Ukitaka amani katika ndoa, oa mwanamke Muislamu mbadilishe kuwa Mkristu

Ukitaka amani katika ndoa, oa mwanamke Muislamu mbadilishe kuwa Mkristu

Unaongea tu, hujakutana na wakina Mwajuma wewe. Tena usiongelee kabisa wanawake wa kiislamu Manzese.

Lakini yote kwa yote dini haina maana katika tabia

Ndomaana kwa waislam ikawepo talaka. Walijua watakuwepo watu kama huyo mwajuma wako au watu wasioendana.

Sasa kwa wakristo utaambiwa mvumiliane hadi kifo!. sasa kiislam uyo unamtwanga talaka asubuhi na mapema kabla jogoo hajawika aende zake kwao kwa usalama. hapo ndo unaona uislam ulivo na uhalisia zaidi wa kimaisha.
 
A man needs respect and a woman needs love for a marriage to work.
Sasa hua najiuliza, wanaume wa kibongo kila.mmoja wetu anataka mwanamke mwenye heshima, lakini je, sisi wote tunawapenda hao wanawake? Je tunawapenda kwelikweli au tupo self centered kwamba tuheshimiwe tu lakini wao tuwapende chini ya kiwango?[emoji848]
[emoji120][emoji120][emoji1732]kudos
 
Pia umesahau kuhusu mavazi, yale mavazi ya wanawake wa kiislamu ndio mavazi yenye heshima mwanamke mwenye heshima hupaswa kuyavaa, yanawapendeza sana, sio unakutana na mwanamke wa kikristo amepiga kimini au suruali inamchoresha maungo yake yote

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo sio mkristu Bali ni mwanakanisa. Kwenye ukristu kuna kanuni za uvaaji pia ila kwakuwa familia na makanisa mengi yameacha kuzizingatia na kuingiza demokrasia ndio maana tunahis wakristu wanaruhisiwa kuvaa vimin na suruali jambo ambalo sio kweli
 
Kwanini wewe usiwe muislamu ili nawe uwe na maadili? Maana kwa bandiko lako unamaanisha wakristo hawana maadili maana wazazi hawawalei katika maadili hivyo moja kwa moja nawe huna maadili mema.

Kuwa muislamu ili ukawe na maadili ili uzae watoto na uwalee katika maadili mema.
Lasivyo utapewa wa kufanana nawe.
 
Ndomaana kwa waislam ikawepo talaka. Walijua watakuwepo watu kama huyo mwajuma wako au watu wasioendana.

Sasa kwa wakristo utaambiwa mvumiliane hadi kifo!. sasa kiislam uyo unamtwanga talaka asubuhi na mapema kabla jogoo hajawika aende zake kwao kwa usalama. hapo ndo unaona uislam ulivo na uhalisia zaidi wa kimaisha.
Ata kwenye ukristu kuna talaka pia. Shida ni vile watu wameamiñishwa na viongozi wao wa dini kuwa haipo na masharti yake kuna mda yanabana
 
Hii mambo kama ishanikuta kuna mwanamke nilikuwa naishi nae alikuwa anamuamini yule mwamba wa pale kawe mzee wakupulizaa 😂😂😂😂 ndiyo kaombea, uyu mwanamke siku moja si akawa ananishawishi niwe naenda nilimpa jibu kwa jicho tu. Siku moja akaenda huko si akabeba picha yangu kwa siri ili niwe naenda huko baada yakumbana kwanin alibeba picha yangu nilimpa onyo tu kama atahangaika ja ushirikina kitakachomkuta hasije laumu na nikamwambia ashirikishe na ndugu zake pindi litakapomkuta wajue nini alifanya.
 
Peace be upon you all,

Wengi watasema tabia haihusiani na dini, well sio kweli tabia inajengwa kua njema au mbaya na mazingira ya mtu na hasa imani aliyo lelewa kwayo. Kuna msemo "Charity begins at home"

Mimi ni Mkristu na kwa habari ya malezi ya heshima na adabu nikiri wazi wenzetu Waislamu wamefanikiwa kusimamia maadili mema, adabu na heshima kwa wanawake mpaka wanapokua wake.

