Waterloo
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 25,356
- 38,922
Ni sawa wengi tu tumeoa wa dini tofauti. Nimezungumzia uislam unavyotakaLakini mimi ni Mkristo na nimeoa Muislam na sio mimi tu wengi sana wameoa Waislam
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni sawa wengi tu tumeoa wa dini tofauti. Nimezungumzia uislam unavyotakaLakini mimi ni Mkristo na nimeoa Muislam na sio mimi tu wengi sana wameoa Waislam
Unaongea tu, hujakutana na wakina Mwajuma wewe. Tena usiongelee kabisa wanawake wa kiislamu Manzese.
Lakini yote kwa yote dini haina maana katika tabia
Kwakweli kumekuchaKumekucha...
[emoji120][emoji120][emoji1732]kudosA man needs respect and a woman needs love for a marriage to work.
Sasa hua najiuliza, wanaume wa kibongo kila.mmoja wetu anataka mwanamke mwenye heshima, lakini je, sisi wote tunawapenda hao wanawake? Je tunawapenda kwelikweli au tupo self centered kwamba tuheshimiwe tu lakini wao tuwapende chini ya kiwango?[emoji848]
Endeleeni kujidanganya!Mzee umemaliza kila kitu, hili wazo lako ninalo kichwani muda mrefu sana, nilidhani ni fikra zangu mwenyewe kumbe hata ww mzee mwenzangu umeliona hili
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaongea tu hata hawaelewiMkaoane uko na miungu yenu
Namwona mtoa mada na wife akee, haya akina Maria tupo hapa.
Huyo sio mkristu Bali ni mwanakanisa. Kwenye ukristu kuna kanuni za uvaaji pia ila kwakuwa familia na makanisa mengi yameacha kuzizingatia na kuingiza demokrasia ndio maana tunahis wakristu wanaruhisiwa kuvaa vimin na suruali jambo ambalo sio kweliPia umesahau kuhusu mavazi, yale mavazi ya wanawake wa kiislamu ndio mavazi yenye heshima mwanamke mwenye heshima hupaswa kuyavaa, yanawapendeza sana, sio unakutana na mwanamke wa kikristo amepiga kimini au suruali inamchoresha maungo yake yote
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye ukristu talaka IPO imeruhusiwa sema viongozi wa din wameamua kuipindisha na kuwaaminisha kuwa haipo.Ukristu ungeruhusu talaka zaidi 95% za ndoa za Kikristu zingevunjika
Ata kwenye ukristu kuna talaka pia. Shida ni vile watu wameamiñishwa na viongozi wao wa dini kuwa haipo na masharti yake kuna mda yanabanaNdomaana kwa waislam ikawepo talaka. Walijua watakuwepo watu kama huyo mwajuma wako au watu wasioendana.
Sasa kwa wakristo utaambiwa mvumiliane hadi kifo!. sasa kiislam uyo unamtwanga talaka asubuhi na mapema kabla jogoo hajawika aende zake kwao kwa usalama. hapo ndo unaona uislam ulivo na uhalisia zaidi wa kimaisha.
mwanaume muislamu na mwanamke mkristu iyo ndoa ni lazima idumu hapo mwanamke anabidili dini anaenda kwenye uislamuPeace be upon you all,
Wengi watasema tabia haihusiani na dini, well sio kweli tabia inajengwa kua njema au mbaya na mazingira ya mtu na hasa imani aliyo lelewa kwayo. Kuna msemo "Charity begins at home"
Mimi ni Mkristu na kwa habari ya malezi ya heshima na adabu nikiri wazi wenzetu Waislamu wamefanikiwa kusimamia maadili mema, adabu na heshima kwa wanawake mpaka wanapokua wake.
Zipo sababu nyingi zinazofanya wenzetu wawe na wanawake wenye adabu:
Moja, ikiwa uwepo wa talaka. Mwanamke wa kiislam toka mdogo anajua yampasa kua na heshima vinginevyo kuna adhabu akikaidi nyumbani ataadhibiwa, akikaidi madrasa ataadhibiwa na akikaidi katika ndoa ataadhibiwa kwa talaka.
Wanawake wa Kikristu wao ni tofauti na wamelelewa katika itikadi za "usawa" hata ndoa ni ya mume mmoja mke mmoja na hata afanye upumbavu gani hakuna talaka ni "mpaka kifo" hiyo automatically na subconceouslly inawapa kiburi hata bila ya wao kujua. (Japo sio wote)
Fuatilia wanawake wanaharakati wa usawa 50/50 ngangari ngangari 99% ni wanawake wa Kikristo.
Mtu mmoja atasema binti wa Kislam akibadili dini nae atakua na jeuri kama kina Matha na Juliana. Welk, jibu ni kondoo hata umpeleke akaishi pamoja na mbwa mwitu banda moja kamwe hatakua mbwa mwitu miaka mia atabaki kua kondoo.
Binafsi kati ya magirfriend 7 watano walikua Wakristu aise walikua na ngebe hatari na wawili (2) Waislamu hawa nilienjoy sanaaaa. Baada ya kufanya kautafiti nilijiapizaga kua nitaoa binti wa kiislamu na kumbadili dini na ndio nilichofanya.
Hata biblia inasema "mlee mtoto katika njia impasayo nae hataiacha hata akiwa mzee" hawa wadada wa Kikristu afu umkute anatoka kanisa na sijui nabii nani, sijui mtume gani alooo mume atajuta mwanadada anamsikiliza "baba nabii" kwa kila jambo. Ngebe ngebe hata ukimpiga bao la uchovu lazima akamwambie "baba" sikuhizi wanawaida dady.
