Ukitaka amani katika ndoa, oa mwanamke Muislamu mbadilishe kuwa Mkristu

Si ndio nasema Ukristo unahimiza kutumia upanga ambapo ni kufanya mauaji na ukatili, sasa nakushangaa wakati huo huo "unafikiri kufundisha watu kuua ndio mafundisho mazuri", --- au labda sijakuelewa??!!

Aisee Kweli hujanielewa, hivyo kwa hii tusiendelee mbele

[mention]Mokaze [/mention] hujambo weye??
 
Pia umesahau kuhusu mavazi, yale mavazi ya wanawake wa kiislamu ndio mavazi yenye heshima mwanamke mwenye heshima hupaswa kuyavaa, yanawapendeza sana, sio unakutana na mwanamke wa kikristo amepiga kimini au suruali inamchoresha maungo yake yote

Sent using Jamii Forums mobile app

Samahani hivi

Zuchu
Hamisa mobeto
Zari
Fayma
Lulu diva
Faiza Ally
Mangekimambi
Menina
Shilole
Dida
Fatuma Karume
Mama Dangote
Minna Ally

Na wengineo unaowafahamu sijawataja wenyewe ni wakristo???
Vipi hayo mavazi wanayovaa ndiyo mavazi ya maadili ya kiislam

Nakupa mfano halisi Israel sio nchi ya kiislam,, North korea sio nchi ya kiislam lakini wanavaa kwa kujisitiri

Turudi kwenye Israel… hii nchi haina dressing code lakini
vazi lao kubwa ni hijabs,, nyie mnasema ni vazi la kiislam ila
kwao ni vazi la tamaduni toka enzi za kina Ibrahim mpk leo
waisrael huwezi kukuta wako waziwazi Kama sisi huku

Kiufupi namna wanavyovaa waislam ndivyo Israel wanavaa na ni utamaduni wao

Nilichotaka kusema Hakuna mahali kwenye Biblia inafundisha watu wasijisitiri
Biblia imesisitiza watu na wajisitiri
Kupitia maandiko haya [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

1 Timotheo 2:9-10

Vivyo hivyo wanawake na wajipambe kwa mavazi ya kujisitiri, pamoja na adabu nzuri, na moyo wa kiasi; si kwa kusuka nywele, wala kwa dhahabu na lulu, wala kwa nguo za thamani; bali kwa matendo mema, kama iwapasavyo wanawake wanaoukiri uchaji wa Mungu.

Kumbukumbu la torati 22:5

Mwanamke asivae mavazi yampasayo mwanamume, wala mwanamume asivae mavazi ya mwanamke; kwa maana kila afanyaye mambo hayo ni machukizo kwa BWANA, Mungu wako

Biblia Hakuna kitu imeachaa kwenye maisha ya binadamu maadili ya mwanadamu kuanzia usafi uchumba mpk ndoa yote yamewekwa bayana

Kama wewe si msomaji mzuri wa maandiko hutoambulia kitu utaishiaa kusema Ukristo haufundishi mambo ya maisha.. kumbe ni uvivu wako wa kusoma

Turudi kwa mtoa mada suala la dini halihusiani na tabia ya mtu… nimekupa mfano halisi wa mabinti wa kiislam wewe unawajua hao unaokutana nao na sisi tunawajua maana tunaishii Nao

Kwenye vigodoro wamejaa kina fatuma na mwajuma wanakatika wanavua mpk chupii halafu unatuambia nini

Maadili mtu anafundishwa na wazazi wake dini ni Kama nyiongeza ya kukuimarisha vizuri

Nipo bonyokwa njoo unipige [emoji81][emoji81]
 
Nashukuru kwa nukuu zako nzuri za bibilia takatifu.

Mifano uliyotoa ya kina zuchu, hao tayari ni celebrities wapo katika ulimwengu mwingine wa kiroho tusiwaingize katika huu mjadala hatutamaliza mkuu.

Kiujumla unatoa mifano dhaifu sana mpaka umeingiza mambo ya vigodoro, namaanisha tusiiongelee ile jamii iliyokengeuka kabisa ambayo haina habari na Mungu.

