Ukiwa Mtu Mzima Utagundua Kwamba Salamu Ya Shikamoo Ni Mtihani

Ukiwa Mtu Mzima Utagundua Kwamba Salamu Ya Shikamoo Ni Mtihani

79 si una miaka 45 tu? Mbona kama mvi zimekuja mapema sana?

Mimi principle yangu ninayotumia kama MTU huna uwezo was kunizaa, sikuamkii shikamoo, maana unaweza kuta watu umewazidi umri shikamaoo, (au wanafikiri umewazidi umri wakakushangaa)
The same here , mie ni ambao nazaliwa wakiwa na 18/19/20 ndio nasalimia ama natumia reference mtt wa mwisho kwa tumbo alilotokamo baba yangu
 
Ni mtihani kweli, unaweza kumsalimia mtu habari za saa hizi akakushushua kwa kukuona hustahili kumuamkia hivyo anataka shikamoo. Kuna wengine nao wanakuamkia shikamoo huku unawaona hawastahili kukupa shikamoo, ni wakubwa. Ishu nyingine inakuja kwenye kutongoza, unataka kutongoza demu mara anakusalimia shikamoo wakati we ulitaka akusalimie mambo vipi? Confidence ya kutongoza inashuka kwa kuona huyo demu ni mdogo sana kwako
 
Back
Top Bottom