MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Utakuta hujawahi fanya kazi yoyote inayohusu USAID ndo maana unabisha kama taahira.Unaelewa maana ya neno DISBURSEMENT au tukurudishe shule?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakuta hujawahi fanya kazi yoyote inayohusu USAID ndo maana unabisha kama taahira.Unaelewa maana ya neno DISBURSEMENT au tukurudishe shule?
Kampuni yetu ilipewa tenda ya ku-supply vifaa vya utafiti ila sharti ilikuwa kununua kwenye maduka ya Marekani. Hiyo ndo siku nilijua uhuni wa USAID. Kampuni iliambulia faida kidogo sana.Mimi nimefanyakazi kwenye USAID Funded Projects pesa nyingi hubaki huko huko Marekani. Kwanza viongozi wa ngazi za juu za project lazima wawe Wamarekani na wanalimpwa mara 10 zaidi ya Mtanzania pia kuna wafanyakazi ambao wako based US lakini wanakuwa wanalipwa pesa hizo za project na pesa hizo zinalipwa kwenye account za mhusika huko huko USA, vifaa vyote vinatoka Marekani kwa bei ya juu sana. Pia mkiwa mnasafiri lazima mtumie ndege za US flag. Hivyo pesa ambazo zitakuwa zimewanufaisha watz kati ya hizo ni asilimia robo tu lakini kwenye matangazo wanatoa pesa zote wameleta TZ. Wamarekani ni matapeli sana.
Badilisheni Donors muende kwa Waraabu mnaowauzia rasilimali zetu...Kampuni yetu ilipewa tenda ya ku-supply vifaa vya utafiti ila sharti ilikuwa kununua kwenye maduka ya Marekani. Hiyo ndo siku nilijua uhuni wa USAID. Kampuni iliambulia faida kidogo sana.
Pesa zipo mifukoni mwa samia bushiri na toto lake pumbavu bwana abdul muhooziWakuu,
Wakati napita pita zangu mitandaoni nimkeutana na hili bandiko linaloonesha kiasi cha pesa ambacho Marekani iliipa Tanzania mwaka 2023 kama msaada.
Inawezekanaje kwamba tulipewa msaada wa USD Milion 512 ndani ya mwaka mmoja kwenye sekta ya afya pekee alafu bado wagonjwa wanalala chini? Hizi hela zilienda wapi?
Hii chati inaonesha kuwa kwa mwaka 2023 Tanzania ndio iliongoza kupokea fedha nyingi Afrika kutoka Marekani kwenye sekta ya Afya, hizi zilienda kwa nani?
Yaani Mkuu wa Mkoa anajitokeza hadharani kusema wanawake ambao hawana hela ya kununua gloves wakajifungulie nyumbani meanwhile kuna kiasi kingi hiki cha fedha tulipewa na Marekani?
Naomba kusaidiwa nani alikuwa ni Waziri wa Afya mwaka 2023 na kwanini bado tunalipia huduma za afya wakati tulishapokea kiasi kingi hivi cha pesa kutoka kwa wahisani.
Tangu kuasisiwa nchi hii haijawahi kuwa na ufisadi wa kutisha km huu wa awamu ya SamiaPesa zipo mifukoni mwa samia nushiri na toto lake pumbavu bwana abdul muhoozi
Na ulijua hiyo pesa ilienda kufanya nini?Wakuu,
Wakati napita pita zangu mitandaoni nimkeutana na hili bandiko linaloonesha kiasi cha pesa ambacho Marekani iliipa Tanzania mwaka 2023 kama msaada.
Inawezekanaje kwamba tulipewa msaada wa USD Milion 512 ndani ya mwaka mmoja kwenye sekta ya afya pekee alafu bado wagonjwa wanalala chini? Hizi hela zilienda wapi?
Hii chati inaonesha kuwa kwa mwaka 2023 Tanzania ndio iliongoza kupokea fedha nyingi Afrika kutoka Marekani kwenye sekta ya Afya, hizi zilienda kwa nani?
Yaani Mkuu wa Mkoa anajitokeza hadharani kusema wanawake ambao hawana hela ya kununua gloves wakajifungulie nyumbani meanwhile kuna kiasi kingi hiki cha fedha tulipewa na Marekani?
Naomba kusaidiwa nani alikuwa ni Waziri wa Afya mwaka 2023 na kwanini bado tunalipia huduma za afya wakati tulishapokea kiasi kingi hivi cha pesa kutoka kwa wahisani.