Umenipa kitu kipya kumbe vazi la hijab sio kwa ajili ya waislamu tu, pia umeongea kuhusu tabia ya mtu haijengwi na dini bali ni tabia kutoka kwa wazazi, sasa kama ni hivyo kwann wazazi wetu wa kikristu hawatoi maadili mazuri na hawana misimamo kuwasisitiza watoto wao haswa wa kike kuvaa mavazi ya kujistiri mwili mzima?

Kwa kifupi wanawake wa kiislamu wanajua kujistiri sana na wana hofu ya Mungu tofaufi na wanawake wa kikristu ambao hawajali kabisa wala hawana hofu, kesho jumapili tembelea kanisa lolote utashuhudia nachosema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Peace be upon you all,

Wengi watasema tabia haihusiani na dini, well sio kweli tabia inajengwa kua njema au mbaya na mazingira ya mtu na hasa imani aliyo lelewa kwayo. Kuna msemo "Charity begins at home"

Mimi ni Mkristu na kwa habari ya malezi ya heshima na adabu nikiri wazi wenzetu Waislamu wamefanikiwa kusimamia maadili mema, adabu na heshima kwa wanawake mpaka wanapokua wake.

Zipo sababu nyingi zinazofanya wenzetu wawe na wanawake wenye adabu:
Moja, ikiwa uwepo wa talaka. Mwanamke wa kiislam toka mdogo anajua yampasa kua na heshima vinginevyo kuna adhabu akikaidi nyumbani ataadhibiwa, akikaidi madrasa ataadhibiwa na akikaidi katika ndoa ataadhibiwa kwa talaka.

Wanawake wa Kikristu wao ni tofauti na wamelelewa katika itikadi za "usawa" hata ndoa ni ya mume mmoja mke mmoja na hata afanye upumbavu gani hakuna talaka ni "mpaka kifo" hiyo automatically na subconceouslly inawapa kiburi hata bila ya wao kujua. (Japo sio wote)

Fuatilia wanawake wanaharakati wa usawa 50/50 ngangari ngangari 99% ni wanawake wa Kikristo.

Mtu mmoja atasema binti wa Kislam akibadili dini nae atakua na jeuri kama kina Matha na Juliana. Welk, jibu ni kondoo hata umpeleke akaishi pamoja na mbwa mwitu banda moja kamwe hatakua mbwa mwitu miaka mia atabaki kua kondoo.

Binafsi kati ya magirfriend 7 watano walikua Wakristu aise walikua na ngebe hatari na wawili (2) Waislamu hawa nilienjoy sanaaaa. Baada ya kufanya kautafiti nilijiapizaga kua nitaoa binti wa kiislamu na kumbadili dini na ndio nilichofanya.

Hata biblia inasema "mlee mtoto katika njia impasayo nae hataiacha hata akiwa mzee" hawa wadada wa Kikristu afu umkute anatoka kanisa na sijui nabii nani, sijui mtume gani alooo mume atajuta mwanadada anamsikiliza "baba nabii" kwa kila jambo. Ngebe ngebe hata ukimpiga bao la uchovu lazima akamwambie "baba" sikuhizi wanawaida dady.

Toxic feminism na wanawake wa Kikristo ni sambamba kama kambale na tope, wanasiasa na uongo, walimu na madeni vitu visivyotenganishwa kama traffic na rushwa, boda boda na koti chafu.
Kwamba wanawake wa kiislamu hawatoi talaka? Huwa mnajifunzia uislamu kwenye vikundi vya kahawa ndiyo shida sasa .

Labda kama ulikuwa haujui mwanamke wa kiislamu ana haki nyingi sana sema wengi wao kutokusoma dini (hii ni kwa wanawake na wanaume pia) inapelekea ananyanyaswa na mume wake ambaye anaona ni fursa na yeye anaona sawa tu.

Kwanza mwanamke wa kiislamu hajakatazwa kusoma kama wengi wanavyoamini ila elimu imepewa kipaumbele sana kwenye uislamu hata aya za kwanza kumshukia mtume wetu muhammad (swalallah a'llay wa salam) zimeelezea elimu kwanza.

Kingine ambacho watu hawakijui ni kwamba wanawake wa kiislamu wana haki ya kuchagua mwanamume wa kumuoa ikiwa amempenda yeye kigezo kikubwa kiwe dini yake na ibada ya huyo mwanaume kwa wazazi ni ushauri tu ndiyo unatakiwa .

