Ukitaka kujua jamii Fulani inajitambua, angalia Maeneo Yafuatayo

Ukitaka kujua jamii Fulani inajitambua, angalia Maeneo Yafuatayo

Msamehe tuu Mkuu.

Au hajawahi kuona mtu anapesa lakini mchafu, anaishi makazi ya hovyo.

Ndio maana alipotaja baadhi ya wahindi wala sikumjibu, anachojua kuwa na pesa ni kujitambua.

Anashindwa kujua wapo waliozaliwa kwenye hizo pes

Shida ya kiranga ni Ukorofi

Wewe unataka uthibitisho gani Mkuu?
Shida ya kujifanya mjuaji ni UPUMBAVU
 
Mwanzo 25:7
Hizi ndizo siku za miaka ya maisha ya Ibrahimu alizoishi, miaka mia, na sabini na mitano.

Mwanzo 25:8
Ibrahimu akafariki, naye akafa katika uzee mwema, mzee sana, ameshiba siku, akakusanyika kwa watu wake.

Mwanzo 25:9
Isaka na Ishmaeli wanawe wakamzika katika pango ya Makpela, katika shamba la Efroni bin Sohari Mhiti, lielekealo Mamre.
Okk mkuu ntajitaidi kusomaa biblia
 
Hapo kwenye kimantiki hapo haiwezekan..
Lakin hata utokeaje wetu haupo kimantiki mkuu
Huwezi kuthibitisha kimantiki uwepo wa kitu, kama kitu hicho hakipo.

Mungu wako hayupo.Habari za kuwapo kwake ni tungo za watu tu.

Ndiyo maana huwezi kuthibitisha kimantiki kwamba yupo.

Lete abracadabra sasa.
 
Huwezi kuthibitisha kimantiki uwepo wa kitu, kama kitu hicho hakipo.

Mungu wako hayupo.Habari za kuwapo kwake ni tungo za watu tu.

Ndiyo maanan huwezi kuthibitisha kimantiki kwamba yupo.

Lete abracadabra sasa.

😀😀

Unataka nimlete hapo kwenu?
 
Tatizo ukisema ukweli kuna watu watasema unajiona

Wanafikiri huo ukweli ninawasema wao, kumbe lengo ni watu wajifunze
Hakikaaa mkuuu ,ilaa c lazimaa kilaa mtu akueleweee ,atakae taka kuelewa aeleweee asiyee elewaa atajuaa yy
 
[emoji3][emoji3]

Unataka nimlete hapo kwenu?
Unajionesha kwamba huelewi maana ya uthibitisho wa kimantiki ni nini.

Ndiyo maana awali nilisema kwamba, una utapiamlo wa fikra dhahania.

You have a deficiency in abstract thinking.

I am asking you to prove the existence of God, logically, in the abstract.

You are stuck in physical evidence. The exact opposite of what I am asking!

Huwezi kunielewa.
 
Unajionesha kwamba huelewi mana ya uthibitisho wa kimantiki ni nini.

Ndiyo maana awali nilisema kwamba, una utapiamlo wa fikra dhahania.

You have a deficiency in abstract thinking.

I am asking you to prove the existence of God, logically, in the abstract.

You are stuck in physical evidence.

Huwezi kunielewa.

Sasa Kiranga Kama wewe unashindwa kujua Jambo dogo Kama hilo la uwepo wa MUNGU, unafikiri Mimi na Wewe Nani anaonekana anautapiamlo wa fikra.

Nilikuambia siku zote huwaga natoa majibu kulingana na ntu na ntu.

Mtoto mdogo tuu akishafikisha miaka 15 hata awe mjinga kiasi gani lakini lazima Ajue kuna Mungu.

Sasa inategemeana unahitaji Mungu WA Aina gani
 
Hujathibitisha kuwepo kwa Mungu wa aina yoyote.

Anza kwa kuthibitisha kwamba Mungu unayemuamini wewe yupo kweli, na habari zake si hadithi za watu tu.

Watu kuamini kitu, hakufanyi kitu hicho kiwe kweli.

Kuna wakati watu waliamini dunia ni bapa na jua linazunguka dunia.

Sasa hivi tunajua hayo si kweli.

Sasa na wewe unajuaje imani yako ya uwepo wa Mungu si imani potofu tu kama kuamini jua linazunguka dunia au dunia ni bapa.
 
Hujathibitisha kuwepo kwa Mungu wa aina yoyote.

Anza kwa kuthibitisha kwamba Mungu unayemuamini wewe yupo kweli, na habari zake si hadithi za watu tu.

Mama na Baba yako ni mungu.
Dunia ni mungu
Chochote chaweza kuwa mungu Kwa anayehitaji uthibitisho lakini Mungu Mkuu hahitaji uthibitisho ili uwepo wake utambulike.

Ndio maana watu wa Aina yako waliamua kuunda masanamu ili kuzifurahisha Nafsi zao na kuzirisha fikra zao zisizo amini.
 
Back
Top Bottom