Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #21
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unayewaona wenzio hopeless una lip jipya kila siku kuimba taarabu jamiiforms......una nini hasa cha kuwasema wenzio wewe mchimba chumvi
Unalazimisha jibu.Nimekujibu hakuna jamii inayojitambua na yenye sifa nilizozitaja ikawa na tabia ulizoziorodhesha.
Ukisoma majibu usitumie Tundu zako za pua, tumia macho.
Kesho uende Kanisani
Narudia tena wewe ni mshamba tu Kama washamba wengine bwana haunaga jipya....makasiriko ndo nn kwan mjini umekuja Leo nn mpaka usielewe mchimba chumvi Ina maana ganiAcha makasiriko.
Kuchimba chumvi ni KAZI ya heshima inayolisha familia yangu
Unalazimisha jibu.
Your analysis is rather shallow.
Umejikita sana kuangalia vitu vinavyoonekana na hukugusia kabisa tabia za jamii katika mahusiano ya watu.
Mambo kama jamii inavyo wa treat watu wasio na privilege kama wafungwa , wanawake, vilema, watoto.
Narudia tena wewe ni mshamba tu Kama washamba wengine bwana haunaga jipya....makasiriko ndo nn kwan mjini umekuja Leo nn mpaka usielewe mchimba chumvi Ina maana gani
Unajifanya mstaraabu wakati kwenye maandiko yako unatukana watu na kuwaletea dharauMimi nimetaja Major,
Watu wakithanini miungu yao hapatakuwa na shida Kwa makundi tajwa hapo. Kuanzia wafungwa, wanawake, vilema, watoto n.k.
mtu Kama hathamini anapoishi, anapoabudu, wala hathamini Sehemu walipolazwa Wazee waliomrithisha maadili unafikiri atawathamini hao wafungwa sijui watoto?
Labda tumepishana Uelewa katika uchambuzi wa mambo, na Hilo wala sio kosa, ndio maana tunajadili hapa.
Sasa mtu akileta matusi huwaga ninamjibu atakavyo.
Mpumbavu namjibu kipumbavu na mwerevu nitamjibu kiwerevu, hiyo ndio haki.
Kesho uende Kanisani
Jivunie hivyo hivyo ushamba wako kwa kujifanya saikolojia unaijua😀😀😀😀
Hasira zako hazitakusaidia Boss.
Mimi najivunia ushamba wangu pale unapokushughulisha na kukufanya uonyeshe mihemko yako.
Unajifanya mstaraabu wakati kwenye maandiko yako unatukana watu na kuwaletea dharau
Ukishalazimisha habari za Mungu, katika jamii ambayo tupo tusioamini uwepo wa Mungu, mpaka hapo ushajionesha hujitambui, huna ustaarabu wala usomi.Mimi nimetaja Major,
Watu wakithanini miungu yao hapatakuwa na shida Kwa makundi tajwa hapo. Kuanzia wafungwa, wanawake, vilema, watoto n.k.
mtu Kama hathamini anapoishi, anapoabudu, wala hathamini Sehemu walipolazwa Wazee waliomrithisha maadili unafikiri atawathamini hao wafungwa sijui watoto?
Labda tumepishana Uelewa katika uchambuzi wa mambo, na Hilo wala sio kosa, ndio maana tunajadili hapa.
Sasa mtu akileta matusi huwaga ninamjibu atakavyo.
Mpumbavu namjibu kipumbavu na mwerevu nitamjibu kiwerevu, hiyo ndio haki.
Kesho uende Kanisani
Jivunie hivyo hivyo ushamba wako kwa kujifanya saikolojia unaijua
Ukishalazimisha habari za Mungu, katika jamii ambayo tupo tusioamini uwepo wa Mungu, mpaka hapo ushajionesha huna ustaarabu wala usomi.
Mm siweziMimi sio Mstaarabu na wala sijawahi kujifanya hivyo.
Ila wewe akili yako na uduni wako ndio unakufanya unione hivyo.
Sio kosa lako ndivyo ulivyo. Wala sikukatazi kuitumia akili yako kuniona vile utakavyo.
Naheshimu maoni yako kwani najua watu tuko tofauti. Utakavyonichukulia ni Sawa.
Karibu Boss
Kwa hiyo wewe katili mbona muoga hata namba ya sm siku hizi hauweki wewe kunguru tu Kama makunguru wengine....Mara leo nipo Moshi mara sijui.wapi....wewe kiazi tuMimi sio Mstaarabu na wala sijawahi kujifanya hivyo.
Ila wewe akili yako na uduni wako ndio unakufanya unione hivyo.
Sio kosa lako ndivyo ulivyo. Wala sikukatazi kuitumia akili yako kuniona vile utakavyo.
Naheshimu maoni yako kwani najua watu tuko tofauti. Utakavyonichukulia ni Sawa.
Karibu Boss
Ndio nafurahi kukuita mshamba Kama rafiki yako Bi Tedi😇😇😇
Ushamba si umenipa wewe. Kwa hiyo najivunia maoni yako😀😀
Hufurahi ukiona maoni yako nayaheshimu??
Mm siwezi
Kwa hiyo wewe katili mbona muoga hata namba ya sm siku hizi hauweki wewe kunguru tu Kama makunguru wengine....Mara leo nipo Moshi mara sijui.wapi....wewe kiazi tu
Ndio nafurahi kukuita mshamba Kama rafiki yako Bi Tedi
Mm najiamini vilivyo kukuzidi wewe kukunguru....wewe lazima ufuatiliwe Kama ulivyo mpana kwenye kufuatilia ya wenzio ili uandike🤣🤣🤣
Umepaniki Mkuu?
Kwa nini sasa!!
Nafurahi kuona wewe ni mtu unayenifuatilia Sana habari zangu na Yale niyaandikayo.
Hii kwangu Makita heshima Sana.
Ingawaje ni Mfuasi mwenye hasira ambazo nafikiri zinatokana na uduni na kutokujiamini.