Samahani hivi
Zuchu
Hamisa mobeto
Zari
Fayma
Lulu diva
Faiza Ally
Mangekimambi
Menina
Shilole
Dida
Fatuma Karume
Mama Dangote
Minna Ally
Na wengineo unaowafahamu sijawataja wenyewe ni wakristo???
Vipi hayo mavazi wanayovaa ndiyo mavazi ya maadili ya kiislam
Nakupa mfano halisi Israel sio nchi ya kiislam,, North korea sio nchi ya kiislam lakini wanavaa kwa kujisitiri
Turudi kwenye Israel… hii nchi haina dressing code lakini
vazi lao kubwa ni hijabs,, nyie mnasema ni vazi la kiislam ila
kwao ni vazi la tamaduni toka enzi za kina Ibrahim mpk leo
waisrael huwezi kukuta wako waziwazi Kama sisi huku
Kiufupi namna wanavyovaa waislam ndivyo Israel wanavaa na ni utamaduni wao
Nilichotaka kusema Hakuna mahali kwenye Biblia inafundisha watu wasijisitiri
Biblia imesisitiza watu na wajisitiri
Kupitia maandiko haya [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
1 Timotheo 2:9-10
Vivyo hivyo wanawake na wajipambe kwa mavazi ya kujisitiri, pamoja na adabu nzuri, na moyo wa kiasi; si kwa kusuka nywele, wala kwa dhahabu na lulu, wala kwa nguo za thamani; bali kwa matendo mema, kama iwapasavyo wanawake wanaoukiri uchaji wa Mungu.
Kumbukumbu la torati 22:5
Mwanamke asivae mavazi yampasayo mwanamume, wala mwanamume asivae mavazi ya mwanamke; kwa maana kila afanyaye mambo hayo ni machukizo kwa BWANA, Mungu wako
Biblia Hakuna kitu imeachaa kwenye maisha ya binadamu maadili ya mwanadamu kuanzia usafi uchumba mpk ndoa yote yamewekwa bayana
Kama wewe si msomaji mzuri wa maandiko hutoambulia kitu utaishiaa kusema Ukristo haufundishi mambo ya maisha.. kumbe ni uvivu wako wa kusoma
Turudi kwa mtoa mada suala la dini halihusiani na tabia ya mtu… nimekupa mfano halisi wa mabinti wa kiislam wewe unawajua hao unaokutana nao na sisi tunawajua maana tunaishii Nao
Kwenye vigodoro wamejaa kina fatuma na mwajuma wanakatika wanavua mpk chupii halafu unatuambia nini
Maadili mtu anafundishwa na wazazi wake dini ni Kama nyiongeza ya kukuimarisha vizuri
Nipo bonyokwa njoo unipige [emoji81][emoji81]