Auz
JF-Expert Member
- Apr 6, 2016
- 13,539
- 11,419
JF kila nyanja imechangamka!Jf ilivyo. Utashangaa watu wote sasa humu mnachunga mbuzi. Hata waliozaliwa hospitali wilaya ilala CBD nao utakuta wanachunga mbuzi, Tiririkeni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JF kila nyanja imechangamka!Jf ilivyo. Utashangaa watu wote sasa humu mnachunga mbuzi. Hata waliozaliwa hospitali wilaya ilala CBD nao utakuta wanachunga mbuzi, Tiririkeni.
Ee tunafuga mbona hadi kondoo punda ng'ombe yan kila kitu tunafuga[emoji38]Jf ilivyo. Utashangaa watu wote sasa humu mnachunga mbuzi. Hata waliozaliwa hospitali wilaya ilala CBD nao utakuta wanachunga mbuzi, Tiririkeni.
Wanapenda mazao ya watu utasema wanajua kulima. Niliwahi kumpiga mmoja ñusura nimuue baada ya kuwaongoza wenzake kula mazao nikapigwa halafu ile nimekaa nasikilizia maumivu kakaja kakanipigia chafya usoni
AhahhahahaahWanapenda mazao ya watu utasema wanajua kulima. Niliwahi kumpiga mmoja ñusura nimuue baada ya kuwaongoza wenzake kula mazao nikapigwa halafu ile nimekaa nasikilizia maumivu kakaja kakanipigia chafya usoni
Ukiona mpaka mbuzi anakupigia chafya usoni ujue kwenye hii dunia wewe ni looser tu. Sisi wenyeji wa Iringa ni kuanza kufanya urafiki na kamba tu.Wanapenda mazao ya watu utasema wanajua kulima. Niliwahi kumpiga mmoja ñusura nimuue baada ya kuwaongoza wenzake kula mazao nikapigwa halafu ile nimekaa nasikilizia maumivu kakaja kakanipigia chafya usoni
kwakwel mwenyew niko hoi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Unajua mnachekesha. Yani tunamjadili mbuzi?
🤣🤣Wafugaji mje huku mtupe visa vya visirani vya mbuzi wa kienyeji
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] daaah mbuzi anasura mbaya huyuView attachment 2612400
Mbuzi akiangalia vijana wa JF wakiwajadili