Ukiwa Mtu Mzima Utagundua Kwamba Salamu Ya Shikamoo Ni Mtihani

Sasa ile juzi nikakuiga nikapiga kitu cha buffalo trace na ngoma ikazima kuja kuzinduka saa 5 asubuh 🤣🤣
Mimi kwa Sasa naona alcohol persistence imekua kubwa inabidi nipunguze kabisa.

Noma Sana wewe utakua una kunywa nyingi eeee piga mdogo mdogo Kama Juzi nilipiga lost la kitimoto nikawa napiga konyagi sisikii kitu.

🤓😁
 
Kuna maza mmoja hv uku uswaz anawatoto wanne kiukweli namsalimiaga za sa hizi ila kimuonekano ana mwili mkubwa na sura yake ni ya ki utu uzima. Sasa juzi kati nimeambiwa ana 37 na ilikuwa imebak kidogo tu nianzage kumuamkia huyo maza kumbe ni mdogo angu tu.
 
Mimi kwa Sasa naona alcohol persistence imekua kubwa inabidi nipunguze kabisa.

Noma Sana wewe utakua una kunywa nyingi eeee piga mdogo mdogo Kama Juzi nilipiga lost la kitimoto nikawa napiga konyagi sisikii kitu.

🤓😁
Dah katika kitu napambana ni mazoezi ya mwili na vyakula vya kusafisha sumu mwilini
 
Kabisa braza na mtu akiniona kama mlokole flani kumbe chapombe, maji mengi ,maziwa fresh, matunda ,supu ya samaki , na mboga za majani na mazoezi makali ndio siri yangu bwashee
Hapo kwenye avatar yako ukimaliza hiyo chupa ya 750ml ni USINGIZI mzito balaa.
 
Kiuhaliasia shikamoo siyo salamu
 
Shikamoo pesa kama ulikuwa hujui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…