Trump ni mdau wetu muhimu wa maendeleo.Wakuu,

Hivyo vijichenji havitoshi ku-fund health care system kufanya iwe universally FREEWakuu,
Wakati napita pita zangu mitandaoni nimkeutana na hili bandiko linaloonesha kiasi cha pesa ambacho Marekani iliipa Tanzania mwaka 2023 kama msaada.
Inawezekanaje kwamba tulipewa msaada wa USD Milion 512 ndani ya mwaka mmoja kwenye sekta ya afya pekee alafu bado wagonjwa wanalala chini? Hizi hela zilienda wapi?
Hii chati inaonesha kuwa kwa mwaka 2023 Tanzania ndio iliongoza kupokea fedha nyingi Afrika kutoka Marekani kwenye sekta ya Afya, hizi zilienda kwa nani?
Yaani Mkuu wa Mkoa anajitokeza hadharani kusema wanawake ambao hawana hela ya kununua gloves wakajifungulie nyumbani meanwhile kuna kiasi kingi hiki cha fedha tulipewa na Marekani?
Naomba kusaidiwa nani alikuwa ni Waziri wa Afya mwaka 2023 na kwanini bado tunalipia huduma za afya wakati tulishapokea kiasi kingi hivi cha pesa kutoka kwa wahisani.
😃😃😃 Kuna watu wanakata magovi kwa hisani ya watu wa marekani si mchezo yaani kuzaliwa Africa tayari unakuwa umeingia kwenye hazard.Hii nchi bwana magovi nayenyewe yanaitaji project ? Aisee...
Ndio maana DFPs walikuwa miungu watu.. 😄😄😄Seems haujui hata mashiroka yanafanyaje kazi
I bet hata 1/5 ya hiyo hela haijafika Tanzania. Mostly imeisha kwenye mishahara na per diems
Fedha za USAID zilikua zinakuja na maelekezo, huwezi kununua vitanda wala magodoro kwa fedha hizo, zaidi zilikua zinafanya kazi za ukimwiWakuu,
Wakati napita pita zangu mitandaoni nimkeutana na hili bandiko linaloonesha kiasi cha pesa ambacho Marekani iliipa Tanzania mwaka 2023 kama msaada.
Inawezekanaje kwamba tulipewa msaada wa USD Milion 512 ndani ya mwaka mmoja kwenye sekta ya afya pekee alafu bado wagonjwa wanalala chini? Hizi hela zilienda wapi?
Hii chati inaonesha kuwa kwa mwaka 2023 Tanzania ndio iliongoza kupokea fedha nyingi Afrika kutoka Marekani kwenye sekta ya Afya, hizi zilienda kwa nani?
Yaani Mkuu wa Mkoa anajitokeza hadharani kusema wanawake ambao hawana hela ya kununua gloves wakajifungulie nyumbani meanwhile kuna kiasi kingi hiki cha fedha tulipewa na Marekani?
Naomba kusaidiwa nani alikuwa ni Waziri wa Afya mwaka 2023 na kwanini bado tunalipia huduma za afya wakati tulishapokea kiasi kingi hivi cha pesa kutoka kwa wahisani.
Umenikumbusha mbali mkuu,ndivyo ilivyo,nakumbuka katika hotuba moja ya baba wa taifa wakati aliomba msaada,nadhani kulikuwa na njaa nchini,hata ye mwl alijua baadae,kumbe jamaa walitoa msaada wa mahindi,lkn waliandika kama cash money kiasi fulani.Saa nyingine hizi huwa sio fedha kama fedha
Marekani ni ngumu sana kukupatia fedha, anachofanya ni kukupa ARV au chanjo zikiwa overpriced ndo maana utaona kwamba wametoa kiasi kikubwa cha pesa ila sivyo ilivyo
Same same wanachofanyiwa Ukraine, wanapewa silaha obsolete halafu Marekani wanaweka high price ionekane ni mabilioni ya fedha
Si ajabu ukakuta wewe ni ofisa mwandamizi ndani ya hii serikali iliyojaa wezi na matapeli.Huo ni misaada kweli lakini ni tone katika bahari. Tanzania kuwa na huduma za wastani za afya itataka labda si chini ya hizo pesa mara 20
Yupo sahihi muda wote.Kuna muda Trump anaonekana yupo sahihi.
Trump yuko Sahihi kabisa siku zote. Leo kapiga stop 🛑 misaada ya UNHCRKuna muda Trump anaonekana yupo sahihi.