Ukiwa Dar es Salaam unaweza kudhani maisha umeyapatia, kumbe umechelewa sana bila kujua

Hao vijana kama wa juzi , ukimkosoa anakuambia ''wewe ni maskini '' yeye kapanga hapo Dar anababishwa na magorofa ya kariakoo .

Mimi niko Tanga , nina nyumba yangu , maisha mazuri , hakuna foleni za kishamba ...Maisha yako chini hata nikitaka nalima ...Nina access ya kufanya biashara ya mtu yeyote , almost kila ninachokitaka hapo Dar nakipata ...Yeye anadanganywa na takwimu uchawara badala ya kuangalia yuko wapi .​
Hapa unajidanganya mwenyewe, hata Rais Samia hataki kukaa ikulu ya Dodoma, anafosi matukio mengi yafanyike ikulu ya Dar.

Dar ndio Tanzania.
 
Akili yako bado ,kabla ya hapo alikuwa anakaa wapi ? uzoefu wa shemu uliyoishi ndio tatizo , je kama kawekeza hapo ?
 
Wakati Dubai wanagndua mafuta nchi za magharib zilikuwa mbali sana kimaendeleo , waarabu ni wapenda starehe kuliko race zote duniani , walikuwa na offer ya kwenda kokote kula bata kwa pesa mafuta ila walibaki pale kujenga mji wao ...Mpaka leo hakuna nchi wananchi wake wameridhika na UAE , yaani hakuna ..Kwanza, hata ishu ya kusafiri hawana huo muda , mji wa dubai ndiyo unapokea watu wengi ila wao kutoka hawana muda .

Leo waarabu wanatumia pesa kuvutia burudani kama mpira nchini mwao ...Better kukaa home kuangalia fursa , siwezi kwenda sehemu sina ufahamu wa jambo , ninapoishi najua fursa zote maana nimelelewa hapa , siwezi kufa njaa .

Kiufupi waafrika bado sana wanaamini kwenda mbali kutafuta maisha ni kasumba ya kishirikina ...​
Wewe umewahi kusafiri? Am sure bado unasoma hadithi tu kwenye media, nenda Uingereza na Marekani uone Waarabu kwa wingi wanaishi huko.

Hata Sheikh Mansoor ni mkazi wa UK, huna hoja, huna exposure hujui lolote.
 
Hwbu nitajie nchi moja tu hapa duniani ambayo raia wote wametobowa.

Mimi nimezaliwa Dar, naujuwa mtaa wa Congo tangu wakiuza Sangara, wamekuja wamakonde kuanzisha biashara ya mitumba wengi wametobowa na ndio waasisi wa jina la Wamachinga, kariakoo sasa imetekwa na Wakunga, kwa nini hayo maghorofa na biashara wasifanyie kwao Njombe?
Kama umekuta Congo wanauza sangara siwezi kubishana na wewe mzee umenizidi sana umri. Ila nikuhakikishie tu mimi nimezaliwa Dar pia na sio kwa kuhamia hapana ndio asili yetu. Nimejenga Dar na nimerithi nyumba Dar. Nimeajiriwa nipo mikoa ya pembezoni huku ila nimetengeneza hela huku kuliko nilipokuwa Dar na vijana huku wanatengeneza hela kweli.
Siwezi kukubaliana na wewe eti mtu atoke mkoa aje kuwa machinga au muuza kahawa Dar huo ni uzwazwa na hawezi kufanya maisha tusidanganyane. Machinga wamekuwa wengi kuliko wateja.
 
Na wale homeless New York utasema Marekani pagumu bora mikoani?

Hivi huwa mnatumia logic gani?
Mifano yako hailandani na hoja za mleta uzi. Hakuna taifa linalofurahia kuwa na homeless. Marekani sio pagumu kama Tanzania ila kuwa homeless ni dalili ya kushindwa maisha katika eneo ulilokwenda kutafuta maisha.
Huwezi kutoka mkoa unaongoza kwa kuzalisha ndizi na ardhi ipo ukaja mjini kuwa shamba boi Mikocheni unamwagalia nyasi mshahara laki na nusu kwa mwezi huo ni ufala.
 
