kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,184
- 9,407
Wanachokifanya kinawakuzaWagner Group ni kikosi kilichoundwa na wapiganaji binafsi kutoka mataifa mengi. Miongoni mwao ni wafungwa kutoka magereza ya Urusi wakiwemo Waafrika.
Umewakuza tu bila facts wala sababu za msingi.
Wagner mercenaries chief admits Russia facing Bakhmut resistance
Yevgeny Prigozhin has admitted Russian troops are engaged in a fierce fight to take the Ukrainian city of Bakhmut.www.aljazeera.com
Unawajua blackwater? Unajua walichokifanya Fallujah Iraq ile 2003?Russia kwà maana ya Urusi ni dude kubwa duniani very powerful and influencial tunadanganywa sana na western media kwà kuidogosha Urusi.
Hebu waangalie Wagner. Wanatoa kichapo Ukraine wanatoa kichapo afrika magharibi wanatoa kichapo Kongo DRC. Huo ni mkono wa kushoto wa Putin kwà maana ya urusi. Progizini mkuu wa Wagner Group ndio kusema jeshi lake ni sawa tu jeshi la Ufaransa au Italy.
Sasa umeshawahi kujiuliza je Marekani ana mercenary army kubwa na powerful kama Wagner? Je, umeshawahi kuisikia ikifanya makeke makubwa kama haya ya wagner? Kama jibu lako ni hapana basi ujue Urusi sio Vanuatu!
Comment yako pia iko based on feelings na siyo reality.Wewe hufai kuwa mchambuzi wa masuala mazito yanayohusu vita coz una mahaba na mihemuko kwa upande ulio chagua so wewe sio gt at all nilivyo kupima
Unafikiri unaweza kumdanganya nani, labda aliye kama wewe mleta mada, et wanadanganywa na western media, eb tuambie wewe vyanzo vyako vya habari ni zipi?
Hakuna taifa lenye kujitapatapa hapa duniani kama taifa la Urusi, na ndo maana kaanzisha vita dhidi ya jirani Ukraine, Urusi ilifanya makosa makubwa ambayo wataijutia maisha yao yote
Wargner PMC imeundwa na Putin kwa lengo maalumu ok. Lakini itakuwa ni vigumu kwa Urusi kurudi kama zamani, ambayo ndio ndoto na matamanio ya Putini ok
Nyie ndo wenye mahaba, ambao hawapendi ukweli as a intelligent nilitegemea ungeendelea kumuelimisha mleta mada ili arudi kuapply his/her mind ktk kuchambua mambo haya na sio kumezwa na mahaba okComment yako pia iko based on feelings na siyo reality.
Miongoni mwa wapiganaji wa Wagner Group ni Waafrika ikiwemo Tanzania. Pia, miongoni mwa wahanga na waliokufa wakiwa wapiganaji wa hilo kundi ni Waafrika.Sema Una Kawivu bwana pole sana
Wanachokifanya ni kukusanya wapiganaji kutoka maeneo na nchi mbalimbali wakiwemo wafungwa magerezani, kisha kuwapeleka vitani.Wanachokifanya kinawakuza
Media zote au nyingi zina propaganda ila kina bbc cnn na MSM wao wamezidiNyie ndo wenye mahaba, ambao hawapendi ukweli as a intelligent nilitegemea ungeendelea kumuelimisha mleta mada ili arudi kuapply his/her mind ktk kuchambua mambo haya na sio kumezwa na mahaba ok
Huwezi kudanganya umma ya wasomi et wanadanganywa na western media wakati huo huo ndo unako tolea umbea unaoleta humu, unafikiri as a intelligent media zipi hizo duniani ambazo hazina propaganda?
Be smart tumia akili bwashee!!
Kwani kuna shida kwao kua na wapiganaji toka AFRIKA na TANZANIAMiongoni mwa wapiganaji wa Wagner Group ni Waafrika ikiwemo Tanzania. Pia, miongoni mwa wahanga na waliokufa wakiwa wapiganaji wa hilo kundi ni Waafrika.
Salamu za pole ziende kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki wa wahanga hao wa Kiafrika. Na wewe pia kwa namna moja ama nyingine unastahili pole!
Kufa kwenye mapigano nikawaidaWanachokifanya ni kukusanya wapiganaji kutoka maeneo na nchi mbalimbali wakiwemo wafungwa magerezani, kisha kuwapeleka vitani.
Baadhi ya wahanga wamerejeshwa kwenye nchi walizotokea ikiwemo miili ya waliokufa.
Uzuri wa sasa tunaona moja kwa moja, Hatusimuliwi.Tunaona kwa macho makavu.Stori vijiweni huko.Unawajua blackwater? Unajua walichokifanya Fallujah Iraq ile 2003?