Kingine wanawake wa kiislamu ndiyo wanapanga mahari yao na wao ndiyo wanaoichukua mahari hiyo.

Pia wanawake wa kiislamu wana haki ya kutoa talaka kama wakishindwana na waume zao talaka hiyo huitsa talaka "khulu" na ni ndoa inavunjika moja kea moja .

Kingine mtume muhammad (swalallah allay wasalam) amehimiza upendo na huruma kwa wanandoa si mmoja amkandakize mwenzake yaani kuwe na upendo na kuheshimiana ila tunayoyaona huku kwetu ni tofauti sana .

Kingine ambacho wengi huwa hawajui ni kwamba kama mwanamke wa kiislamu ameolewa na akawa na biashara au anafanya kazi basi pindi watakapoachana na mumewe kile ambacho wamechuma wote kitagawiwa 50/50 na ikiwa mume amekufa na walichuma wote basi mali itagawiwa 50/50 mwanamke atapokea nusu ya mali na tapokea tena mirathi pia kwenye nusu ya mali ya mume maana kiislamu mke anamrithi mume na mume vivi hivyo ila huku mambo yanapelekwa kireja reja tu ndiyo maana wengi mna picha tofauti sana .

N.b
Swala la kuoa mwanamke mwislamu na kumbadili dini ni gumu na ukiona muislamu anabadili dini kuna mawili.

1.hajaisoma dini yake kabisa na hata kusali huwa hasali.

2.ushawishi wa mali na maisha ya starehe .

Nikusihi tu uwe unafuatilia jambo si kupotosha watu.
 
Peace be upon you all,

Wengi watasema tabia haihusiani na dini, well sio kweli tabia inajengwa kua njema au mbaya na mazingira ya mtu na hasa imani aliyo lelewa kwayo. Kuna msemo "Charity begins at home"

Mimi ni Mkristu na kwa habari ya malezi ya heshima na adabu nikiri wazi wenzetu Waislamu wamefanikiwa kusimamia maadili mema, adabu na heshima kwa wanawake mpaka wanapokua wake.

Zipo sababu nyingi zinazofanya wenzetu wawe na wanawake wenye adabu:
Moja, ikiwa uwepo wa talaka. Mwanamke wa kiislam toka mdogo anajua yampasa kua na heshima vinginevyo kuna adhabu akikaidi nyumbani ataadhibiwa, akikaidi madrasa ataadhibiwa na akikaidi katika ndoa ataadhibiwa kwa talaka.

Wanawake wa Kikristu wao ni tofauti na wamelelewa katika itikadi za "usawa" hata ndoa ni ya mume mmoja mke mmoja na hata afanye upumbavu gani hakuna talaka ni "mpaka kifo" hiyo automatically na subconceouslly inawapa kiburi hata bila ya wao kujua. (Japo sio wote)

Fuatilia wanawake wanaharakati wa usawa 50/50 ngangari ngangari 99% ni wanawake wa Kikristo.

Mtu mmoja atasema binti wa Kislam akibadili dini nae atakua na jeuri kama kina Matha na Juliana. Welk, jibu ni kondoo hata umpeleke akaishi pamoja na mbwa mwitu banda moja kamwe hatakua mbwa mwitu miaka mia atabaki kua kondoo.

Binafsi kati ya magirfriend 7 watano walikua Wakristu aise walikua na ngebe hatari na wawili (2) Waislamu hawa nilienjoy sanaaaa. Baada ya kufanya kautafiti nilijiapizaga kua nitaoa binti wa kiislamu na kumbadili dini na ndio nilichofanya.

Hata biblia inasema "mlee mtoto katika njia impasayo nae hataiacha hata akiwa mzee" hawa wadada wa Kikristu afu umkute anatoka kanisa na sijui nabii nani, sijui mtume gani alooo mume atajuta mwanadada anamsikiliza "baba nabii" kwa kila jambo. Ngebe ngebe hata ukimpiga bao la uchovu lazima akamwambie "baba" sikuhizi wanawaida dady.

Toxic feminism na wanawake wa Kikristo ni sambamba kama kambale na tope, wanasiasa na uongo, walimu na madeni vitu visivyotenganishwa kama traffic na rushwa, boda boda na koti chafu.
Kids, women & society need institution of marriage the most for stability

Men need it for wellbeing of kids
 
Huo ni mtazamo wako kwa upande mmoja, angalia na upande wa pili.

