Kwakweli waache wanajiaibisha tuNdio upuuzi huo. Yani mtu tena wakiume anaanzisha uzi kumsifia mwanaume mwenzake.
Ndio hao hao wanaofanya wakataa ndoa wapate kiki hapa jukwaani. Yani ulimbukeni umekuwa mwingi. Nawalaumu wachina kwa kuleta cheap smartphones
Wewee ndo usemee wapi panakuuma upulizweeπππukiona mada, uzi huuelewi pita hivi tafuta sehemu yako yenye kukufurahishaa na sio kutupangia wapi tucoment wapi tulikeππππ ChaliifranciscoSina chakupambania dear, kama inauma chomoa.
We hujawahi ona ila ndo reality wanaume wengine ni very introverted hawawezi kusema au wengine hawamo jf ila sisi wanaume tunatomba hizo **** mpaka basi tena kuna wengine wamemzidi mkuu hivyo usishangae bora yeye anakula wanawake wa watu sasa wale wanaokula masista wa kikatoliki tena 3somes kabisa na matako yao yalivyomakubwa hao utasemajeMwanaume anaona sifa kulala na kila mwanamke
Sijawahi ona hii mahali aiseee
Anyway ni maisha yake maamuzi yake.
Hapa JF ukiona hao wanawake ni wacheche wanaojielewa ila wengi wao wapo tu kutafuta mabwanaKuna muda unaweza kuwalaumu hao wanawake lakin Kuna unakumbuka wapo kwenye biashara
Huna akili, siwezi bishana na Zero IQ kama wewe.Wewee ndo usemee wapi panakuuma upulizweeπππukiona mada, uzi huuelewi pita hivi tafuta sehemu yako yenye kukufurahishaa na sio kutupangia wapi tucoment wapi tulikeππππ Chaliifrancisco
Yuko hatua za mwishoni kuanza kupaa[emoji1]What an ego trip
πππ Maumivu ni makali mno,Wewee ndo usemee wapi panakuuma upulizweeπππukiona mada, uzi huuelewi pita hivi tafuta sehemu yako yenye kukufurahishaa na sio kutupangia wapi tucoment wapi tulikeππππ Chaliifrancisco
Check mtoa mada mwenyeweMtoa mada wee ndo ujaitambui,
Unatuleteaje habar za lema huku MMU
Huku MMU tunajadili MAPENZI,MAHUSIANO na URAFIKI
Ukija MMU afu ukategemea kupata habar za Lema na kwann Tanzania Ni maskini.
Basi Wewe ndo utapaswa ukapimwe akili[emoji4]
Daaah kwanza MMU isingekuwepo [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Imagine jf inapata mod Kama mtoa mada[emoji848]
We hujawahi ona ila ndo reality wanaume wengine ni very introverted hawawezi kusema au wengine hawamo jf ila sisi wanaume tunatomba hizo **** mpaka basi tena kuna wengine wamemzidi mkuu hivyo usishangae bora yeye anakula wanawake wa watu sasa wale wanaokula masista wa kikatoliki tena 3somes kabisa na matako yao yalivyomakubwa hao utasemaje
Uzuri jamaa hana unafki wowote ule anasema ukweli kutoka moyoni na experience zake
[emoji846][emoji846][emoji846][emoji846]
Wewe ni mpuuzi na story zako za kijinga. Wewe jamaa sijui ni gasho au ni mpenda sifa sana! Maana mada zako za wanawake unajiona mwamba kumbe unajidhalilisha tu.Mtoa mada wee ndo ujaitambui,
Unatuleteaje habar za lema huku MMU
Huku MMU tunajadili MAPENZI,MAHUSIANO na URAFIKI
Ukija MMU afu ukategemea kupata habar za Lema na kwann Tanzania Ni maskini.
Basi Wewe ndo utapaswa ukapimwe akili[emoji4]
Si kauliza swali tu au we inakuuma nn sasa mkuuu [emoji90]Wewe mwenyewe ni mfano wa typical local uncivilized Africans
View attachment 2546307
Mental illness is real...πππππππ Maumivu ni makali mno,
Wanaokutegemea ni sawa wakikutegemea kwakuwa wanafaidi matunda ya upuuzi wako.Mi hata sibishaniπππ maana ni zero iq ninaetegemewa mahaliπππ
umeandika kwa hasiraSisi ngozi nyeusi tunaojielewa tupo wacheche sana (mimi mmoja wao).
Yani hapa jukwaani ikianzishwa mada ya kipuuzi (hasa inayohusu mapenzi) inarukiwa haraka sana na watu (wengi ni vichwa panzi, hasa wanawake).
Na ili thread itembee vizuri utakuta wanaume (vichwa panzi na wanaopenda sifa kwa kutamani wanawake) nao wanarukia mada haraka na kukuta thread imetembea haraka kwa mijadala ya kiwaki (kipumbavu) isiyokuwa na tija.
Hili jambo ni observe muda mrefu sana. Mimi sio muanzisha mada mzuri hapa JF mara nyingi napenda kuchangia. Hii ni kutokana na kuwa najua mada zangu ninazoziwaza hapa nikileta haziwezi kupata wachangiaji.
Wengi kwanza hawataelewa au watakuwa uninterested kwakuwa sio mambo wanayoyapenda (wamezoea ujinga).
Leo tu nimekaa nikawaza kufanya social experiment niandike mada ya kipuuzi (angalia thread yangu ya mwisho kabla ya hii) nimegundua hapa JF (ambapo kwa sample ya kitafiti inafaa kujumuisha watu wote weusi wa hapa nchini) kuwa watu wengi ni wapumbavu na wasio na akili.
Mtu akianzisha mada (hasa wenye jinsia ya kike, ambao wengi mtandaoni sio wakike wote) basi mijinga mingi hukimbilia kudakia mada hiyo ya kijinga na utakuta uzi una trend sana.
Lema akisema ukweli kuwa sisi ni maskini utakuta hao hao wajinga wanamlaumu kuwa anatukana watu. Lakini ukweli mchungu ni kuwa anapiga kwenye mshono.
Kuna watu ambao angalau wana balance mambo (kuna muda yupo anachangia mambo ya muhimu na huko ujingani/vuruguni anachangamsha genge, mimi mmoja wao).
Ila hapa JF watu wapuuzi ni wengi sana na ndio mada za kipuuzi zisizokuwa na mantiki ndio utakuta zimechangiwa sana na wajinga wengi kuliko mada zenye kuleta tija. Angalia thread za mambo ya kulana kimasihara zinavyofanya vizuri.
Ila thread za kueleweka zinazo make sense zina wachangiaji wachache wenye sense kwakuwa wenye sense ni wachache.
Nonsenses ni kibao.
Tubadilike, kwanza hatuwezi, tuendelee tu kumchukia Lema kwa kutupiga panapouma.
Huu uzi hata jukwaa la kuuweka sijui maana ni multi-whatever.
NONSENSE.
Palina, SI juzi tu ulikuwa una furahiaaπ€π€Kweli na wale anaanzisha uzi kumsifia member flani sijui wanafikiriaga nini
Mambo mengine yaishie PM mahusiano yako na mtu fulani sisi hayatuhusu but ndo hivo tunaishi nao tu