Ukitaka wanawake wengi wakuchukie, waambie ukweli

Vice versa is true....hata nyie mnadanganywa Sana na Wanawake na mnajaa,ukionyeshwa true colors hamtaki.... brother hii kitu ipo pande zote mbili believe me,
Iko pande zote Ila wanawake wengi ukiwaambia ukweli umeisha Ila ukiwadanganya na kuazima Hadi gari lazima uwale WA kutosha.

Kama huamini chunguza ni wanawake wangapi wako tayari kuolewa na mwanaume asie na uwezo na ni wanaume wangapi wako tayari kuoa wanawake wasio vizuri kiuchumi.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Kwa mfano wanaume asilimia 99.8 ni WAMBEA,WASENGENYAJI,hawana SIRI...Ila hawapendi kuambiwa huu Ukweli...wanapenda kuambia eti wanaume Wana kifua ukiwa na jambo lako mwambie mwanaume atakutunzie weeee Thubutuuuuuu utalikuta kijiweni asubuhi na mapema Kabla hata bunge la bajeti halijaanza
 
Kama unadate na wanaume wanaoshinda vijiweni jichunguze.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Iko pande zote Ila wanawake wengi ukiwaambia ukweli umeisha Ila ukiwadanganya na kuazima Hadi gari lazima uwale WA kutosha...
Hata wanaume wako tayari kudanganywa na wewe kachunguze hili.

Wanaume wangapi wameoa malaya kwa sababu waliwadanganya ni wife material?

Mbona hawakuoa machangudoa ambao wameonyesha uhalisia wao?
 
In short mwanamke anatakiwa kupewa sifa sababu huwa ndizo zinampa ujasiri sasa ukianza kumponda na kumsema apo unatengeneza inferiority ndani yake.

Kwahyo n vzuri sana tukaishi nao maana tuan jua kwamba wana short temper kitu kidogo tu kinaweza kimuharibia kabisa au kimchanga akawa na maswali mengi kwa nn huyu amesema hivi au ameniambia hivi.

Pia hata makazini humo ukiwa na boss ambaye ni mwanamke aisee ni taabu japokuwa sio wote wanatabia hzo ila hiyo tabu yake si poa. Ni vyema kuishi nao tu
 
Acheni kupindisha mambo hata wanaume wanapenda sifa,Tena nyie sifa zenu ndio kibokooooo mnaweza hata kutaka kupigana na kundi la panya road wenye mapanga kisa umeambiwa na mtoto mzuri "mpenzi najua hao unawamudu"😁😁😁😁😁😁😁basi mbichwa huooooi unajitosa kupigana
 
Yah, kweli kila mtu anapenda sifa lakini zina tegemeana na upande.

Kwa sis wanaume ni rahisi kupewa sifa na pia tuanuwezo wa kufanya maamuzi kulingana na hyo sifa ni ya kitu gani kama ni ya kushindikiza kitu inataegemeana either to face it or let it go.

Ila kwa mwanamke ni ngumu sana ukisampa sifa yaani ile sifa kuna mawili either itampoteza kabisa au itamjenga kwahyo hiyo ndo tofauti pale kwenye maanuzi na ufikiliaji
 
Tuishie tu hapo Kila mtu anapenda sifa...inatosha
 

Joanah ndio maana nikasema Wanawake wengi(kumaanisha sio wote) na hata wanaume wachache hawapendi kuambiwa ukweli. Lakini wanaume wengi ukweli tunaukubali ndio maana ukifika kijiweni Watu wanachanana ukweli unaweza kusema hawapendani lakini sivyo.
Lakini njoo kwenu ninyi Wadada, ni Wadada wachache wenye mioyo ya kuukubali ukweli.

Ninyi wenyewe wengi wenu kuambiana ukweli mitihani na ndio mwanzo wa kuchukiana.
 

πŸ˜‚πŸ˜‚
Wapo WA hivyo, lakini tupo ambao hata tushikiwe bunduki Siri hatutoi.

Ila ogopa wanaume wenye Kampani kuanzia marafiki watatu kwendelea, kiasiili ni wambeya kama Wanawake tuu.
 
πŸ‘πŸ‘Poa nimekusoma

Nilimiss ubishi wako bwana,

Uko poa lakini?
 
πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”

"Mwanamke au mtu yeyote anayeendeshaa na mihemko aongeapo wala usimchukulie Serious Kwa sababu anavyoongea mara nyingi hamaanishi uhalisia wa kile akisemacho, Bali anazungumzia hisia zake tuu. Jambo ambalo Leo ni hivi kesho ni vile Jambo ambalo linawafanya wawe vigeugeu wasio na msimamo."


☝️☝️☝️☝️☝️☝️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…