Toxic feminism na anawake wa Kikristo ni sambamba kama kambale na tope, wanasiasa na madeni, walimu na madeni vitu visivyotenganishwa kama traffic na rushwa, boda boda na koti chafu.
Haelewi huyu anaona rahisi...Huo ni mtazamo wako kwa upande mmoja, angalia na upande wa pili.
Ulichoandika ni kweli, lakini hawa wadada wana mapepo sio kidogo usipokaza buti.
Imani yako itakakuwa mashakani.
Inawezekana ila kuna gharama, tena gharama.
Ukute na ndugu zake wameshika uislam, [emoji848][emoji848][emoji848][emoji380][emoji380]
Hakuna mahali ukristo unafundisha maadili mabaya!Peace be upon you all,
Wengi watasema tabia haihusiani na dini, well sio kweli tabia inajengwa kua njema au mbaya na mazingira ya mtu na hasa imani aliyo lelewa kwayo. Kuna msemo "Charity begins at home"
Mimi ni Mkristu na kwa habari ya malezi ya heshima na adabu nikiri wazi wenzetu Waislamu wamefanikiwa kusimamia maadili mema, adabu na heshima kwa wanawake mpaka wanapokua wake.
Zipo sababu nyingi zinazofanya wenzetu wawe na wanawake wenye adabu:
Moja, ikiwa uwepo wa talaka. Mwanamke wa kiislam toka mdogo anajua yampasa kua na heshima vinginevyo kuna adhabu akikaidi nyumbani ataadhibiwa, akikaidi madrasa ataadhibiwa na akikaidi katika ndoa ataadhibiwa kwa talaka.
Wanawake wa Kikristu wao ni tofauti na wamelelewa katika itikadi za "usawa" hata ndoa ni ya mume mmoja mke mmoja na hata afanye upumbavu gani hakuna talaka ni "mpaka kifo" hiyo automatically na subconceouslly inawapa kiburi hata bila ya wao kujua. (Japo sio wote)
Fuatilia wanawake wanaharakati wa usawa 50/50 ngangari ngangari 99% ni wanawake wa Kikristo.
Mtu mmoja atasema binti wa Kislam akibadili dini nae atakua na jeuri kama kina Matha na Juliana. Welk, jibu ni kondoo hata umpeleke akaishi pamoja na mbwa mwitu banda moja kamwe hatakua mbwa mwitu miaka mia atabaki kua kondoo.
Binafsi kati ya magirfriend 7 watano walikua Wakristu aise walikua na ngebe hatari na wawili (2) Waislamu hawa nilienjoy sanaaaa. Baada ya kufanya kautafiti nilijiapizaga kua nitaoa binti wa kiislamu na kumbadili dini na ndio nilichofanya.
Hata biblia inasema "mlee mtoto katika njia impasayo nae hataiacha hata akiwa mzee" hawa wadada wa Kikristu afu umkute anatoka kanisa na sijui nabii nani, sijui mtume gani alooo mume atajuta mwanadada anamsikiliza "baba nabii" kwa kila jambo. Ngebe ngebe hata ukimpiga bao la uchovu lazima akamwambie "baba" sikuhizi wanawaida dady.
Toxic feminism na anawake wa Kikristo ni sambamba kama kambale na tope, wanasiasa na madeni, walimu na madeni vitu visivyotenganishwa kama traffic na rushwa, boda boda na koti chafu.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji119]Hatari mkuu, utawasikia kanisani "yes daddy, bless me daddy"
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Mkuu umenena vyema juzi kati nipo ghetto nasikiliza nyimbo zangu za kikatoliki.. Demu akaanza kucheka kwa kebehi kisa yeye anaamini kwa manabii
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] umeanza vizuri sanaUko sahihi. Sema tusio fungamana na upande wowote ule nadhani tuko kiafrika zaidi mkuu mie hata wanawake Mia naoa Ni juu yangu. Nyie Naona wenye ngozi ya nguruwe ndio wamekuja kuwapa standards za maisha kuwa yanatakiwa yawe hivi. Yaani kwao ndio si unit kila kitu mnaiga. Haya mmeshika dini wanawazidi akili ushoga Ni haki. Yaani mie Ni misimamo yangu ya kiafrika.wife anajua muda wowote naongeza mke hajanioa ,hatujaoana Kama ilivyo marry kwa English. Bali mie nimemuoa namlelea Kama mwanangu na simpi manyanyaso yyte. Sijategemea aje tusaidiane kimaisha Bali aje tuzae watu namie napenda niwe hata na kakijiji kangu sema bado napambana nahitaji niivunje rekodi ya Suleiman king
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Kwa utafiti usio wa kisayansi kwa kweli kuna tofauti kwenye usafi kati ya mabinti wa kigalatia na hao wenzao wa kiislam. Na hii haijalishi mhusika awe wa mjini au kijijini, msomi au maamuma. Hawa mabinti wa kiislam mkikutana kwenye lile tukio pendwa lazma atapita kwanza maliwatoni kujiswafi au atahakikisha yu mswafi. Ni ngum kukuta wanatoa miharufu ya ajabuajabu. Sasa kimbembe kipo kwa hawa wenzao wengine.
Sure thingKATAA NDOA
NDOA NI UBINAFSI