Ulichoandika ni kweli, lakini hawa wadada wana mapepo sio kidogo usipokaza buti.
Imani yako itakakuwa mashakani.

Inawezekana ila kuna gharama, tena gharama.

Ukute na ndugu zake wameshika uislam, [emoji848][emoji848][emoji848][emoji380][emoji380]
mabint wa kiislam na mashetani sijui ndio mapepo ni chanda na pete kati ya mabint 10 wawili tu ndio hawana mashetani.😃
 
Naomba kuuliza hv wanaosaula madera na kubaki watupu kwenye vigoma na vigodoro n wakina nani vile@?? FaizaFoxy mama D ........allah alimwambia mwanaume wa kiislam aoe wake 4 lkn asinywe pombe....🤣😇😅.....alafu mungu akamwambia padre na askofu anywe pombe lakini asioe🤕🤕🤕 ...akamgeukia bhudhist akamwambia asioe wala kunywa pombe.......nimechanganyikiwa sielewi
 
Mzee umemaliza kila kitu, hili wazo lako ninalo kichwani muda mrefu sana, nilidhani ni fikra zangu mwenyewe kumbe hata ww mzee mwenzangu umeliona hili

Sent using Jamii Forums mobile app
Ku conclude mada WAZEE WA KULA KIMASIHARA ni kuwa tunatoka na pisi za NDOTO zetu😁😂 afu ndani tunaoa wife material flan hv inavaa kuheshima ila pisi tuazotaka kubutua ni zile mnazielewa ata nyie😂😂😂
 
Peace be upon you all,

Wengi watasema tabia haihusiani na dini, well sio kweli tabia inajengwa kua njema au mbaya na mazingira ya mtu na hasa imani aliyo lelewa kwayo. Kuna msemo "Charity begins at home"

Mimi ni Mkristu na kwa habari ya malezi ya heshima na adabu nikiri wazi wenzetu Waislamu wamefanikiwa kusimamia maadili mema, adabu na heshima kwa wanawake mpaka wanapokua wake.

Zipo sababu nyingi zinazofanya wenzetu wawe na wanawake wenye adabu:
Moja, ikiwa uwepo wa talaka. Mwanamke wa kiislam toka mdogo anajua yampasa kua na heshima vinginevyo kuna adhabu akikaidi nyumbani ataadhibiwa, akikaidi madrasa ataadhibiwa na akikaidi katika ndoa ataadhibiwa kwa talaka.

Wanawake wa Kikristu wao ni tofauti na wamelelewa katika itikadi za "usawa" hata ndoa ni ya mume mmoja mke mmoja na hata afanye upumbavu gani hakuna talaka ni "mpaka kifo" hiyo automatically na subconceouslly inawapa kiburi hata bila ya wao kujua. (Japo sio wote)

Fuatilia wanawake wanaharakati wa usawa 50/50 ngangari ngangari 99% ni wanawake wa Kikristo.

Mtu mmoja atasema binti wa Kislam akibadili dini nae atakua na jeuri kama kina Matha na Juliana. Welk, jibu ni kondoo hata umpeleke akaishi pamoja na mbwa mwitu banda moja kamwe hatakua mbwa mwitu miaka mia atabaki kua kondoo.

Binafsi kati ya magirfriend 7 watano walikua Wakristu aise walikua na ngebe hatari na wawili (2) Waislamu hawa nilienjoy sanaaaa. Baada ya kufanya kautafiti nilijiapizaga kua nitaoa binti wa kiislamu na kumbadili dini na ndio nilichofanya.

Hata biblia inasema "mlee mtoto katika njia impasayo nae hataiacha hata akiwa mzee" hawa wadada wa Kikristu afu umkute anatoka kanisa na sijui nabii nani, sijui mtume gani alooo mume atajuta mwanadada anamsikiliza "baba nabii" kwa kila jambo. Ngebe ngebe hata ukimpiga bao la uchovu lazima akamwambie "baba" sikuhizi wanawaida dady.

Toxic feminism na wanawake wa Kikristo ni sambamba kama kambale na tope, wanasiasa na uongo, walimu na madeni vitu visivyotenganishwa kama traffic na rushwa, boda boda na koti chafu.
Binadam au tabia ni tofauti na hiyo mifano yako,
Yaani uchukue kisafi alafu ukakiweke kwenye uchafu, nacho kitabadilika kuwa kichafu,, chukua kichafu kiweke kwenye mazingira yenye usafi kitabakia kisafi milele!! Hiyo ndo kanuni yahapo..

