Ukitaka kuwa mtu mwenye Nguvu juu ya ulimwengu huu usifanye mapenzi

Samson mwenyewe alishindwa! Mimi ni nani hata niweze
 
Sijui wewe ni nani....! Ila umeongea jambo la kiroho, na sio Kiroho tu, ila ni Kanuni Moja wapo ya kuendelea kuwa na Nguvu ya Mungu kwa Pastors, Prophets n.k hata Kwa Watu wa kawaida.

Binafsi nilishazuia Mawazo ya Ngono na Tamaa ndani yangu, hayapo kabisa, Mwanzoni ilikua Vita ndani yangu, na nikashinda. Na ndiyo nilikuja kujua Kwa Nini Yesu hakuoa.

Ulichokisema Mimi nakiishi, na nashuhudia matokeo yake sawa na ulivyosema.
 
Kuna watu hawatakuelewa! Na hawawezi kukuelewa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…