Ukitaka kua Rais TFF ama uongozi wa juu, lazima uwe na PESA pole sana ndugu yangu Ally Mayay

Ukitaka kua Rais TFF ama uongozi wa juu, lazima uwe na PESA pole sana ndugu yangu Ally Mayay

Tochuku

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2024
Posts
5,322
Reaction score
8,412
Asalaam Aleykum
TUSIDANGANYANE hapa ama kuzungukazunguka, kwenye uongozi wetu wa mpira wa miguu nchini umejaaa figisu na tumeshaamza kuziona ila ukweli ni kwamba kama huna PESA huwezi kukalia hivyo viti, bila pesa hizo endorsement utazipata vipi?

Pole sana kaka yangu Mayay Ally, ni pesa tu huna ila najua Nia na weledi unao wa kuongoza mpira wa miguu ulete mawazo mapya, ila kwa staili hii hutoweza kukalia hiko kiti na wagombea wengine, huyo dikteta ameshajisimika hapo sababu ya PESA, Kawa mjumbe wa CAF sababu ya PESA, huwezi kukalia hizo nafasi bila kua na pesa, Samuel Eto walimuundia zengwe na alikua anachukua kiti Cha Motsepe ila japo wote Wana nguvu ya pesa, Motsepe pesa anayo nyingi zaidi na Eto kesi ikafutwa na akaishia kua mjumbe pia ila kiti Cha urais atakikalia tu,

Tutafute pesa. Dunia uwanja wa vita. Huwezi kukaa kwenye position za juu bila kua na nguvu ya PESA.

NAMUONA KARIA MITANO TENA...
 
Back
Top Bottom