Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
- Thread starter
- #41
Ndugu uelewa wako mdogo.Acha ushamba utakufa masikini nausije kupost unanuka umasikini. Warren Buffet anatembea kwa miguu kwenda kwa mishe zake na ni tajiri 1 acha ushamba
Sijaleta mada kutoa ushauri wa kiuchumi au kuonyesha assets zangu
Just nilikuwa natoa picha mbili za ofisi mbili tofauti zinazoonyesha hali ya maisha ya watumishi wake