Ukitaka kujipima kama una upendo wa kweli na uvumilivu basi fuga mbuzi wa kienyeji

Aisee we ushtakiwe kwa kunyanyasa wanyama [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my CPH2357 using JamiiForums mobile app
 
Wangu siwafungi kamba, nimewaachia wanazunguka weee wakichoka wanarudi wenyewe bandani kwao.

Wamenilia eka mbili za pilipili hao.

Nawapenda sana, tena, ukitaka ugomvi na mimi wachape au wakaripie mbuzi wangu. Ni wanyama wanaopenda sana watu. Asubuhi wakiamka lazima waje nyumbani kwangu kunisalimia, hawaondoki mpaka nitoke ndani, na banda lao lipo kama mita 250 kutoka kwangu.

Mmoja wao akizaa lazima aniletee mtoto/watoto nimuone na atakuwa haondoki nje kwangu mpaka zipite wiki mbili. Anabaki na mtoto wake nje kwangu, hafatani kabisa na wenzake.
 
Unawafugia shamba la Mangapwani au Fumba?
 
Hawa mbuzi ni UVCCM kabisa naona mnawaongelea kivingine
 
Aisee [emoji1787][emoji1787][emoji1787]...

Ila nyama yao ni tamu...
 
Aisee hawa viumbe wasumbufu!!!!!
Nakumbka dadang alipata mgawo wa urith wa mbuz.....

Kila siku jion nkaw nampelek malishon, huyo mbuz alikuw ananguv ya ajabu siku hiyo nikajichangany kujifunga kamb yake kiunoni ghafla si akaanza mbio. Nilinusurk kuumia maan ile kamb ilikwam kweny kisik baad ya kuniburuz kwa umbal mfup[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji24][emoji24]
 
Ukiwa unawachunga hafu wapo na ng'ombe, vyenyewe vishaenda kilometa 3 mbele ya ng'ombe. Hafu hawawezi kula sehemu moja. Bora kufuga ng'ombe.
Hivi vidude vizuri vikiwa vitoto tu. View attachment 2612282
Nilipokuwa mdogo machungani nilikuwa nacheza nao na wananizoea kabisa ila wakikua tu wanakuwa sio wale niliokuwa nakaa nao karibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…