Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Hakuna maendeleo bila ubishi.Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
Watu wasingebishana na mazingira yao, usingekuwa na internet leo.
Wangekuwa wanatuma salamu kwa alama za moshi tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna maendeleo bila ubishi.Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
Hakuna maendeleo bila ubishi.
Watu wasingebishana na mazingira yao, usingekuwa na internet leo.
Wangekuwa wanatuma salamu kwa alama za moshi tu.
Kama chochote chaweza kuwa Mungu, dhana nzima ya Mungu haina maana.Mama na Baba yako ni mungu.
Dunia ni mungu
Chochote chaweza kuwa mungu Kwa anayehitaji uthibitisho lakini Mungu Mkuu hahitaji uthibitisho ili uwepo wake
Kama chochote chaweza kuwa Mungu, dhana nzima ya Mungu haina maana.
Kwa sababu umeshindwa hata kui define.
Umaskini wa pesa pia ni jamii kutojitambuaMsamehe tuu Mkuu.
Au hajawahi kuona mtu anapesa lakini mchafu, anaishi makazi ya hovyo.
Ndio maana alipotaja baadhi ya wahindi wala sikumjibu, anachojua kuwa na pesa ni kujitambua.
Anashindwa kujua wapo waliozaliwa kwenye hizo pesa
Umaskini pia ni jamii kutojitambua
Mnakuwaje maskini ukoo mzima halafu mkubwa kama wanaume wa Tanga wengi wasafi mno mfukoni shilingi hana anapaka mafuta na poda ya mama yake au mkewe au dada yake
Na wewe hujielewi mada yako unaweka weka viraka tukichangia, ukiandika kitu tuliza akili yako andika kitu cha akili sio huo ujinga umeandika😀😀😀😀
Mimi katika hilo sipingani na wewe kwani umasikini Kwa sehemu kubwa na Kwa watu Weng ni matokeo ya kujitambua.
Pia matajiri wengi wanajitambua ingawaje wapo wachache ambao hawajitambui
Unajuaje huyo Mungu yupo kweli, na habari za kuwepo kwake si hadithi walizojitungia watu tu?Ina maana Mkuu!
Ndio maana moja ya amri zake ni kutoabudu miungu mingine. Kwa maana upo uwezekano WA vitu au watu au viumbe wengine kufanywa Mungu.
Dunia ipo katika mfumo wa kuanzia kidogo kabisa mpaka kikubwaa kabisaaa!
Kiitifaki binadamu hana uwezo wa kumuona na kumthibitisha Mungu. Yupo level ya chini Kabisa.
Ndio maana huyo Mungu mwenyewe Hana time na wewe na wala yeye Hana shida uwe na time naye. Kwani ndio upendo, kakupa Uhuru wa kuchagua utakavyo.
Ndio maana chochote chaweza kuwa mungu lakini yupo Mungu Mkuu MUWEZA WA YOTE, Mema na mabaya, madogo Kwa makubwa yaani kila kitu.
Mungu Hana limit Kwa maana yeye hafuati itifaki akiamua Jambo lake.
Lakini mimi na wewe tuna-limit na ndio maana tunafuata itifaki.
Pale Jambo linapotushinda tunapeleka juu zaidi, na juu wakishindwa wanapeleka juu zaidi, mpaka limfikie Mungu Mkuu.
Kwa maana hiyo lolote ulifanyalo ni uweza wa Mungu kwani upo kwenye mfumo wake,
Kwa ufupi Mungu ni mfumo
[emoji56][emoji56][emoji56]
Na wewe hujielewi mada yako unaweka weka viraka tukichangia, ukiandika kitu tuliza akili yako andika kitu cha akili sio huo ujinga umeandika
Unajuaje huyo Mungu yupo kweli, na habari za kuwepo kwake si hadithi walizojitungia
Nakuuliza unajuaje hii ni moja na si mbili?.
Vipo vya kutunga na vipo vilivyopo Mkuu
Kwani huwezi tofautisha mazingira?Au na wewe mtoto?Mazingira ya machimbo Yana vumbi maana wanachimba kwenye mchanga,akitoka machimboni tutamjaji kwa nyumba anayoishi imekaaje.Wengi nyumba zao ni nzuri mnooooo.Na upande wa wahindi wanaoishi kkoo magorofani nako wanajitahidi mazingira yao. suala la miti huko ghorofani au eneo finyu kama kkoo jijibu mwenyewe.Ukweli hayo alosema mtoa mada ni baadhi ya vipimo vya ustaarabuNenda machimboni watu hawana ofisi wamejaa vumbi hadi usoni pesa wanazo kibao wanazo
Nenda wahindi wanakaa nyumba za kupanga kariakoo hazina maua sijuii mitimiti,Hawaziki wanachoma moto maiti huo ujinga wa kusema ohh wanasafisha makaburi umetoa wapi na ni mabilionea
Ndio maana nasema mleta mada kuandika ujinga wa kitoto
Kwani huwezi tofautisha mazingira?Au na wewe mtoto?Mazingira ya machimbo Yana vumbi maana wanachimba kwenye mchanga,akitoka machimboni tutamjaji kwa nyumba anayoishi imekaaje.Wengi nyumba zao ni nzuri mnooooo.Na upande wa wahindi wanaoishi kkoo magorofani nako wanajitahidi mazingira yao. suala la miti huko ghorofani au eneo finyu kama kkoo jijibu mwenyewe.Ukweli hayo alosema mtoa mada ni baadhi ya vipimo vya ustaarabu
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Kweli kabisa .Mara nyingine mtu hupinga si kwa sababu hakubali bali akikubali anajua atakuwa ameumbuka.Mi nafikiri ni vizuri kuukubali ukweli ili tuweze kurekebisha makosa yetuHakikaaa mkuuu ,ilaa c lazimaa kilaa mtu akueleweee ,atakae taka kuelewa aeleweee asiyee elewaa atajuaa yy
Kiranga unaweza kuamini facts za kufikirika kama dunia inajizungusha kwenye mhimili ambao hakuna alouona halafu unashindwa kujiuliza nani aloweka huo mhimili?Anyway sikushangai maana kujua kwingi mwisho kiza?Unajuaje huyo Mungu yupo kweli, na habari za kuwepo kwake si hadithi walizojitungia watu tu?
Hiyo namba 2 msubiri Kilanga aje
🙄🙄Natamani kuiona comment yake hasa hapo No 2🤣🤣🤣🤣😂😀😀
Huyu alishatimba muda hapa
Kwa nini iwe "nani" aloweka huo mhimili?Kiranga unaweza kuamini facts za kufikirika kama dunia inajizungusha kwenye mhimili ambao hakuna alouona halafu unashindwa kujiuliza nani aloweka huo mhimili?Anyway sikushangai maana kujua kwingi mwisho kiza?
Yumkini ndo mwisho wenyewe huo
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app