Ulichokifanya nahisi sio sahihi wewe ndo ilitakiwa ubadili uende huko ili ukatengeneza familia namna hiyo.

Huyo amelelewa kwenye misingi ya uislamu na ndo maana unamuona yuko ivo.
Umembadilisha nakuwa mkristo kwa maana si unamtaka afuate misingi ya ukristo?? Hapo ataanza kubadilika yeye na kizazi chenu
 
IMG_20210406_104322.jpg
 
Sister wangu wa damu kaolewa na mkristo Wana mwaka wa 13 au 14 sasa
Watoto watatu mzee hana noma wala nn yeye ni mtu na swala zake tu ila yule jamaa ndo alitaka kubadili dini sijajua mpaka leo wanaishije maana sisi tunamfahamu kwa picha ila sijawai kukutana nae sijawai kwenda likizo kwa dada, kwa mjomba sijui shangazi, ba mkubwa sijui mdogo ,mama mkubwa sjui mdogo

Kila mtu na life lake
 
Nashukuru kwa nukuu zako nzuri za bibilia takatifu.

Mifano uliyotoa ya kina zuchu, hao tayari ni celebrities wapo katika ulimwengu mwingine wa kiroho tusiwaingize katika huu mjadala hatutamaliza mkuu.

Kiujumla unatoa mifano dhaifu sana mpaka umeingiza mambo ya vigodoro, namaanisha tusiiongelee ile jamii iliyokengeuka kabisa ambayo haina habari na Mungu.

Umenipa kitu kipya kumbe vazi la hijab sio kwa ajili ya waislamu tu, pia umeongea kuhusu tabia ya mtu haijengwi na dini bali ni tabia kutoka kwa wazazi, sasa kama ni hivyo kwann wazazi wetu wa kikristu hawatoi maadili mazuri na hawana misimamo kuwasisitiza watoto wao haswa wa kike kuvaa mavazi ya kujistiri mwili mzima?

Kwa kifupi wanawake wa kiislamu wanajua kujistiri sana na wana hofu ya Mungu tofaufi na wanawake wa kikristu ambao hawajali kabisa wala hawana hofu, kesho jumapili tembelea kanisa lolote utashuhudia nachosema

Sent using Jamii Forums mobile app

Sema wazazi wako wajakupa maadili usitusemehee

Sisi wengine wazazi wetu wanatufundisha maadili mfano mzuri ni wa kwangu

Kwetu siwezi kwenda nikavaa suruali au kimini tuseme nguo yoyote isiyo na heshima…. Nitavaa nikiwa kwangu ila sio kwa wazazi wangu kwasababu hawajanifundisha maadili hayo

Umesema kwamba hao ni ma celebrities sawa lakini hao ndo mfano halisi unaoakisi kwenye jamii yetu siwezi kukutajia Ashura wa nyumbani kwetu na humjui kama wewe unavyonitajia hao wanawake unaokutana Nao tusiowajua

Kimsingi familia yako haina maadili Kama ulivyosema mwenyewe sijajua wewe ni mkristo gani msiolelewa kwenye maadili

Maana mimi nimeenda Sunday school nikiwa Mtoto na nikafundishwa vyema tu Kama kubadilika niliamua mwenyewe kubadilikaa na wala sio kwamba sikufundwa

Usihusushee dini kwenye tabia shame on you na family yako Kama hamkufunzwa maadili
 
Nashukuru kwa nukuu zako nzuri za bibilia takatifu.

Mifano uliyotoa ya kina zuchu, hao tayari ni celebrities wapo katika ulimwengu mwingine wa kiroho tusiwaingize katika huu mjadala hatutamaliza mkuu.

Kiujumla unatoa mifano dhaifu sana mpaka umeingiza mambo ya vigodoro, namaanisha tusiiongelee ile jamii iliyokengeuka kabisa ambayo haina habari na Mungu.

