Ukitaka hela za haraka fungua kanisa kuna majinga mengi; kinachoendelea Kawe kwa Mwamposa kinasikitisha

Watu wengi hawajui hata kama Kuna kuwapanga watu huwezi ukawpanga ivyo

Unajua mwamposa ana nguvu sana kwenye utendaji... Ile madhabahu Ina nguvu

Ikiwa Kuna wanajimu na Kuna uganga basi AMINI KUNA VIFAA UKIVITUMIA VINA WORK OUT

MFANO MITI NA MIMEA BAADHI HUTUMIKA KUTIBIA SO KUNA FORMULA UKIZIFANYA LAZIMA UTA TAKE OVER KIMAFANIKIO
 
Duniani wajinga ni wengi sana zaidi ya werevu na serikali hasa hizi za africa ndo zinapenda wajinga wazidi kuongezeka ili wawatawale zaidi
 
Hakuna anayefanya kazi na mvivu sio Mungu wala shetani, kila sehemu ni kanuni na bidii.
 
Kafungue uone kama hata mke wako atakuja.

 
''Serikali ya Rwanda imefunga maelfu ya makanisa (zaidi ya 10,000) na baadhi ya misikiti kutokana na kushindwa kutimiza masharti ya sheria na kanuni mpya za udhibiti wa maeneo ya ibada zilizowekwa tangu mwaka 2018. Hatua hii inalenga kuzuia biashara ya dini na kuhakikisha usalama'' C & P​
 
Anzisha kanisa lako uone kama watu watakuja. Shida na matatizo ni changamoto ngumu sana kushughulika nazo ktk maisha ya binadamu
 
Pongezi zote ziende kwa serikali ya ccm kwa kuwazalisha Manabii na Mitume feki aina ya Mwamposa kupitia umasikini uliotopea wa wananchi walio wengi, kupitia elimu duni inayozalisha wajinga wengi kwenye jamii hata baada ya miaka zaidi ya 60 tangu tupate uhuru, na pia uwepo wa huduma duni za afya nchi nzima, ukosefu wa bima ya afya ya uhakika kwa wananchi walio wengi, nk.

Leo hii manabii feki wanajisifia kuponya magonjwa wasiyotibika kama Ulimwi, Kansa, nk. Na bado wanaanchwa tu waendelee kupotosha jamii! Serikali ingekuwa iko makini ingewapeleka hawa manabii wote kwenye hospitali zake ili wakawaponye wagonjwa waliokata tamaa.
 
Ndiyo mnatozwa na hela!
 
Kama Makanisa yanaponya kwanini serikali isifungue Makanisa Kila kata watu wawe wanasaidiwa huko kuanzia afya, ajira, chakula z miundombinu n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…