Ukisikia kujilipua ndio huku. Milioni 60 hisa za CRDB, liwalo na liwe

Hatimaye 60m imekupa utajiri
 
Naona thamani ya crdb imeanza kushuka kwa kasi.
Kwa mwenye uelewa wa haya mambo kwa kuangalia takwimu za soko la hisa DSE, twende na upepo wa kampuni gani hapo linaloonekna kufanya vema? Tunataka kujilipua kama amshapopo
 
Tuliwaambia hapa nchi za Africa hazieleweki,
Ukiona muhindi afanyi Biashara Fulani jua hio Biashara ni Biashara kichaa, tunasubiri milio
 
Tuliwaambia hapa nchi za Africa hazieleweki,
Ukiona muhindi afanyi Biashara Fulani jua hio Biashara ni Biashara kichaa, tunasubiri milio
Lakini jamaa mwenye thread alishatoa tahadhari ya hilo na kama sikosei alishachomoa mamilioni yake tangu jumatatu.
 
Leo CRDB bei imegota palepale kwenye 1160 na hisa zake zimeendelea kupoteza kwa asilimia 1.69 na hisa zake ndo zimeongoza kwa movement kubwa kufikia 403,817.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…