Kigi Makasi
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,259
- 2,483
Ngoja nije Arusha tufuge mbuzi besty, au unasemajeWafugaji mje huku mtupe visa vya visirani vya mbuzi wa kienyeji
Sent from my CPH2357 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja nije Arusha tufuge mbuzi besty, au unasemajeWafugaji mje huku mtupe visa vya visirani vya mbuzi wa kienyeji
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asa kwann umvute kama na wewe sio kisirani.
Aisee we ushtakiwe kwa kunyanyasa wanyama [emoji23][emoji23][emoji23]Hawa mbuzi wanakera wakianza kulia mfano hakuna kumbuka hapo umewapa chakula na tumbo zipo kama pipa lakin hizo kelele mfano hakuna
Basi enzi hizo tukiwa wadogo tukiona kelele zimezidi tunakoroga pilipili kichaa tuna wanywesha alafu mbio maana ni msala
wanabaki kusugua midomo kwenye ukuta na kelele kuzidi
Au mmoja anakamata kichwa mwingine anachapa makalio
Ila utoto mungu atusamehe
kwa hivyo visa vilivyoelezewa hiyo roho itakutoka tuNa ujasiri mlikuwa nao [emoji23]
Mie hata kuua mjusi nilikuwa siwezi
Sahivi nikipiga mdudu akafa nampa na pole
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanapenda mazao ya watu utasema wanajua kulima. Niliwahi kumpiga mmoja ñusura nimuue baada ya kuwaongoza wenzake kula mazao nikapigwa halafu ile nimekaa nasikilizia maumivu kakaja kakanipigia chafya usoni
Unashangaa kwako kuna mkutano wa watu walioharibiwa mazao yao na huyo mbuzi ulomwachia.Ukiamua kumuacha akijikimbiza kimbiza hawezi kurudi mwenyewe? Au ndio kwa kuonesha jeuri harudi
We jamaa ni mjinga ujue [emoji1787]Mbuzi mnaweza kuwa mnakula kwenye zile sahani kubwa za kolabo , basi akapita akasimama kwenye sahani aone mtamfanya nini, kwenye kumtoa inabd muwe wapole tuu mana anaweza haribu sahani nzima
Mbuzi wana dharau sanaUlidhan hawapajui home?
Unawafugia shamba la Mangapwani au Fumba?Wangu siwafungi kamba, nimewaachia wanazunguka weee wakichoka wanarudi wenyewe bandani kwao.
Wamenilia eka mbili za pilipili hao.
Nawapenda sana, tena, ukitaka ugomvi na mimi wachape au wakaripie mbuzi wangu. Ni wanyama wanaopenda sana watu. Asubuhi wakiamka lazima waje nyumbani kwangu kunisalimia, hawaondoki mpaka nitoke ndani, na banda lao lipo kama mita 250 kutoka kwangu.
Mmoja wao akizaa lazima aniletee mtoto/watoto nimuone na atakuwa haondoki nje kwangu mpaka zipite wiki mbili. Anabaki na mtoto wake nje kwangu, hafatani kabisa na wenzake.
🤣🤣🤣🤣Aisee we ushtakiwe kwa kunyanyasa wanyama [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my CPH2357 using JamiiForums mobile app
😂😂😂😂😂😂😂Unajua mnachekesha. Yani tunamjadili mbuzi?
Nilipokuwa mdogo machungani nilikuwa nacheza nao na wananizoea kabisa ila wakikua tu wanakuwa sio wale niliokuwa nakaa nao karibuUkiwa unawachunga hafu wapo na ng'ombe, vyenyewe vishaenda kilometa 3 mbele ya ng'ombe. Hafu hawawezi kula sehemu moja. Bora kufuga ng'ombe.
Hivi vidude vizuri vikiwa vitoto tu. View attachment 2612282