Umenipa kitu kipya kumbe vazi la hijab sio kwa ajili ya waislamu tu, pia umeongea kuhusu tabia ya mtu haijengwi na dini bali ni tabia kutoka kwa wazazi, sasa kama ni hivyo kwann wazazi wetu wa kikristu hawatoi maadili mazuri na hawana misimamo kuwasisitiza watoto wao haswa wa kike kuvaa mavazi ya kujistiri mwili mzima?

Kwa kifupi wanawake wa kiislamu wanajua kujistiri sana na wana hofu ya Mungu tofaufi na wanawake wa kikristu ambao hawajali kabisa wala hawana hofu, kesho jumapili tembelea kanisa lolote utashuhudia nachosema

Sent using Jamii Forums mobile app

Kumbe wewe umeshindwa kuelewa una mawazo finyu Sanaa
Umeshindwa kuelewa kwamba maadili yameporomoka duniani yaani suala la mavazi linakuchanganya

Mbona huko huko kwenye dini unayoisifia ndo inaongoza kwa ufirajiii watu wamehalalisha mapenzi kinyume na maumbile ndio unaona ni kujisitiri huko mfano mzuri Zanzibar huku si ndo michezo ipo mingi wanawake kujitunza mbele nyuma wanaachia hiyo ndio staraa shame on you

Na hiyo michezo imetoka uarabuni huko kwenye dini yenyewe unataka kusema kwamba hayo ndio maadili wanayofundishwaa

Kama utaoa kwa kuangalia mavazi basi nakwambia utaupiga mwingi sana maana utateseka Sanaa kwenye hiyo ndoa yako

Iyo hofu ya Mungu unaoizungumzia ni ipi???

Aisee kweli baadhi ya wanaume wanazidiwa ujanja na akili na mwanamke…. Yaani kwa huo mtazamo wako jiandaee kupata mke bomu maana watakuvalia mpk nikabu kwenye vidole na usielewe

Narudia tena tabia ya mtu haiusianii na dini yake hilo ni jukumu la kila mzazi na familia kuakikisha anawajenga watoto wake kwenye misingi na maadili mema dini ni muongozo tu
 
Nashukuru kwa nukuu zako nzuri za bibilia takatifu.

Mifano uliyotoa ya kina zuchu, hao tayari ni celebrities wapo katika ulimwengu mwingine wa kiroho tusiwaingize katika huu mjadala hatutamaliza mkuu.

Kiujumla unatoa mifano dhaifu sana mpaka umeingiza mambo ya vigodoro, namaanisha tusiiongelee ile jamii iliyokengeuka kabisa ambayo haina habari na Mungu.

Umenipa kitu kipya kumbe vazi la hijab sio kwa ajili ya waislamu tu, pia umeongea kuhusu tabia ya mtu haijengwi na dini bali ni tabia kutoka kwa wazazi, sasa kama ni hivyo kwann wazazi wetu wa kikristu hawatoi maadili mazuri na hawana misimamo kuwasisitiza watoto wao haswa wa kike kuvaa mavazi ya kujistiri mwili mzima?

Kwa kifupi wanawake wa kiislamu wanajua kujistiri sana na wana hofu ya Mungu tofaufi na wanawake wa kikristu ambao hawajali kabisa wala hawana hofu, kesho jumapili tembelea kanisa lolote utashuhudia nachosema

Sent using Jamii Forums mobile app

Nami nakukaribisha kesho kanisani kwetu uje ujioonee

Hakuna mwanamke ambae utamuona kavaa kimini wala suluali wala nguo ya kubani expect labda kama ni mgeni na utamjua kama ni mgeni maana kuku mgeni hakosi kamba mguuni

Kimsingi watu siku hizi wamefanya dini kama biashara nakupa andiko hili
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Mathayo 7:21

“Si kila aniambiaye, ‘Bwana, Bwana’, ataingia katika ufalme wa mbinguni; ila ni yule tu anayetimiza matakwa ya Baba yangu aliye mbinguni.

