Ukitaka kuoa Sinza, Magomeni na Kinondoni sio sehemu nzuri za kuchagua mchumba


prejudice....you must be JJC.....
 
Ahahahahahahahaa mbona wanaolewa asee...mie pia nitaoa chuma kimoja hapa Sinza,siend mbali
 

Kwani huko ulipotaja kwenye wake waliotulia bikra bado wanazo?
 
nimependa sana signecha yako. hiyo mada waendelee kuchangia wengine.
 

Mkuu wala hujakosea hapo sinza na magomenio kuna kahaba za kutosha ogopa. mimi nimewahi piga wakutosha hapo. kuna kipindi nilikuwa natongoza kupitia mitandao ya Badoo, Twoo na Tagged. aisee huko madem wanajiuza live tena kwa bei simple kabisa. kuna mmoja nilijifanya kumsifia akaniambia acha kujizungusha hapa hela yako tu. ikabidi nijiongeze
 

daah, mamanina!!! daaah
 
wanawake watemeke kila wekend wako ngomani diary imejaa vigodoro,jando,unhago,ngoma ,hitima ,harobaini,kisomo,

na huko ndiyo kuna madini, kila mtu ni msichana, mtu na wifi yake wanapeana michapo ya kuchepuka,,,dadadadadeki!
 

Mkuu, mnatafuta wachumba kiboya sana.
 
na huko ndiyo kuna madini, kila mtu ni msichana, mtu na wifi yake wanapeana michapo ya kuchepuka,,,dadadadadeki!
au mama mwenye nyumba awe na watoto wa kike alafu uingize wengine notice itakusubiri atakwambia ina maana humu ndani huwaoni
 
au mama mwenye nyumba awe na watoto wa kike alafu uingize wengine notice itakusubiri atakwambia ina maana humu ndani huwaoni

hapo utakuwa umekosea, unatakiwa kuanza na maza haus kwanza, kisha wanae, then ndiyo unaanza kuingiza wa kutoka nje sasa...wanakuwa wamekaa dirishani wanacheka kicheko cha umbea we unasimamia show bila kujali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…