Ukitaka kujua nguvu na ushawishi wa Urusi waangalie Wagner Group

He sijakutegemea kuja na thread kama hii., Ivi unajua mpaka Putin ameingiza Wagner group nini kilitokea??? Jeshi lake la awali ambalo alipanga kumaliza kazi Ukrean 3hrs lilifyekwa, vijana alioandikisha kwangu takriban 300 na kuwapa mafunzo ya kijeshi walifyekwa, wafungwa pia ambao alisema atawasamehe makosa yao lakini wakaongeze nguvu kupigana na wao wakafyeka utakumbuka kina Raymond yule wa Tz

Kuna wanajeshi alikodi toka Syria yale makundi ya Islamic state ambao madevu yao yalikua yanaonekana waziwazi kweye picha akiwatumia wengi wameuliwa na wengine kumsaliti lakini majenerali zaidi ya 20 pia walienda na maji ndio mana sasa amekuja na hilo kundi la Wagner group hichi ni kikundi kinapelekwa vitani ni kama huko Tz ukisikia nchi inaingia vitani lakini wanajeshi wanaopelekwa ni KVZ, au Fire, JKU nk.

Lakini jambo hili linasikitisha sana kuona kwamba sasa Putin ameidhalilisha Urusi kwa kumuweka kamanda wake mkuu wa majeshi ya Urusi awe chini ya Wagner group maana yake ni kwamba Urusi imeshaanguka

Kama ulimsikiliza Biden juzi alimcheka sana na kumwambia Putin umechagua vita lakini inashangaza sana kwamba muda mfupi huna tena jeshi sasa unakodi makundi ya kigaidi kupeleka vitani kupigana kwa Taifa la urusi,

Urusi imeshaanguka broo
 
Hivi zelensky hawamu yake ya urais inakwisha mwaka gan?
Wamesema kwa pamoja kwanza wanapigania nchi yao mpaka itakapokuwa huru na mipaka yake yote ndio demokrasia itasimama kama katiba yao ya nchi inavyoeleza, sasa wako busy kumtoa vamizi dikteta ndani ya nchi yao

Lakini kwanini hukutaka kujua Putini ataacha lini urais Urusi??
 
Huu unaozungumzia ndo ubeberu ok, alafu not 80s yrs braza ni kuanzia soon after WW2 dunia ilikuwa na two antagonistic bloc, USSR ikiongozwa na Russia na shirika lao la kijeshi Warsaw pact dhidi ya West na shirika lao la kijeshi NATO.

Hayo mikatabata ya amani braza unayo zungumzia hapa wewe uliyashuhudia? Au umemezwa na propaganda tu? Ambapo hata kwetu hapa mikatabata tu kimaendeleo ambayo serikali yetu inaingia hatujawai wekewa hadharini sembuse hiyo.

Unavyoongea unafikiri Ukraine ndo nchi pekee huko mashariki et, hivi Ukraine ndugu ndo nchi pekee inayo share mpaka wa moja kwa moja na Urusi? Hayo unaleta ndo propaganda zenyewe acha akili yako ifanye kazi yake ok.
 
Kwao uchokozi ni ule wa waisrael kujihami na magaidi wa kipalestina.Fikra zao zimeathirika sana na utumwa mpaka msuli wanaona ni vazi takatifu[emoji1787]
 
Hakuna mkataba kama huo
 
Hakuna mkataba kama huo
Basi hujui chochote kuhusu Cuban missile crisis, hujui chochote kuhusu minsk agreement.

Ingekua rahisi hivyo, Russia angekua na vikosi cuba, venezuela nk. Pia angeweka mitambo yake ya silaha na kuwaweka mamluki wake kama Wagner pale cuba.

Mataifa makubwa yanaishi kwa principles ukigusa masilahi yao yatakukuta ya Gadafi na Zelensky saizi, kaa usubiri mwisho utakuaje pale Ukraine
 
Urusi hana pesa ya kuweka base katika nchi nyingi duniani, hizo nchi ulizozitaja pia Marekani hana mpango wa kuzivamia hivyo hazina haja ya vikosi vya ulinzi vya Urusi nchini mwao.
 
Urusi hana pesa ya kuweka base katika nchi nyingi duniani, hizo nchi ulizozitaja pia Marekani hana mpango wa kuzivamia hivyo hazina haja ya vikosi vya ulinzi vya Urusi nchini mwao.
Hahaah sawa mkuu, sawa sawa sikua najua kua urusi hana pesa... shukrani kwa mchango.
 
Umeshajiuliza Wagner wakimaluza Ukraine wataifanya nini urrusi?
Kabila aliwatumia banyamulenge, unajua hao jamaa ndio M23 ya leo?
 
Wagner wameishiwa silaha

Wagner once again published a very graphic video begging to be provided with ammunition. In the video, hundreds of corpses of mercenaries are in a room, placed there to show they could have been alive if help had been given. https://t.co/6kOG7cD8Gw
 
kwa hiyo mkuu,putin aliamua tu kuivamia ukraine bila sababu yeyote?aliamua tu ili ateke maeneo kibabe au?
 
Mkubwa hao wafungwa nk hutumiwa na Wagner kama human shield ili kumsoma vizuri adui yao,kwa lugha ya kawaida ni kwamba hao wafungwa hutumiwa kama kafara wakati Wagner wenyewe wakiwa wananoa mapanga yao
 
du uchambuzi mwingine hatari,kwa hiyo maeneo iliyoteka urusi ni uongo,maana majeshi yake yote yamefyekwa?mkuu uko siriasi kufuatilia mambo?au unaposti unachofikiria.
 
Russia angekuwa raini USA wangeingia uso kwa uso

rakini hata hivyo USA si raini kuriko rusia
 
Naomba nikujibu

Kwanza RUSSIA sheria zao inakataza kumiliki ama kuandikisha kundi hilo ndani ya taifa la RUSSIA haya sio maneno yangu nimenukuu wao wenyewe

Pia jengine hili lipo DUNIA nzima usalama wa taifa unatakiwa ulindwe kwa gharama yeyote ikibidi hata kuvunjwa sheria za nchi husika kama hujui ujue hili

Pia jeshi nikulinda usalama wa taifa pia dani na nje ya mipaka yake pia ila inategemea na sera za nchi husika maana kuna mataifa yanalinda usalama wao nje ya mataifa yao mfano RUSSIA wnavyolinda usalama wao pale UKRAINE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kheri tubadilishe wezi tunajua kama tunaibiwa ila acha tuone wezi wapya wanakuja na nn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli nandio maana vita kwasasa inapigwana MISCOW

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…