Ukitaka kuuza gari ya Ulaya/Marekani ni changamoto sana

Ukitaka kuuza gari ya Ulaya/Marekani ni changamoto sana

Ishu sio tu gari ya Japan, hapa Tanzania ukiwa na gari yoyote ambayo sio TOYOTA (hata kama ni ya Japan mfano Honda, Mazda, Nissan nk) utapata tabu sana kuiuza! Sijui toyota walitukamata wapi masikio kudhani kwamba gari zao ndio bora kuliko zote?
Toyota tumejenga udungu tena zaidi ya udungu hata ukikosea oil kama haya matoleo ya zamani huwazi kama mwenye Nissan X trail
 
Ishu sio tu gari ya Japan, hapa Tanzania ukiwa na gari yoyote ambayo sio TOYOTA (hata kama ni ya Japan mfano Honda, Mazda, Nissan nk) utapata tabu sana kuiuza! Sijui toyota walitukamata wapi masikio kudhani kwamba gari zao ndio bora kuliko zote?
Hahahahah hizo gari zingine zina vinasaba vya kibepari japo ni za Japan. Huwa zinakera sababu ikizengua kitu kuipata spare part ni mtafutano kama haujajipanga gari lazma inyewe na kunguru kwa miezi kadhaa mbele ndio iendelee kuendesheka.
 
Na sio kwamba gari mbovu?
ilikuwa mpya kabisa haina chngamoto hata 1 toka nilivyoiuza kwa hasara hyo hata ukiniletea gar ya mjeruman kwa 2m sinunui maana najua ntakuja kuiuza laki 5
20220420_152553.jpg
 
Hio Ist yenyewe unless kama matunzo hayakuwa mazuri ila DF unaweza kuuza million 8 easily kama muendeshaji alikuwa mtunzaji🤣🤣🤣...

Sema hongereni inaonekana mazingira ya uchumi mmeyaweka vizuri huko kwenu. Kutembelea gari ya 90M sio jambo la mchezo.
Mkuu nafikiri hali sio shwari.
Leo nimeletewa Amazon na imetunzwa sana inauzwa kuanzia 20ml sijaamini..mtu anashida ya haraka amepambana apate pesa ya haraka wapi
 
Ishu sio tu gari ya Japan, hapa Tanzania ukiwa na gari yoyote ambayo sio TOYOTA (hata kama ni ya Japan mfano Honda, Mazda, Nissan nk) utapata tabu sana kuiuza! Sijui toyota walitukamata wapi masikio kudhani kwamba gari zao ndio bora kuliko zote?
Uchawi ni urahisi na upatikanaji wa spare zake
 
Mkuu nafikiri hali sio shwari.
Leo nimeletewa Amazon na imetunzwa sana inauzwa kuanzia 20ml sijaamini..mtu anashida ya haraka amepambana apate pesa ya haraka wapi
Hii yawezekana kabisa sidhani kama hii factor ni ya kupuuzia hali ya uchumi sio shwari kabisa watu wanauza Mali kwa bei ya kutupwa.

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Mimi na kimshahara changu cha kuunga unga nilitaka kujitoa mhanga kwa Touareg ama Audi ila nimeacha kwanza. Acha niendelee na Toyota kwanza wakuu.

Nimepanga ku-upgrade kwenda TX ama Fortuner. Ulaya wasubiri kwanza nitakufa kwa presha.

Mtu wa mshahara wa kuunga unga hawezi nunua Touareg, PradoTX au Fortuner mzee baba
 
Kwani mkuu unanunua gari ili uje uliuze?[emoji41][emoji41]

Kikubwa we angalia vitu vya muhimu kama vile:-
Purpose
Cost (purchasing, meintanance, and operation)

Kwa kufanya hivyo utaondokana na kadhia mbalimbali.
 
Kumiliki gari ya Ulaya/Marekani ni changamoto sana hasa sisi wenye vipato vya chini.

Changamoto zake ukiachia matengenezo ambayo huwa sioni tatizo lake kubwa iko kwenye kuiuza.

Mwaka jana ndugu yangu alinunua Ford Everest ya karibu milioni 90, kaitumia mwaka mmoja na miezi kadhaa juzi hapa amepata changamoto ya kimaisha anataka aiuze, bei kubwa anayoletewa ni 50M

Gari bado mpya kabisa lakini bei anayopata kutoka kwa watu haizidi 50M, yaani kwa mwaka mmoja na miezi 5 hasara ya 40M.

Wakati huo mwaka 2016 alimnunulia mke wake IST namba DF milioni 12, juzi kaiuza 6.5M.

Mimi na kimshahara changu cha kuunga unga nilitaka kujitoa mhanga kwa Touareg ama Audi ila nimeacha kwanza. Acha niendelee na Toyota kwanza wakuu.

Nimepanga ku-upgrade kwenda TX ama Fortuner. Ulaya wasubiri kwanza nitakufa kwa presha.
Tx ni gari gani
 
Back
Top Bottom