Ukitaka kujua ufisadi wa CCM angalia kiasi hiki walichotoa USAID mwaka 2023. Kwanini bado tunalipia huduma za afya?

Kampuni yetu ilipewa tenda ya ku-supply vifaa vya utafiti ila sharti ilikuwa kununua kwenye maduka ya Marekani. Hiyo ndo siku nilijua uhuni wa USAID. Kampuni iliambulia faida kidogo sana.
 
Kampuni yetu ilipewa tenda ya ku-supply vifaa vya utafiti ila sharti ilikuwa kununua kwenye maduka ya Marekani. Hiyo ndo siku nilijua uhuni wa USAID. Kampuni iliambulia faida kidogo sana.
Badilisheni Donors muende kwa Waraabu mnaowauzia rasilimali zetu...
 
Pesa zipo mifukoni mwa samia bushiri na toto lake pumbavu bwana abdul muhoozi
 
Pesa zipo mifukoni mwa samia nushiri na toto lake pumbavu bwana abdul muhoozi
Tangu kuasisiwa nchi hii haijawahi kuwa na ufisadi wa kutisha km huu wa awamu ya Samia
 
Trillioni moja, billioni mia tatu na kumi, millioni mia mbili themanini na sita na elfuarobaini na nane.......
 
Na ulijua hiyo pesa ilienda kufanya nini?
 
Trump ni mdau wetu muhimu wa maendeleo.
 
Hivyo vijichenji havitoshi ku-fund health care system kufanya iwe universally FREE
 
Pesa inapoingia Rais na mhazini mkuu hukaa na kuandaa miamala kwenda kwa wakubwa ili wajenge mahoteli yao ya biashara haya mnayoyaona.
Kisha nyingine ndio hupelekwa sasa rasmi kwenye afya nako huko kuna ma papa
 
Naona wanazoa tu hiyo pesa inaonekana hauna ukaguzi kabisaa...wapo busy kutangaza kuvunja rekodi ya makusanyo TRA huku pana fedha inaingia bure hawasemi kabisaa..
 
Seems haujui hata mashiroka yanafanyaje kazi

I bet hata 1/5 ya hiyo hela haijafika Tanzania. Mostly imeisha kwenye mishahara na per diems
 
Tatizo Moja ni kwamba bado Kuna watu wakifanya majukumu Yao vyema katika nafasi wanazokalia wao kwenye vichwa vyao wanaona kama ni favour wanawafanyia watanzania. Asipofanya anaona sahihi tuu maana favour hailazimishwi Wala kuhojiwa.

Nchi nyingi za wenzetu hawajinasibi kwa huduma au projects ambazo wamefanya maana wananchi watawashangaa na kuwahoji mlitaka mfanye Nini instead? Tukupigie makofi kwa kutekeleza majukumu yako ambayo unalipwa mshahara mnono au tukupigie magoti na kushika miguu yako ili utekeleze hayo majukumu? Unayopokea kwayo mshahara na posho kama zote.

Hiyo mentality ikiondolewa uwajibikaji utaonekana na watu hawatataka kusijudiwa ili wawajibike kazini
 
Seems haujui hata mashiroka yanafanyaje kazi

I bet hata 1/5 ya hiyo hela haijafika Tanzania. Mostly imeisha kwenye mishahara na per diems
Ndio maana DFPs walikuwa miungu watu.. πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Fedha za USAID zilikua zinakuja na maelekezo, huwezi kununua vitanda wala magodoro kwa fedha hizo, zaidi zilikua zinafanya kazi za ukimwi
 
Umenikumbusha mbali mkuu,ndivyo ilivyo,nakumbuka katika hotuba moja ya baba wa taifa wakati aliomba msaada,nadhani kulikuwa na njaa nchini,hata ye mwl alijua baadae,kumbe jamaa walitoa msaada wa mahindi,lkn waliandika kama cash money kiasi fulani.
 
Huo ni misaada kweli lakini ni tone katika bahari. Tanzania kuwa na huduma za wastani za afya itataka labda si chini ya hizo pesa mara 20
Si ajabu ukakuta wewe ni ofisa mwandamizi ndani ya hii serikali iliyojaa wezi na matapeli.
Percival,
  • Je budget ya wizara ya afya ni shilingi trillion ngapi kwa mwaka?
  • Je hiyo budget inategemea tu msaada kutoka USAID peke yake?
  • Je bila huo msaada wa USAID huduma za afya zingesimama nchini?
  • Je misaada tunayopata kwa kutembeza bakuli kama matonya inaishia wapi?
  • Je mapato yanayotokana na kodi na tozo lukuki ya kausha damu zinatumikaje?
  • Je mapato tunayopata kwa kuuza mali asili zetu kama wenda wazimu zinatumikaje?
  • na maswali mengineyo mengi tu.

Percival, kwa sasa nitaachia hapo ila nakukumbusha tu kuwa dola milioni mia tano inakaribia shilingi trilioni na nusu na hapo hapo madeni yetu yalizidi trilioni hamsini.

Je hii ina maana gani? Ngoja nikusaidie hii ina maana mikopo yetu peke yake ni zaidi ya mara hamsini ya huo msaada wa USAID na huo ni moja tu katika misaada lukuki tunayopata.

Percival, jitafakari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…