Zipo sababu nyingi zinazofanya wenzetu wawe na wanawake wenye adabu:
Moja, ikiwa uwepo wa talaka. Mwanamke wa kiislam toka mdogo anajua yampasa kua na heshima vinginevyo kuna adhabu akikaidi nyumbani ataadhibiwa, akikaidi madrasa ataadhibiwa na akikaidi katika ndoa ataadhibiwa kwa talaka.

Wanawake wa Kikristu wao ni tofauti na wamelelewa katika itikadi za "usawa" hata ndoa ni ya mume mmoja mke mmoja na hata afanye upumbavu gani hakuna talaka ni "mpaka kifo" hiyo automatically na subconceouslly inawapa kiburi hata bila ya wao kujua. (Japo sio wote)

Fuatilia wanawake wanaharakati wa usawa 50/50 ngangari ngangari 99% ni wanawake wa Kikristo.

Mtu mmoja atasema binti wa Kislam akibadili dini nae atakua na jeuri kama kina Matha na Juliana. Welk, jibu ni kondoo hata umpeleke akaishi pamoja na mbwa mwitu banda moja kamwe hatakua mbwa mwitu miaka mia atabaki kua kondoo.

Binafsi kati ya magirfriend 7 watano walikua Wakristu aise walikua na ngebe hatari na wawili (2) Waislamu hawa nilienjoy sanaaaa. Baada ya kufanya kautafiti nilijiapizaga kua nitaoa binti wa kiislamu na kumbadili dini na ndio nilichofanya.

Hata biblia inasema "mlee mtoto katika njia impasayo nae hataiacha hata akiwa mzee" hawa wadada wa Kikristu afu umkute anatoka kanisa na sijui nabii nani, sijui mtume gani alooo mume atajuta mwanadada anamsikiliza "baba nabii" kwa kila jambo. Ngebe ngebe hata ukimpiga bao la uchovu lazima akamwambie "baba" sikuhizi wanawaida dady.

Toxic feminism na anawake wa Kikristo ni sambamba kama kambale na tope, wanasiasa na madeni, walimu na madeni vitu visivyotenganishwa kama traffic na rushwa, boda boda na koti chafu.
mwanaume muislamu na mwanamke mkristu iyo ndoa ni lazima idumu hapo mwanamke anabidili dini anaenda kwenye uislamu
 
Huo ni mtazamo wako kwa upande mmoja, angalia na upande wa pili.

Ulichoandika ni kweli, lakini hawa wadada wana mapepo sio kidogo usipokaza buti.
Imani yako itakakuwa mashakani.

Inawezekana ila kuna gharama, tena gharama.

Ukute na ndugu zake wameshika uislam, [emoji848][emoji848][emoji848][emoji380][emoji380]
Haelewi huyu anaona rahisi...
Suleimani yalimkuta
Wanawake wakamkengeusha akamuacha Mungu,na kugeukia miungu iliyokuja na wakeze!
Anaangalia nje tu...
Yaani utafikiri ana hiyo nguvu ya kumbadirisha mtu aje kwake,mwisho wa siku anabadirishwa yeye...
Ndo huyu Sasa, haelewi kwann Mungu aliwakataza waisrael kuoa watu wanaoabudu Mungu tofauti .... kwenye kutoka pale ukisoma anapotoa maagizo..
Hajui ni issue ya madhabahu 2 tofauti,Mungu tofauti
Hajui issue ya uzao wake itakavyokua na shida spiritual....
 
Peace be upon you all,

Wengi watasema tabia haihusiani na dini, well sio kweli tabia inajengwa kua njema au mbaya na mazingira ya mtu na hasa imani aliyo lelewa kwayo. Kuna msemo "Charity begins at home"

Mimi ni Mkristu na kwa habari ya malezi ya heshima na adabu nikiri wazi wenzetu Waislamu wamefanikiwa kusimamia maadili mema, adabu na heshima kwa wanawake mpaka wanapokua wake.

Zipo sababu nyingi zinazofanya wenzetu wawe na wanawake wenye adabu:
Moja, ikiwa uwepo wa talaka. Mwanamke wa kiislam toka mdogo anajua yampasa kua na heshima vinginevyo kuna adhabu akikaidi nyumbani ataadhibiwa, akikaidi madrasa ataadhibiwa na akikaidi katika ndoa ataadhibiwa kwa talaka.

