Mazindu Msambule
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 7,510
- 6,877
KWahiyo Kilanga pia huamini kama kuna NANI aliyeweka huo muhimili?Kwa nini iwe "nani" aloweka huo mhimili?
Umejuaje ni "nani" ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KWahiyo Kilanga pia huamini kama kuna NANI aliyeweka huo muhimili?Kwa nini iwe "nani" aloweka huo mhimili?
Umejuaje ni "nani" ?
Kwa nini iwe "nani"?KWahiyo Kilanga pia huamini kama kuna NANI aliyeweka huo muhimili?
Haiwezekani mstari ukawepo tu hivi hivi, lazima kuna NANI aliuweka bhanaKwa nini iwe "nani"?
Hujajibu swali.
Umekuta jani la muembe mlangoni mwako.Haiwezekani mstari ukawepo tu hivi hivi, lazima kuna NANI aliuweka bhana
Kilanga na wewe usikwepeshe swali lako bwana, mi sijasema Mungu ndio aliyekweka huo muhimili, mimi nimesema, huo muhimili lazima kna NANI aliuweka, sasa kama ni Mmasai, upepo, mtoto wa shule nk ndi huyo huyo!Umekuta jani la muembe mlangoni mwako.
Hujui kama limewekwa hapo na upepo, mafuriko, sisimizi, guluguja, mtoto wa shule, mchuuzi matunda...
Unauliza "ni Mmasai gani kaweka jani hili la muembe hapa mlangoni?'
Watu wanakuuliza, kwa nini unauliza Mmasai? Umejuaje kwamba ni Mmasai?
Unajibu "Haiwezekani jani la muembe likawepo hapa mlangoni mwangu tu hivi hivi. lazima kuna Mmasai ameliweka".
Ukiulizwa, kwa nini Mmasai?
Unajibu vile vile.
"Haiwezekani jani la muembe likawepo hapa mlangoni mwangu tu hivi hivi. lazima kuna Mmasai ameliweka".
Totally arbitrary and out of whack.
Turudi kwenye jani la muembe.Kilanga na wewe usikwepeshe swali lako bwana, mi sijasema Mungu ndio aliyekweka huo muhimili, mimi nimesema, huo muhimili lazima kna NANI aliuweka, sasa kama ni Mmasai, upepo, mtoto wa shule nk ndi huyo huyo! Kimsingi tunakubaliana kuna NANI aliuweka huo muhimili ambao dunia huzunguka kwao, na hatumjui huyo NANI. Tuishie hapo hapo kwamba huyo NANI hafahamiki ila muhimili haukutokea Automatic, kuna NANI aliuweka, sema wakati anauweka hakumuona and hence hatumjui huyo NANI
Upepo ndio atakua NANI huyo huyo, mbona rahisi tu mkuu KilangaTurudi kwenye jani la muembe.
Tuseme jani limewekwa na upepo.
Upepo ni "nani" au "nini" ?
Wewe jifunze Kiswahili ujue wapi pa kutumia "nani" na wapi pa kutumia "nini".Upepo ndio atakua NANI huyo huyo, mbona rahisi tu mkuu Kilanga
Umeanza kuomba Po mkuu? Unaondoka kwenye HOJA taratibu cause pumzi imeanza KUKATA; kubali kwamba umechemsha mkuu, jibu swali unaamini muhimili wa dunia ulikuja tu auto!? Ndio HOJA hapaWewe jifunze Kiswahili ujue wapi pa kutumia "nani" na wapi pa kutumia "nini".
Halafu jifunze kutofautisha "l" na "r" usiharibu jina langu Kiranga, si Kilanga.
Inaonekana hata Kiswahili hujui.
Hoja utaweza vipi wakati hujui kwamba upepo ni "nini" na si "nani".Umeanza kuomba Po mkuu? Unaondoka kwenye HOJA taratibu cause pumzi imeanza KUKATA; kubali kwamba umechemsha mkuu, jibu swali unaamini muhimili wa dunia ulikuja tu auto!? Ndio HOJA hapa