siku ile nkapata Hisa 44 za CRDB.Lakini cha ajabu wiki imekatika nkiingia kwenye account yangu nakuta naambiwa sina holding zozote,nkawaza labda imeliwa na wahuni wa mitandao 😀
Yah inaweza kufila.Few days mpaka kwente tarehe 17. August hisa za crdb zinaweza kuwa 1400
Shukrani sana mkuu. Pia naomba kuuliza kazi ya brocker ni nini hasa? Kwa nini tusinunue hisa direct bila huyo brocker??Tangu mwaka 1998 DSE ilipoanza kufanya kazi, hakuna hata hisa moja ya mtu aliyowahi kuibiwa au kupotea…DSE inasimamiwa kikamilifu na CMSA, capital markets and securities tribunal, CSDR , Bank of Tanzania, Ministry of Finance… Ukiona holding zako huzielewi unamwambia Broker anakutumia Csdr statement ambapo CSDR ni taasisi ya serikali inayodeal specific na kutunza kumbukumbu zako zote za uwekezaji, csdr statement itaonesha lini ulinunua hisa gani kwa bei gani na ulilipa how much including na brokerage fee…
Ila Book value yake ni 913 kwa Q2 report aiwez shuka kweli.?Mwakani hisa zitafika 2000 CRDB kwenye 1H imetengeneza faida ya bil 342 hii ni ishara nzuri sana. Tukutane mwakane bei itakuwa 2000+
Broker si ndio anafacilitate ww kununua au kuuza hisa, au bond, na ukiwa na changamoto yyte mtu anayekusaidia kwa haraka ni broker most the time and free of charge na hiyo brokerage fee ya 0.024% sio ya kwake peke yake, hiyo inagawanywa kiasi inabaki kwake nyngne inaenda Dse, nyingine Cmsa, fidelity fund, csdr…Swali la pili mm sina ufaham wa namna ya kujibu labda siku 1 uwaulize DSE wenyeweShukrani sana mkuu. Pia naomba kuuliza kazi ya brocker ni nini hasa? Kwa nini tusinunue hisa direct bila huyo brocker??
Ahsante sana mkuu.Broker si ndio anafacilitate ww kununua au kuuza hisa, au bond, na ukiwa na changamoto yyte mtu anayekusaidia kwa haraka ni broker most the time and free of charge na hiyo brokerage fee ya 0.024% sio ya kwake peke yake, hiyo inagawanywa kiasi inabaki kwake nyngne inaenda Dse, nyingine Cmsa, fidelity fund, csdr…Swali la pili mm sina ufaham wa namna ya kujibu labda siku 1 uwaulize DSE wenyewe