The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Kumiliki gari ya Ulaya/Marekani ni changamoto sana hasa sisi wenye vipato vya chini.
Changamoto zake ukiachia matengenezo ambayo huwa sioni tatizo lake kubwa iko kwenye kuiuza.
Mwaka jana ndugu yangu alinunua Ford Everest ya karibu milioni 90, kaitumia mwaka mmoja na miezi kadhaa juzi hapa amepata changamoto ya kimaisha anataka aiuze, bei kubwa anayoletewa ni 50M
Gari bado mpya kabisa lakini bei anayopata kutoka kwa watu haizidi 50M, yaani kwa mwaka mmoja na miezi 5 hasara ya 40M.
Wakati huo mwaka 2016 alimnunulia mke wake IST namba DF milioni 12, juzi kaiuza 6.5M.
Mimi na kimshahara changu cha kuunga unga nilitaka kujitoa mhanga kwa Touareg ama Audi ila nimeacha kwanza. Acha niendelee na Toyota kwanza wakuu.
Nimepanga ku-upgrade kwenda TX ama Fortuner. Ulaya wasubiri kwanza nitakufa kwa presha.