Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
- Thread starter
-
- #41
Ni sahihi kabisa,yani hapo mtihani sehemu mbili unaweza kuamkiwa na wakubwa kwako,nawe waweza amkia wadogo kwako,,ni shidaaa!Ni mtihani kweli, unaweza kumsalimia mtu habar za saa hizi akakushushua kwa kukuona hustahili kumuamkia hivyo anataka shikamoo. Kuna wengine nao wanakuamkia shikamoo huku unawaona hawastahili kukupa shikamoo, ni wakubwa. Ishu nyingine inakuja kwenye kutongoza, unataka kutongoza demu mara anakusalimia shikamoo wakati we ulitaka akusalimie mambo vipi? Confidence ya kutongoza inashuka kwa kuona huyo demu ni mdogo sana kwako
Kuna siku nilinyoa ndefu nikaacha masharubu kama hamita bachani ,ndio hapo madogo wani salimu shikamoo babu nikaogopa sana.Unaona hapa sina changuππ
Kweli kabisa siku moja nimemwamkia mwanamke mmoja kala bati mpaka nikajuta aiseeTena wanawake wa dasalama na mikoa ya pwani, Tanga hawapendi uwasalimie SHIKAMOO wanaona kama unawazeeshaa ππππ
Haaahaa π βΊοΈ SHIKAMOO ya Binti naiitikia na mbususu / papuchi unaiomba vizuri TU.Mimi huwa nasema pole na kazi ili kukwepa kutoa shkamoo π hasara ni pale kuna vibinti virembo kabisa navyo vinanipa shkamooπ₯²
We mangi umenifanya nicheke mbele za watu naonekana punguaniππKuna siku nilinyoa ndefu nikaacha masharubu kama hamita bachani ,ndio hapo madogo wani salimu shikamoo babu nikaogopa sana.
Marhaba mwanangu,hujambo?Etugrul Bey shikamoo fazaa
Hataki SHIKAMOO ππEtugrul Bey shikamoo fazaa
Hii inachanganya sana aisee,sisi kinyakyusa Haina mkubwa salamu, ugonile, ugonile full stop!View attachment 3347358
Hiyo namba ndio mwaka wangu wa kuzaliwa,ulivyokuwa na hamu ya kujua Etugrul Bey ana miaka mingapi utapiga hesabu bila aibu ujue nina miaka mingapi,usijichoshe hii may nimetimiza miaka 46,je kuna mwenye shida na hilo?
Nakumbuka nikiwa Chuoni kuna mtu wa Library kipindi hicho alikuwa kwenye 40's akasema ukiwa na umri huu ni mtihani,unaweza usisalimie watu kwa kuwaona mnalingana au ukajikuta unawasalimia wadogo zako kwa umri
Aisee sasa namuelewa sana,kwanza namshukuru Allah nimejaaliwa mvi za kutosha tu,ishu ni kwamba huwa sometime nashindwa kuwaamkia watu nisio wajua kwakuwa naona kama nipo sawa nao tu,lakini sometime najishtukia naona kama nilipaswa kuwaamkia
Hii salamu ya Shikamoo sio poa kwasababu inamtaka mdogo amsalimie mkubwa,lau tungekuwa na salamu flani hivi ambayo haibagui mkubwa na mdogo ingekuwa poa sana, kwa mfano salamu ya "habari za asubuhi au mchana au jioni" haina mfumo wa mkubwa au mdogo
Najua watoto wa elfu mbili hamuelewi hili kama ambavyo nami sikumuelewa yule jamaa wa kule library kule Chuoni,sasa nimemuelewa,nanyi pia mtakuja kumuelewa Etugrul Bey siku moja when u turn 40's
Kama kuna mtu ambaye anamjua alieanzisha hii salamu aniambie,kwani namhitaji huyu mtu anipe maelezo ya kina ilikuwaje wameturithisha hii salamu.
Ni hayo tu!
π€£π€£π€£π€π€π€π€Kuna siku nilinyoa ndefu nikaacha masharubu kama hamita bachani ,ndio hapo madogo wani salimu shikamoo babu nikaogopa sana.
Nimeipenda sana hiyo expert wanguHii inachanganya sana aisee,sisi kinyakyusa Haina mkubwa salamu, ugonile, ugonile full stop!
Unaweza hisi kioo sio originalπππ€£π€£π€£π€π€π€π€
SHIKAMOO Babu lazima uende kwenye kioo.
Dah sasa hivi unaweza salimia hata mtoto ,nasikia vitoto vya daslamu vinaumuka harakaπ€Haaahaa π βΊοΈ SHIKAMOO ya Binti naiitikia na mbususu / papuchi unaiomba vizuri TU.
Wanawake wa dasalama,pwani ,Tanga hawapendi uwasalimie SHIKAMOO wanaona kama unawazeeshaa π π Hawa wasalimie salamaleko au habari ama mambo vipi..
Sina baya doktori huwa naitikia sana,ishu ni mimi kushindwa kuamkia watu kwa kuhisi ama ni rika langu au wadogo zanguHataki SHIKAMOO ππ
Mimi naitikaga Tena kwa furaha na bashasha kubwa kubwa.