Kama umekuta Congo wanauza sangara siwezi kubishana na wewe mzee umenizidi sana umri. Ila nikuhakikishie tu mimi nimezaliwa Dar pia na sio kwa kuhamia hapana ndio asili yetu. Nimejenga Dar na nimerithi nyumba Dar. Nimeajiriwa nipo mikoa ya pembezoni huku ila nimetengeneza hela huku kuliko nilipokuwa Dar na vijana huku wanatengeneza hela kweli.
Siwezi kukubaliana na wewe eti mtu atoke mkoa aje kuwa machinga au muuza kahawa Dar huo ni uzwazwa na hawezi kufanya maisha tusidanganyane. Machinga wamekuwa wengi kuliko wateja.
Wewe huna akili kichwani, mimi nimefanya kazi na wazungu Tanzania ndipo wanapiga pesa, mkataba ukiisha analia anarudi kwao hawezi kupiga pesa kama Bongo.

Unadhani hii ndio logic kwamba Bongo ni bora kuliko ulaya? hizi ni fursa za mtu mmoja mmoja siyo methodology sample ya kuaminisha watu, nenda hata kijiji chenye ukame na dhiki lakini lazima utakuta kuna tajiri hapo na ametajirika hapohapo, mtu yeyote mwenye shida au kukopa pesa lazima uende kwake.
 
Mzee hata hueleweki unataka kusema nini ila wazungu kupiga hela Tanzania ni sawa si kuna madini, gesi, mazao ya bahari n.k. Hoja hapa ni vijana kudhani Dar watafannya maisha kwa kuuza kahawa na karanga badala kwenda maeneo ya pembezoni au walikotoka kufanya maisha.
Achana na huo upuuzi wako sampling sijui, Hoja ni ujinga wa vijana kudhani Dar ndio watafanya maisha.
 
Yaani Haya Maisha Bwna.

Yanaweza kuwa yamekupiga Chenga ila bado ukawa unaamini umeyapata.

Hasa hasa kama una ishi Dar kuna kaimani kanakujia kichwani kwamba huko Mbeya hakuna kitu, kuna kasumba inakupumbaza kichwani kwamba huko Mtwara kumejaa maskini tu na hakuna hela. Yaani Kichwa kinajaa na kuvimba kabisa kwamba wanaoishi Singida au Nzega Tabora ni watu wenye hali duni.

Tena kuna kitu kinakujaa kabisa unaamini watu wa Tanga wanakula bata gani bwana? Kuna nini cha ajabu Tanga? Kwanza kule Rami yenyewe ya magumashi.

Kumbe Hapo Dar ulicho nacho ni Geto la Chumba Master, Sebule na Jiko, TV ya Nchi 50, Saboofa la Aborder na Mademu kama wawili hivi wa kubadilisha badilisha na wanakugombania.

Huku Mkoani Nachingwea, Dumila, Handeni na Rufiji Vijana wana miliki Mamilioni ya Fedha na Miradi kadhaa isiyohamishika yenye thamani mpaka 200M.

We mali zako hazifiki hata 10M na hilo Duka lako la Mpesa, Tigopesa, halopesa etc.

Huku watu wanakula Bata si la Nchi hii. Wana Majumba mazuri, watoto wa kwenda.

Magari ya kufa mtu ya kifahari hata kama hayafiki 50M lakini hizi za 15M, 18M, 20-25M hadi 45M zipo za kumwaga.

Wewe unajidai mademu wawili wamejaa Enjoface na Macream huku watu wanapiga hadi 8 Kuku wa Kienyeji.

