kidambinya
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 1,177
- 1,721
HahahahaaaaMkaoane uko na miungu yenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahaaaaMkaoane uko na miungu yenu
Mkuu unaweza kukesha unanyanduaAlafu hawa wavaa hijabu na baibui wana joto kwenye k za ni balaa
Hayo sio maadili na ndio ushahidi wa usawa, ubabe, 50/50 wa wanawake wa KikristoMleta mada huyo anataka maadili ya hivo😂😂
Umeongea ukweli kabisaPeace be upon you all,
Wengi watasema tabia haihusiani na dini, well sio kweli tabia inajengwa kua njema au mbaya na mazingira ya mtu na hasa imani aliyo lelewa kwayo. Kuna msemo "Charity begins at home"
Mimi ni Mkristu na kwa habari ya malezi ya heshima na adabu nikiri wazi wenzetu Waislamu wamefanikiwa kusimamia maadili mema, adabu na heshima kwa wanawake mpaka wanapokua wake.
Zipo sababu nyingi zinazofanya wenzetu wawe na wanawake wenye adabu:
Moja, ikiwa uwepo wa talala. Mwanamke wa kiislam toka mdogo anajua yampasa kua na heshima vinginevyo kuna adhabu akikaidi nyumbani ataadhibiwa, akikaidi madrasa ataadhibiwa na akikaidi katika ndoa ataadhibiwa kwa talaka.
Wanawake wa Kikristu wao ni tofauti na wamelelewa katika itikadi za "usawa" hata ndoa ni ya mume mmoja mke mmoja na hata afanye upumbavu gani hakuna talaka ni "mpaka kifo" hiyo automatically na subconceouslly inawapa kiburi hata bila ya wao kujua. (Japo sio wote)
Fuatilia wanawake wanaharakati wa usawa 50/50 ngangari ngangari 99% ni wanawake wa Kikristo.
Mtu mmoja atasema binti wa Kislam akibadili dini nae atakua na jeuri kama kina Matha na Juliana. Welk, jibu ni kondoo hata umpeleke akaishi pamoja na mbwa mwitu banda moja kamwe hatakua mbwa mwitu miaka mia atabaki kua kondoo.
Binafsi kati ya magirfriend 7 watano walikua Wakristu aise walikua na ngebe hatari na wawili (2) Waislamu hawa nilienjoy sanaaaa. Baada ya kufanya kautafiti nilijiapizaga kua nitaoa binti wa kiislamu na kumbadili dini na ndio nilichofanya.
Hata biblia inasema "mlee mtoto katika njia impasayo nae hataiacha hata akiwa mzee" hawa wadada wa Kikristu afu umkute anatoka kanisa na sijui nabii nani, sijui mtume gani alooo mume atajuta mwanadada anamsikiliza "baba nabii" kwa kila jambo. Ngebe ngebe hata ukimpiga bao la uchovu lazima akamwambie "baba" sikuhizi wanawaida dady.
Toxic feminism na anawake wa Kikristo ni sambamba kama kambale na tope, wanasiasa na madeni, walimu na madeni vitu visivyotenganishwa kama traffic na rushwa, boda boda na koti chafu.
Huo ni mtazamo wako kwa upande mmoja, angalia na upande wa pili.Peace be upon you all,

Halo kwenye ndio shida yao kuu.. Lkn usafi, mambo yetu na kupika #1Ukweli usemwe watoto wa kiislamu ni wasafiiii, wazuriii heshima sana ila wengi wao si wanyimi
Yaani hapo ndo kipengere hasaHalo kwenye ndio shida yao kuu.. Lkn usafi, mambo yetu na kupika #1
Mbaya zaidi unakuta anavigimbi halafu kitu black kama JaluoPia umesahau kuhusu mavazi, yale mavazi ya wanawake wa kiislamu ndio mavazi yenye heshima mwanamke mwenye heshima hupaswa kuyavaa, yanawapendeza sana, sio unakutana na mwanamke wa kikristo amepiga kimini au suruali inamchoresha maungo yake yote
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijaelewa ulichoandika."Dady" hajambo, au wewe unamwitaga "papaa"
Mwafrika ziwa paja kilikuwa waziwazi lilionekAna la kawaidaMbaya zaidi unakuta anavigimbi halafu kitu black kama Jaluo
And on you be peace and blessing of Allah.
Shida hapo mkuu ni mafundisho ya Ukristo ni mabaya na mafundisho ya Uisilamu ni mazuri, basi tusiwalaumu wasichana wa kikristo bali tutafakari mafundisho ya Ukristo na tuyapime na tujiulize; je yanafaa katika nyakati hizi za sasa si kwa wasichana na wanawake wa kikristo tu bali pia kwako wewe na mimi ??!!.-- usitafute mchawi mwingine.
Short and clear.