Wanawake wa Kikristu wao ni tofauti na wamelelewa katika itikadi za "usawa" hata ndoa ni ya mume mmoja mke mmoja na hata afanye upumbavu gani hakuna talaka ni "mpaka kifo" hiyo automatically na subconceouslly inawapa kiburi hata bila ya wao kujua. (Japo sio wote)

Fuatilia wanawake wanaharakati wa usawa 50/50 ngangari ngangari 99% ni wanawake wa Kikristo.

Mtu mmoja atasema binti wa Kislam akibadili dini nae atakua na jeuri kama kina Matha na Juliana. Welk, jibu ni kondoo hata umpeleke akaishi pamoja na mbwa mwitu banda moja kamwe hatakua mbwa mwitu miaka mia atabaki kua kondoo.

Binafsi kati ya magirfriend 7 watano walikua Wakristu aise walikua na ngebe hatari na wawili (2) Waislamu hawa nilienjoy sanaaaa. Baada ya kufanya kautafiti nilijiapizaga kua nitaoa binti wa kiislamu na kumbadili dini na ndio nilichofanya.

Hata biblia inasema "mlee mtoto katika njia impasayo nae hataiacha hata akiwa mzee" hawa wadada wa Kikristu afu umkute anatoka kanisa na sijui nabii nani, sijui mtume gani alooo mume atajuta mwanadada anamsikiliza "baba nabii" kwa kila jambo. Ngebe ngebe hata ukimpiga bao la uchovu lazima akamwambie "baba" sikuhizi wanawaida dady.

Toxic feminism na anawake wa Kikristo ni sambamba kama kambale na tope, wanasiasa na madeni, walimu na madeni vitu visivyotenganishwa kama traffic na rushwa, boda boda na koti chafu.
Hakuna mahali ukristo unafundisha maadili mabaya!
Hayo mambo ya familia ,jamii yanahusianaje na ukristo?

Usihusishe ukristo na tabia za watu!

Hapa wengine tumezungukwa na haohao unsowaita Wana maadili shida tupu,uchafu ndo uchafu ,lkn siwezi uhusisha na dini Yao!
 
Mkuu umenena vyema juzi kati nipo ghetto nasikiliza nyimbo zangu za kikatoliki.. Demu akaanza kucheka kwa kebehi kisa yeye anaamini kwa manabii
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Uko sahihi. Sema tusio fungamana na upande wowote ule nadhani tuko kiafrika zaidi mkuu mie hata wanawake Mia naoa Ni juu yangu. Nyie Naona wenye ngozi ya nguruwe ndio wamekuja kuwapa standards za maisha kuwa yanatakiwa yawe hivi. Yaani kwao ndio si unit kila kitu mnaiga. Haya mmeshika dini wanawazidi akili ushoga Ni haki. Yaani mie Ni misimamo yangu ya kiafrika.wife anajua muda wowote naongeza mke hajanioa ,hatujaoana Kama ilivyo marry kwa English. Bali mie nimemuoa namlelea Kama mwanangu na simpi manyanyaso yyte. Sijategemea aje tusaidiane kimaisha Bali aje tuzae watu namie napenda niwe hata na kakijiji kangu sema bado napambana nahitaji niivunje rekodi ya Suleiman king
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] umeanza vizuri sana

Haswaa hapo kwenye ushoga
 
Kwa utafiti usio wa kisayansi kwa kweli kuna tofauti kwenye usafi kati ya mabinti wa kigalatia na hao wenzao wa kiislam. Na hii haijalishi mhusika awe wa mjini au kijijini, msomi au maamuma. Hawa mabinti wa kiislam mkikutana kwenye lile tukio pendwa lazma atapita kwanza maliwatoni kujiswafi au atahakikisha yu mswafi. Ni ngum kukuta wanatoa miharufu ya ajabuajabu. Sasa kimbembe kipo kwa hawa wenzao wengine.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Nacheka kama mazuri
 
Back
Top Bottom