Kaa ukijua tu anachofanya Russia na USA anakifanya au ameshakifanya tena kwa uovu zaidi kuliko Russia
Kubwajinga acha ujinga. Kaa ukijua pale Ukraine Urusi hapigani na Ukraine. Ukraine ni uwanja tuu na kwa taarifa yako hii vita ilianza kitambo sana, sema tu Mrusi amewawai kabla ya mambo yenu kutimiaWewe hufai kuwa mchambuzi wa masuala mazito yanayohusu vita coz una mahaba na mihemuko kwa upande ulio chagua so wewe sio gt at all nilivyo kupima
Unafikiri unaweza kumdanganya nani, labda aliye kama wewe mleta mada, et wanadanganywa na western media, eb tuambie wewe vyanzo vyako vya habari ni zipi?
Hakuna taifa lenye kujitapatapa hapa duniani kama taifa la Urusi, na ndo maana kaanzisha vita dhidi ya jirani Ukraine, Urusi ilifanya makosa makubwa ambayo wataijutia maisha yao yote
Wargner PMC imeundwa na Putin kwa lengo maalumu ok. Lakini itakuwa ni vigumu kwa Urusi kurudi kama zamani, ambayo ndio ndoto na matamanio ya Putini ok
Mimi siko kama wewe know that ok, first of all sina upande penye ukweli nasema penye uongo pia nasema, if you are intelligent person unatakiwa utumie akili yako na sio kumeza kila unacholetewa ok,Kwani kuna shida kwao kua na wapiganaji toka AFRIKA na TANZANIA
Ile ni Private Millitary Company ukiona unaweza kwenda hata wewe unaruhusiwa labda kwa pale TANZANIA wanazuiwa tu sheria za nchi yao ila nchi nyengine kawaida
Kuhusiana na msiba hasa wa jamaa yetu TARIMO umetuuma sana sababu ni MUAFRIKA mwemzetu MTANZIANI na mwisho kabisa BINAADAMU
Ila TARIMO alikufa kishujaa akiipambania DUNIA sio kuiharibu kama wanavyofanya WESTERN na shost zao
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi siujui ukweli wake ila wewe unaujuaMimi siko kama wewe know that ok, first of all sina upande penye ukweli nasema penye uongo pia nasema, if you are intelligent person unatakiwa utumie akili yako na sio kumeza kila unacholetewa ok,
Unazidi kujiimarisha kwenye uongo, na propaganda hizo hizo za western na Estern media, kujiunga kwa Mtanzania Tarimo mchakato wake haukuwa wa wazi ok, hujui ukweli wake ila unavyoshikilia ni kama umeathirika na propaganda hizo hizo.
Up to now dunia iko salama, kila mtu wana ajenda zao siri, kila upande wanapambana kutawala dunia na ndo kuna msuguano btn western and Eastern bloc ok
Nina wasiwasi na uwezo wako wa kufikiri, umeathirika na propaganda za western and Eastern bloc, tumia akili bwashee so unamanisha propaganda za Russia kwako ni ukweli si ndiyo?Kubwajinga acha ujinga. Kaa ukijua pale Ukraine Urusi hapogani na Ukraine. Ukraine ni uwanja tuu na kwa taarifa yako hii vita ilianza kitambo sana, Mrusi amewawai kabla ya mambo yenu kutimia
Unacho paswa kuelewa, kwamba hata TBC ni propaganda ndo zimejaa mle kuelekea kuaminisha wananchi jambo fulani, hizo media zote ni propaganda unacho takiwa wewe kufanya ni kujiongeza na kutumia akili ok.Mimi siujui ukweli wake ila wewe unaujua
Huko kwenye maslahi ya west na east naungana nawewe ndio kinachopiganiwa hapo
MSM sio zakuziamini
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha porojo!Kwani kuna shida kwao kua na wapiganaji toka AFRIKA na TANZANIA
Ile ni Private Millitary Company ukiona unaweza kwenda hata wewe unaruhusiwa labda kwa pale TANZANIA wanazuiwa tu sheria za nchi yao ila nchi nyengine kawaida
Kuhusiana na msiba hasa wa jamaa yetu TARIMO umetuuma sana sababu ni MUAFRIKA mwemzetu MTANZIANI na mwisho kabisa BINAADAMU
Ila TARIMO alikufa kishujaa akiipambania DUNIA sio kuiharibu kama wanavyofanya WESTERN na shost zao
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unaipigania Wagner Group (inayopigania "dunia") ukiwa wapi?Kufa kwenye mapigano nikawaida
Uchawa tu wa pro Russia.Wagner Group ni kikosi kilichoundwa na wapiganaji binafsi kutoka mataifa mengi. Miongoni mwao ni wafungwa kutoka magereza ya Urusi wakiwemo Waafrika.
Umewakuza tu bila facts wala sababu za msingi.
Wagner mercenaries chief admits Russia facing Bakhmut resistance
Yevgeny Prigozhin has admitted Russian troops are engaged in a fierce fight to take the Ukrainian city of Bakhmut.www.aljazeera.com