Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Mimi nasalimiaga habari za asbh,mchana ama neno moja tu kwema?Dah kuna mda mimi nachanganyikiwa mpaka nasalimia vitoto shkamoo
View attachment 3347425
Ukifilisa wanakuona fala flani hv๐๐Huko home wanafki sana , wewe ni mdogo ila ukiwa na pesa hata kaka zako wanajilengesha ili uwatume tume bwashee , sasa filisika ndio utajua rangi zao๐
Madam shkamoo
Nimekuelewa doktori,napita humo humoMimi nasalimiaga habari za asbh,mchana ama neno moja tu kwema?
Au habari za Leo ama za uzima shikamoo sii toi ovyo ovyo
Wakoloni ndio walileta hii salamu. Kuna siku nipo nchi jirani mmama mtu mzima sana kwangu akaniambia shikamoo. Alifikiri hiyo salamu kwa Tanzania ni kama habari๐Kuna kipindi hakuna namna,siku moja niliamkiwa na mtu aliyenizidi miaka mitatu kisa mvi
Mimi huwa nasema pole na kazi ili kukwepa kutoa shkamoo ๐ hasara ni pale kuna vibinti virembo kabisa navyo vinanipa shkamoo๐ฅฒMimi nasalimiaga habari za asbh,mchana ama neno moja tu kwema?
Au habari za Leo ama za uzima shikamoo sii toi ovyo ovyo
Wanawake ndio mtihani kwakweli tena wakiwa na mwili,sio poaNimehangaika sana,kwa kweli hii salamu ya shikamoo haifai,hasa hasa wanawake ndo huwa wananichanganya zaidi unamuona unahis ni mkubwa sana kumbe ni kinda tu
baadae niliamua kama huna muvi nyingi na makunyanzi sikupi shikamoo
Sijambo madam ,naomba buku eeeMaraba, Marhaaabaaaa๐๐๐hujambo kaka
Na wewe ungemwambia shikamoo๐๐Wakoloni ndio walileta hii salamu. Kuna siku nipo nchi jirani mmama mtu mzima sana kwangu akaniambia shikamoo. Alifikiri hiyo salamu kwa Tanzania ni kama habari๐
Pesa ni muhimu kakaBlaza una penda pesa kinouma
The same here , mie ni ambao nazaliwa wakiwa na 18/19/20 ndio nasalimia ama natumia reference mtt wa mwisho kwa tumbo alilotokamo baba yangu79 si una miaka 45 tu? Mbona kama mvi zimekuja mapema sana?
Mimi principle yangu ninayotumia kama MTU huna uwezo was kunizaa, sikuamkii shikamoo, maana unaweza kuta watu umewazidi umri shikamaoo, (au wanafikiri umewazidi umri wakakushangaa)
๐๐Wakoloni ndio walileta hii salamu. Kuna siku nipo nchi jirani mmama mtu mzima sana kwangu akaniambia shikamoo. Alifikiri hiyo salamu kwa Tanzania ni kama habari๐
Unaona hapa sina changu๐๐Mimi huwa nasema pole na kazi ili kukwepa kutoa shkamoo ๐ hasara ni pale kuna vibinti virembo kabisa navyo vinanipa shkamoo๐ฅฒ
Sijambo madam ,naomba buku eee
Tena wanawake wa dasalama na mikoa ya pwani, Tanga hawapendi uwasalimie SHIKAMOO wanaona kama unawazeeshaa ๐๐๐๐Nimekuelewa doktori,napita humo humo