Ukitaka kuwa mtu mwenye Nguvu juu ya ulimwengu huu usifanye mapenzi

Ule utamu naopata wakati bao linatoka usikie tu
 
Hapa kwetu hatuna mapadri sasa mtu ana mke na watoto na kama unajibu lako baki nalo tafuta mwenzio muanzishe mdahalo.
Wakati nipo Seminarini Tabata Segerea, sikuwahi kumuona huyo Padri mwenye familia. Unachofeli ni kufanya generalizatiom.
 
Hii nna ushahidi, huwa nna utaratibu wa kukaa mwezi mzima au miezi kadhaa bila kumgusa mwanamke hasa nikiwa na jambo langu. Katika kipindi hiki kila kitu chema huwa kinafunguka na kukufata.
 
Hongera sana. Mwenyezi Mungu akujaalie upate mwenza mtulivu kama wewe.
 
Mkuu siku 40 tu mbona mm Nina upwiru wa miaka 3 sioni chochote
 
Elewa amesema "hata kwa kuifikiria kwenye ubongo wao" wewe ushafikiria tayri😃
Nimefikiria saa ngapi mkuu au kwakuwa nimesema Nina upwiru?

Upwiru ni hali ya kukosa nyapu kwa muda mrefu sio kuwaza sex ni hanithi tu pekeake ambae hahisi upwiru
 
Ni vile mtoa mada amegusa sub topic tutafute majibu wenyewe kwa hekima, hapa kwa ufupi ni kua tukitumia chakra nne za juu upeo na uwezo wa akili na zaidi ya hapo unaongezeka. Ila ukitumia chakra za chini 3 basi uwezo unapungua.
- ndio maana shule tuliambiwa tusichanganye masomo na ngono kwakua walijua ukifanya ngono uwezo wa kumbukumbu unapungua na tukumbuke kumbukumbu nikitemgo kimoja cha ubongo bado vitengo 8 pia hupungua uwezo.
Ziada
Mf. Mbegu za uzazi ni nguvu ya uhai ndio maana inauwezo wakutoa kiumbe usiichukulie poa hiyo nguvu (naweza ita mafuta/enery) hivyo usipoitoa na ukajua namna yakuipandisha juu basi uwezo unaongezeka wa kufikiri nakutenda mambo na zaidi ya hapo unakua na upeo wakuona/ visualize kesho yako na ya ulimwengu ndipo inafika hatua unafungua third eye/ pineal gland inafanya kazi. Hii ndio maana ya mwenge kuwashwa (wajuzi wanajua hili ninalolisema). Baada ya hapo unaenda stage ya juu ya kupakwa mafuta kwa maana ya kuwa crowned 👑, mteule. Unaweza toa mawazo au fikra pevu zitakazo tumika na ulimwengu now na baadae. Bible imeeleza hii in plain sight kwa wajuzi na ndio maana ya Christ yaani Crystal 💎🟣 , ndio maana yeye akuoa na ndio maana unaambiwa Christ alisulubiwa na akapaa mbinguni (kupaa ndio kutumia chakra ya 7 👑, na yuko ndani yako.
kusulubiwa ni kuji-commit/ sacrifice/ kujinyima.)
Sasa watu wanamsubiri.
Jamani mniambie kama nimeenda ndani sana wenye uelewa wataelewa wenye akili mgando wata ropoka.

NB: kujua ni jambo moja kutekeleza ni jambo lingine.
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...


Cc: Mahondaw
Sio wabishi ni kua bado wako kwenye giza/ upuuzi. Hakuna mwenye hekima anabisha pasina hoja anaacha hoja ijibiwe na hoja na hana haja yakupigia kifua matazamo maana sio kazi yake kupigania hoja bali hoja itajipambania yenyewe
 
Bila roho, shetani au chochote, sex ndo kitu ambacho kisipotumiwa vizuri kunaleta Matatizo karibu yoooooote duniani, ukiiacha lazima utafanikiwa
 
Nywele ni connection wirelessly au anterna ya taarifa; pia kama IP address/ DNA, hivyo huweza kutumika kukufikia.
Sasa nini kinakufikia? je, ni ubaya au uzuri? Hivyo hutegemea na intention ya muhusika/ mtenda.
Notes za ziada:-
Nywele = Nguvu, Utambulisho, Agano
Kwa Samson, nywele zilisimama kama ishara ya agano lake na Mungu (Nazirite vow).
Kwa lugha ya kiroho:
•Nywele = antenna ya nguvu zako
•Nywele = memory ya lineage
•Nywele = crown ya mtu (crown chakra)
•Nywele = uhuru & nguvu ya ndani

Kuvunja agano/ kunyolewa→ nguvu inapotea.
Issues ninayoiona ni kusema nguvu za kichawi hapo ndio negative negation inaonekana.
Kiuhalisia inapaswa kutajwa kama mlango au portal ambayo inaweza kutumika na muhusika kujiinua au kutumika na mtu mbaya kudhuru.
Maana Nywele hutumika hadi kutengeneza mbolea na material ya nyuzi fulani hii pia tutaita uchawi. Tunapotumia uchawi watu hupuuza kujua kwa kina juu ya uwezo walionao au uwezo wa kitu husika na huleta tafsiri yakufikirika na kufanya watu kuogopa from first impression.
 
Labda ungesema kuacha kufanya mapenzi kwa kuokota okota mademu hovyo mitaani lakini ukiwa na mke halali sidhani kama ni shida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…