Ukitaka amani katika ndoa, oa mwanamke Muislamu mbadilishe kuwa Mkristu

Ukitaka amani katika ndoa, oa mwanamke Muislamu mbadilishe kuwa Mkristu

Nimeona point mbili.
Huwezi kutenganisha traffic na rushwa au mwanasiasa na uongo
 
Peace be upon you all,

Wengi watasema tabia haihusiani na dini, well sio kweli tabia inajengwa kua njema au mbaya na mazingira ya mtu na hasa imani aliyo lelewa kwayo. Kuna msemo "Charity begins at home"

Mimi ni Mkristu na kwa habari ya malezi ya heshima na adabu nikiri wazi wenzetu Waislamu wamefanikiwa kusimamia maadili mema, adabu na heshima kwa wanawake mpaka wanapokua wake.

Zipo sababu nyingi zinazofanya wenzetu wawe na wanawake wenye adabu:
Moja, ikiwa uwepo wa talala. Mwanamke wa kiislam toka mdogo anajua yampasa kua na heshima vinginevyo kuna adhabu akikaidi nyumbani ataadhibiwa, akikaidi madrasa ataadhibiwa na akikaidi katika ndoa ataadhibiwa kwa talaka.

Wanawake wa Kikristu wao ni tofauti na wamelelewa katika itikadi za "usawa" hata ndoa ni ya mume mmoja mke mmoja na hata afanye upumbavu gani hakuna talaka ni "mpaka kifo" hiyo automatically na subconceouslly inawapa kiburi hata bila ya wao kujua. (Japo sio wote)

Fuatilia wanawake wanaharakati wa usawa 50/50 ngangari ngangari 99% ni wanawake wa Kikristo.

Mtu mmoja atasema binti wa Kislam akibadili dini nae atakua na jeuri kama kina Matha na Juliana. Welk, jibu ni kondoo hata umpeleke akaishi pamoja na mbwa mwitu banda moja kamwe hatakua mbwa mwitu miaka mia atabaki kua kondoo.

Binafsi kati ya magirfriend 7 watano walikua Wakristu aise walikua na ngebe hatari na wawili (2) Waislamu hawa nilienjoy sanaaaa. Baada ya kufanya kautafiti nilijiapizaga kua nitaoa binti wa kiislamu na kumbadili dini na ndio nilichofanya.

Hata biblia inasema "mlee mtoto katika njia impasayo nae hataiacha hata akiwa mzee" hawa wadada wa Kikristu afu umkute anatoka kanisa na sijui nabii nani, sijui mtume gani alooo mume atajuta mwanadada anamsikiliza "baba nabii" kwa kila jambo. Ngebe ngebe hata ukimpiga bao la uchovu lazima akamwambie "baba" sikuhizi wanawaida dady.

Toxic feminism na anawake wa Kikristo ni sambamba kama kambale na tope, wanasiasa na madeni, walimu na madeni vitu visivyotenganishwa kama traffic na rushwa, boda boda na koti chafu.
Umeongea ukweli kabisa
 
Huo ni mtazamo wako kwa upande mmoja, angalia na upande wa pili.

Ulichoandika ni kweli, lakini hawa wadada wana mapepo sio kidogo usipokaza buti.
Imani yako itakakuwa mashakani.

Inawezekana ila kuna gharama, tena gharama.

Ukute na ndugu zake wameshika uislam, [emoji848][emoji848][emoji848][emoji380][emoji380]
 
Mimi ni mkristo ila nakubaliana na mtoa hoja kwa asilimia fulani, ukristo unaendana na mifumo ya mataifa ya magharibi ambapo suala la feminism limetamalaki!

Unamsikia baba mkwe amamwambia binti “akikunyanyasa urudi chumba chako kipo” hivi kwa akili ya kawaida unawezaje kutamka kauli kama hii!?
 
Pia umesahau kuhusu mavazi, yale mavazi ya wanawake wa kiislamu ndio mavazi yenye heshima mwanamke mwenye heshima hupaswa kuyavaa, yanawapendeza sana, sio unakutana na mwanamke wa kikristo amepiga kimini au suruali inamchoresha maungo yake yote

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbaya zaidi unakuta anavigimbi halafu kitu black kama Jaluo
 
Uko sahihi. Sema tusio fungamana na upande wowote ule nadhani tuko kiafrika zaidi mkuu mie hata wanawake Mia naoa Ni juu yangu. Nyie Naona wenye ngozi ya nguruwe ndio wamekuja kuwapa standards za maisha kuwa yanatakiwa yawe hivi. Yaani kwao ndio si unit kila kitu mnaiga. Haya mmeshika dini wanawazidi akili ushoga Ni haki. Yaani mie Ni misimamo yangu ya kiafrika.wife anajua muda wowote naongeza mke hajanioa ,hatujaoana Kama ilivyo marry kwa English. Bali mie nimemuoa namlelea Kama mwanangu na simpi manyanyaso yyte. Sijategemea aje tusaidiane kimaisha Bali aje tuzae watu namie napenda niwe hata na kakijiji kangu sema bado napambana nahitaji niivunje rekodi ya Suleiman king
 
And on you be peace and blessing of Allah.

Shida hapo mkuu ni mafundisho ya Ukristo ni mabaya na mafundisho ya Uisilamu ni mazuri, basi tusiwalaumu wasichana wa kikristo bali tutafakari mafundisho ya Ukristo na tuyapime na tujiulize; je yanafaa katika nyakati hizi za sasa si kwa wasichana na wanawake wa kikristo tu bali pia kwako wewe na mimi ??!!.-- usitafute mchawi mwingine.

Short and clear.

Umevurunda

Dini ya kikristo haina mafundisho mabaya

Watu wachache wenye mapokeo mabaya ndio wanaupa ukristo sifa mbaya

Anyway
Nafikiri kufundisha watu kuua ndio mafundisho mazuri [emoji3][emoji3]
 
Waislam wenzetu wanafundishwa maadili zaidi na namna ya kumcha mwenyezi Mungu na kuishi maisha yanayostahili..kwenye ukristo tuko busy kuombeana ufanikiwe, miujiza, unabii na umotivesheni speaker ndani yake .we are too much focus on personal rather than kujenga mtu aishije kwenye jamii...
 
Mimi ni msomaji mzuri wa vitabu vitakatifu vyote viwili yani biblia na Quran. Na katika usomaji wangu nilicho gundua Quran siyo tu kitabu kitakatifu bali ni kitabu kinachotoa muongozo kamili wa maisha ya mwanadamu ukilinganisha na biblia iliyo acha mambo mengi hewani. Na ndo maana utakuta kifungu kimoja cha kwenye biblia msabato anaki tafsiri tofauti na mlokole au mroma, kitu ambacho huwezi kukikuta kwenye Quran.

Ukisoma Quran vizuri licha ya kuandika mambo ya kiroho pia imeandika mambo mengi sana yanayo husu maisha ya kawaida mfano, Malezi, ndoa, Marathi n.k. Hivo basi ukiacha mitazamo ya udini ukarudi kwenye ukweli na uhalisia, Wanawake wa kiislamu wamelelewa na kuishi katika misingi ya maadili na heshima kuliko wanawake wa Christians, hasa katika mavazi (kujisitili), heshima kwa wanaume (ndoani), Usafi(Mavazi na mwili) na harakati (Most of Islamic women are not 50/50 followers).

Note: Bandiko hili lisichanganywe na akili za ufia dini, bali lichukuliwe kama hoja pambanishi kwa maisha ya kawaida.
 
Back
Top Bottom