Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 8,069
- 15,029
KWa asilimia 100 hujasoma uzi wake.Umefanya maamuzi ya pupaa UTT inakupa kitu cha uhakika kama
1. Kupata pesa yako unapohitaji kwa haraka kuliko hisa mpaka uuze.
2. Gawio la uhakika na unalijua kuliko hisa
3. Usalama wa mtaji wako UTT haishushi thamani ila Hisa inategemea na hali ya soko.
In short tuombe mungu iwe nzuri ikiyumba unapiga yowe
Hajui kitu huyo mkuuKWa asilimia 100 hujasoma uzi wake.
Kwa mwaka UTT wanakupa 12% ina maana milioni 60 yamaa angevuta 7.2m mwaka mzima.
Hisa amenunua kwa 660 kaja kauza kww 1400 ongezeko la asilimia 47 ukitoa charges za broker na wenginr anabaki na asilimia 42 yani kwa milioni 60 ndani ya mwaka kapata faida ya zaidi ya milioni 25. Mara 3 na zaidi angeweka UTT.
Then unasema kakurupuka?
We subir ifike 5000 wewe unasubiri iwe buku🤣Ikifika buku ndo tununue?
Unahitaji zaidi ya hisa 50000 kupata hilo gawio kwa mweziMwaka huu nataka nianze kununua hisa mdogo mdogo ili kufikia mwakani niwe na hisa sio chini ya 20,000. Lengo ni kupata gawio sio chini ya 250,000 kabla sijafikiria kuziuza zifikishapo thamani mara 5 ya bei yake ya mwanzo.
Gawio mwaka jana lilikua sh 65 kwa kila hisa.Unahitaji zaidi ya hisa 50000 kupata hilo gawio kwa mwezi
Wakuu, Maisha bila kujilipua hayaendi. Kifupi kama unanifuatilia nilijichanga UTT AMIS na kuweza kupata kiasi cha 60ml sasa nimetoa hiyo hela yote na kununua hisa za CRDB. Kifupi, liwalo na liwe nikipata sawa na nikikosa sawa. Mungu jaalia. Nitaleta mrejesho baada ya Mwaka kupitia.
NB: Kila hisa nimenunua kwa 660.
Safi sana kiongozi. Tatizo Bongo dharau sana ungesema umenunua NVIDIA, TESLA wangekupongeza wakati hizo kampuni zote hizo hakuna iliyoperform kushinda CRDB kwa mwaka uliopita.
Ukuaji wa hisa kwa january hii unatisha sana.