Mathayo 7:15-29

“Jihadharini na manabii wa uongo. Wao huja kwenu wakionekana kama kondoo kwa nje, lakini kwa ndani ni mbwamwitu wakali. Mtawatambua kwa matendo yao. Je, watu huchuma zabibu katika miti ya miiba, au tini katika mbigili? La! Basi, mti mzuri huzaa matunda mazuri, na mti mbaya huzaa matunda mabaya. Mti mzuri hauwezi kuzaa matunda mabaya, wala mti mbaya hauwezi kuzaa matunda mazuri. Kila mti usiozaa matunda mazuri utakatwa na kutupwa motoni. Kwa hiyo, mtawatambua kwa matendo Yao

Ukiona kanisani watu wanavaa uchi rudia hilo andiko hapo juu

Wapo watumishi wa Mungu wa kweli wanaofundishaa kweli ya Mungu wasio ogopa kukemea dhambi

Jaribu kubadili kanisa ukute unaenda kwa mwamposa ndo unajiona umetembelea makanisa yote

Siku za mwisho
[emoji116][emoji116][emoji116]

“As Jesus was sitting on the Mount of Olives, the disciples came to him privately. “Tell us,” they said, “when will this happen, and what will be the sign of your coming and of the end of the age?” Jesus answered: “Watch out that no one deceives you. For many will come in my name, claiming, ‘I am the Messiah,’ and will deceive many. You will hear of wars and rumors of wars, but see to it that you are not alarmed. Such things must happen, but the end is still to come. Nation will rise against nation, and kingdom against kingdom. There will be famines and earthquakes in various places. All these are the beginning of birth pains. “Then you will be handed over to be persecuted and put to death, and you will be hated by all nations because of me. and many false prophets will appear and deceive many people. Because of the increase of wickedness, the love of most will grow cold, but the one who stands firm to the end will be saved. And this gospel of the kingdom will be preached in the whole world as a testimony to all nations, and then the end will come.”

‭‭Matthew‬ ‭24:3-9, 11-14‬ ‭
 
Peace be upon you all,

Wengi watasema tabia haihusiani na dini, well sio kweli tabia inajengwa kua njema au mbaya na mazingira ya mtu na hasa imani aliyo lelewa kwayo. Kuna msemo "Charity begins at home"

Mimi ni Mkristu na kwa habari ya malezi ya heshima na adabu nikiri wazi wenzetu Waislamu wamefanikiwa kusimamia maadili mema, adabu na heshima kwa wanawake mpaka wanapokua wake.

Zipo sababu nyingi zinazofanya wenzetu wawe na wanawake wenye adabu:
Moja, ikiwa uwepo wa talaka. Mwanamke wa kiislam toka mdogo anajua yampasa kua na heshima vinginevyo kuna adhabu akikaidi nyumbani ataadhibiwa, akikaidi madrasa ataadhibiwa na akikaidi katika ndoa ataadhibiwa kwa talaka.

Wanawake wa Kikristu wao ni tofauti na wamelelewa katika itikadi za "usawa" hata ndoa ni ya mume mmoja mke mmoja na hata afanye upumbavu gani hakuna talaka ni "mpaka kifo" hiyo automatically na subconceouslly inawapa kiburi hata bila ya wao kujua. (Japo sio wote)

Fuatilia wanawake wanaharakati wa usawa 50/50 ngangari ngangari 99% ni wanawake wa Kikristo.

Mtu mmoja atasema binti wa Kislam akibadili dini nae atakua na jeuri kama kina Matha na Juliana. Welk, jibu ni kondoo hata umpeleke akaishi pamoja na mbwa mwitu banda moja kamwe hatakua mbwa mwitu miaka mia atabaki kua kondoo.

Binafsi kati ya magirfriend 7 watano walikua Wakristu aise walikua na ngebe hatari na wawili (2) Waislamu hawa nilienjoy sanaaaa. Baada ya kufanya kautafiti nilijiapizaga kua nitaoa binti wa kiislamu na kumbadili dini na ndio nilichofanya.

Hata biblia inasema "mlee mtoto katika njia impasayo nae hataiacha hata akiwa mzee" hawa wadada wa Kikristu afu umkute anatoka kanisa na sijui nabii nani, sijui mtume gani alooo mume atajuta mwanadada anamsikiliza "baba nabii" kwa kila jambo. Ngebe ngebe hata ukimpiga bao la uchovu lazima akamwambie "baba" sikuhizi wanawaida dady.

Toxic feminism na wanawake wa Kikristo ni sambamba kama kambale na tope, wanasiasa na uongo, walimu na madeni vitu visivyotenganishwa kama traffic na rushwa, boda boda na koti chafu.
Walimu na madeni......hahaaa watumishi wengine hawana madeni au kwa kuwa walimu ni wengi
 
Back
Top Bottom