Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Hakikisha ngozi yako inanukia pesa (imenawiri, na vinyweleo vimesimama na kutoa jasho)
- Mwili wako unukie vizuri, sio ile harufu kali ya kutisha
- Uwe na biashara yako/ofisi yako inayoeleweka.
- Uwe ni mtu wa kuongea maneno machache ila vitendo viwe vingi
- Usiwe mtu wa makundi, ishi mwenyewe mwenyewe, mfano ukienda sehemu, nenda mwenyewe.
- Uwe ni mtu wa kusaidia wahitaji kwa wanaohitaji msaada wako.
- Ukiwa na gari kubwa kama land cruiser hivi, itapendeza zaidi
- Piga viatu vya ngozi rangi nyeusi, ikiwa travolta itakuwa powa zaidi.
- Vaa suruali ya jinsi ya kijani na shati jeupe linaloonyesha vest uliovaa ndani. Kama utakosa jinsi ya kijani, unaweza kuvaa zilizopo.
- Ndevu ziwe fupi za kuchana na brashi, ikiwezekana uzitoe kabisa; usifuge mzuzu kama beberu.
- Kichwani unaweza kunyoa kipara, au staili ya box
- Kichwani, paka mafuta yatakayoonyesha mpaka shina la nywele, ngozi ya kichwa ing'ae.
- Usihonge mwanamke yeyote, waache wao wakuhonge kwa sababu watakuwa wanakutafuta kama utitiri kwenye nyumba za ibada, waganga n.k
- Achana na wanawake wanao omba omba hela.
- Baada ya hapo, kula maisha kama mwanaume halisi anavyotakiwa kuishi.