Ukitaka kuuza gari ya Ulaya/Marekani ni changamoto sana

Kule kupatana ziko Amazon mpk za kwny mil 17 huko na nilishaikaguaga moja na ilikua poa kabisa.Tatizo la wabongo ni 1 tu wanapenda kuangalia upuuzi wa No.,ikishakua no.A au B etc hio Gari Hata iwe Kali vipi jiandae kuiuza kwa hasara tu.
Ile amazon nyekundu kule kupatana umeikagua mkuu?
Hali yake ikoje?
Au wewe ndiye muuzaji?
 
Hahahahah
Kule kupatana ziko Amazon mpk za kwny mil 17 huko na nilishaikaguaga moja na ilikua poa kabisa.Tatizo la wabongo ni 1 tu wanapenda kuangalia upuuzi wa No.,ikishakua no.A au B etc hio Gari Hata iwe Kali vipi jiandae kuiuza kwa hasara tu.
Wabongo wanataka namba D
 
Haya ni Mawazo ya kimaskini sana , na ukweli watu Wana mentality za kishamba sana ,gari isipokuwa Toyota bac watu hawataki kbs ila ukweli Kuna brand Bora na imara na reliable zaidi ya Toyota nimenunua Mazda cx5 mpk Leo cjajuta
 
Malawi currency yao ipo juu kuzidi Tanzania sababu ya kwanza hii uifahamu.

Sent from my Moto C using JamiiForums mobile app
Na mimi nilipokua nasoma nilikua na hizi taarifa pia...magari Malawi yapo chini sana kwa sababu ya kodi ya kuingiza gari malawi haizidi Tsh 1500,000 kwa gari ndogo zipo zingine wanalipia laki nane ya Kitanzania maroli ya mchanga kodi ilikua haizidi Tsh 8m sasa hivi wameongeza sababu kubwa ni kuwa wao hawana mrundikano wa kodi kws Wananchi wake..hizo sababu za thsmani ya Fedha ni kwenye makaratasi ila ukiibadili hela unapata thamani ya Tsh...
 

Nimeishi Marekani mda sana, sijui ni m Tanzania mjinga kiasi gani ambaye Hali ya fedha si stable ata spend 90m kununua gari, wakati for 7m unaweza pata nzuri sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