Kwenye Biashara ndio usiseme. Mshindo mmoja tu unatoboa maisha.
Ukiwa unaishi mbeya mjini,Arusha mjini,Dodoma mjini,Njombe mjini unaweza kudhani umepatia maisha kumbe umechelewa.Iko hivi kuna wenzetu wameamua kuishi Marekani,uingireza na kwingineko duniani lakini sio matajiri.Hiyo ni life circle mtu anaweza kurudi mkoani na bado asione fursa,mwingine anaweza kutoka mkoani leo na kuingia Dar ndani ta miaka mitano akatengeza urajiri.Ni jicho la fursa hutofautisha mtu mmoja na mwingine
 
Wewe umewahi kusafiri? Am sure bado unasoma hadithi tu kwenye media, nenda Uingereza na Marekani uone Waarabu kwa wingi wanaishi huko.

Hata Sheikh Mansoor ni mkazi wa UK, huna hoja, huna exposure hujui lolote.
Hadithi zipi ? Uingereza hupajui ? Unaelewa maana UAE ? Nimekuambia wengi hawapendi na sio kila muarabu yuko UAE ..Hizo ni takwimu usiwe mbishi ...Unakuja na hoja za shekhe za nn sasa?

According to recent studies, countries where citizens generally have the least desire to move away include the United Arab Emirates (UAE), Japan, Germany, the United States, and Australia; these places are often cited for their high quality of life, strong cultural ties, and economic opportunities, leading to low emigration rates among their populations.
 
Kacopy tena google utuoneshe takwimu za mikoani ni bora kuliko Dar.
 
Nana kakuambia ni mkoa bora , bado una kaushamba kwa mbali kutembea na sifa za mikoa , sasa hivi napata kila kitu kutoka Dar tena chimbo halafu sikai huko ...Dar ina watu tuseme maximum milion 10 , halafu mikoani kuna watu zaidi ya mil 50 . Tumia akili hapo kama unazo.
 
Yaani Haya Maisha Bwna.

Yanaweza kuwa yamekupiga Chenga ila bado ukawa unaamini umeyapata.

Hasa hasa kama una ishi Dar kuna kaimani kanakujia kichwani kwamba huko Mbeya hakuna kitu, kuna kasumba inakupumbaza kichwani kwamba huko Mtwara kumejaa maskini tu na hakuna hela. Yaani Kichwa kinajaa na kuvimba kabisa kwamba wanaoishi Singida au Nzega Tabora ni watu wenye hali duni.

Tena kuna kitu kinakujaa kabisa unaamini watu wa Tanga wanakula bata gani bwana? Kuna nini cha ajabu Tanga? Kwanza kule Rami yenyewe ya magumashi.

Kumbe Hapo Dar ulicho nacho ni Geto la Chumba Master, Sebule na Jiko, TV ya Nchi 50, Saboofa la Aborder na Mademu kama wawili hivi wa kubadilisha badilisha na wanakugombania.

Huku Mkoani Nachingwea, Dumila, Handeni na Rufiji Vijana wana miliki Mamilioni ya Fedha na Miradi kadhaa isiyohamishika yenye thamani mpaka 200M.

We mali zako hazifiki hata 10M na hilo Duka lako la Mpesa, Tigopesa, halopesa etc.

Huku watu wanakula Bata si la Nchi hii. Wana Majumba mazuri, watoto wa kwenda.

Magari ya kufa mtu ya kifahari hata kama hayafiki 50M lakini hizi za 15M, 18M, 20-25M hadi 45M zipo za kumwaga.

Wewe unajidai mademu wawili wamejaa Enjoface na Macream huku watu wanapiga hadi 8 Kuku wa Kienyeji.

Kwenye Biashara ndio usiseme. Mshindo mmoja tu unatoboa maisha.
Kwahyo tuhamie kijijini na nani atabaki mjini kuagiza mizigo kijijini sasa 🤨🤨
 
Mkitaka kufahamu dar ni ya hovyo nendeni mkatembee mwananyamala kwa bahresa au kwa kopa😁😁😁
Huna tofauti na kipofu aliyeona mwezi, kwamba sample yako ya Dar ni Mwananyamara?

Kwa nini usiseme mtu aende Oysterbay, Masaki, Mbezi Beach, Mbweni, Goba, Kijichi, Chang'ombe, Kigamboni and likes?

Unadhani duniani kuna nchi hakuna sehemu ya hovyo? Labda Scandinavia.
 
Back
Top Bottom