Billion Dolar
JF-Expert Member
- Apr 7, 2021
- 1,449
- 3,287
Mi haya mambo sijui utt sijui hisa huwa naona ni kupoteza hela tu. Ukifanya biashara sawa una risk nyingi kuliko kuwekeza ola jua hata wanaowawekezea hela wanapata wapi hela ya kukulipa kidogo kila mwaka, nao huzifsnyia biashara, ili wakulipe lazima wao wapate fsida yao na wewe humohumo, hufika mahali hata wao wakala hasara, na hasara hiyo wakiipata na wewe unajumuidhwa humohumo, so mimi haya mavitu huwa siyaelewi ningekuwa wewe ningejenga appartment 6 na hiyo hel
Mambo yote yanayohusu fedha , budgeting na uwekezaji huwa ni personal choices za mtu…Kuna wengine wanapenda wawekeze kwenye biashara , wengine real estate, wengine Utt , wengine Hisa, Crypto na bitcoins…wanasemaga personal finance is personal !!…Kila mtu afanye maamuzi pale ambapo moyo wake una amani …Ndio maana wengine wanaweka hela benk tu hawawekezi popote na kuna wengine wanahifadhi pesa Chini ya godoro au kwenye Safe Boxes…Hakuna cha kwamba ipi ni nzuri, uzuri anauona yule aliyewekeza sehem anayoipenda…Coz uamuzi wwote una strength na weakness zake!!Mi haya mambo sijui utt sijui hisa huwa naona ni kupoteza hela tu. Ukifanya biashara sawa una risk nyingi kuliko kuwekeza ola jua hata wanaowawekezea hela wanapata wapi hela ya kukulipa kidogo kila mwaka, nao huzifsnyia biashara, ili wakulipe lazima wao wapate fsida yao na wewe humohumo, hufika mahali hata wao wakala hasara, na hasara hiyo wakiipata na wewe unajumuidhwa humohumo, so mimi haya mavitu huwa siyaelewi ningekuwa wewe ningejenga appartment 6 na hiyo hela
Umeangalia nn mpaka ukasema itakwa 2000?Mwakani kama saivi bei itakuwa 2000+
Leo ni 1270 CRDBUmeangalia nn mpaka ukasema itakwa 2000?
Uko sahihi mkuu, kwa sasa ziko over valued by almost 30%.Ila Book value yake ni 913 kwa Q2 report aiwez shuka kweli.?
Ila NMB Book value yake ni 5438 iko 7550 hizo book value sio factor itakayo force kuanza kushuka.
Nimeona mkuuHisa zimefika 1510 hapo unaongelea 200M bila.shaka
Nimeona mkuu
Kweli umasikini wako ndo uoga wako😀
Milioni 60 ujenge apartment 6? Wapi hukoMi haya mambo sijui utt sijui hisa huwa naona ni kupoteza hela tu. Ukifanya biashara sawa una risk nyingi kuliko kuwekeza ola jua hata wanaowawekezea hela wanapata wapi hela ya kukulipa kidogo kila mwaka, nao huzifsnyia biashara, ili wakulipe lazima wao wapate fsida yao na wewe humohumo, hufika mahali hata wao wakala hasara, na hasara hiyo wakiipata na wewe unajumuidhwa humohumo, so mimi haya mavitu huwa siyaelewi ningekuwa wewe ningejenga appartment 6 na hiyo hela
Itakuwa apartments za milioni kumi kumi😂Milioni 60 ujenge apartment 6? Wapi huko
Duh nilifanya demo siku hisa zikiwa sh 1120,nikanunua hisa 44 za sh elf 51...leo ni 1500+ kumbe ningetupia hata mil 10Hisa zimefika 1510 hapo unaongelea 200M bila.shaka
Hapa una faida almost elf 16😀Duh nilifanya demo siku hisa zikiwa sh 1120,nikanunua hisa 44 za sh elf 51...leo ni 1500+ kumbe ningetupia hata mil 10
Zinaweza kushukaDuh nilifanya demo siku hisa zikiwa sh 1120,nikanunua hisa 44 za sh elf 51...leo ni 1500+ kumbe ningetupia hata mil 10
Si nilikuambia chukua pesa hiyo ukasema unasubiriToa hela yako kwenye hisa za CRDB coz zimeanza mporomoko mkali. Usiseme sijakuambia
Mkuu unafuatilia vipi mwenendo wa hisa za crdb au dse kwa ujumla?Toa hela yako kwenye hisa za CRDB coz zimeanza mporomoko mkali. Usiseme sijakuambia
Akikujibu nishtue amshapopoMkuu unafuatilia vipi mwenendo wa hisa za crdb au dse kwa ujumla?
Tafadhali nahitaji kujua.
Hii ni maajabu 😂Itakuwa apartments za milioni kumi kumi😂