Ukiwa na akili kubwa kupata mke au Mume Tanzania ni ngumu sana. Mpaka ujishushe uchague mwenza akili ndogo

Nakubaliana na wewe. Nampata yule najua labda ni muda wangu. Mwezi mmoja tu nagundua ni garasa. Mwaka jana nimewapa muda wa3 lakini nilichokikuta ni ujinga-ujinga tu. Bahati mbaya nimeshachoka kukaa peke yangu, hata sijui nafanyaje
Tumia zile hesabu zako za Kihasibu. Utapata kwa urahisi sana ndugu Mwasibu. 😁
 
Mwanaume hautakiwi kujishusha hata siku moja. Pambana ujiongezee thamani na baada ya hapo watajileta kama nzi na mwishowe utachagua anaekufaa. Mwanamke unaetakiwa kuoa haumfuati wala kumbembeleza kuna mazingira yatakuja tu utashangaa mambo yanakuwa marahisi kwako ukiwa nae. Mwanamke yeyote anaekushushia thamani ikiwemo anaekufanya ujishushie thamani huyo sio mke wa kuoa. Hata kwa wazungu mwanaume anaejishusha ni yule ambae hana hela na anagawana majukumu na mke wake 50 50. Mabilionea wa huku ana mke na bado ana vimada na mke bado anatulia. Sijui hii kasumba ya wanaume kujishusha mliitoa wapi ?
 
Mke wa brother ameondoka kwao baada ya mume kukataa kujishusha.

Kitu cha ajabu sana mwanamke anatoroka kurudi kwa wazazi wake kisa tuu ameshindwa kumtawala mume kwa kila namna.

Ndoa za siku hizi zimekuwa za ajabu ajabu
Hatar sana mkuu.

Tatizo kuna Majamaa wachache wanachangia sana dada zetu kuwa na hii mentality.

Mfano mzuri humu majukwaani wanaotetea ndoa ni wanaume pia uki mcheki yupo incompetent kwenye kuhandle ndoa basi ni shida tupu.

Kiukweli mkuu ndoa hazina maana tena sikuhizi.
 
Ukweli mchungu Sana huu hongera kiongozi kwa kuleta utafiti yakinifu Kama huu naongea kwa hisia zote kwa sababu ni ukweli mchungu Sana ya kwambq hakuna mwanamke mwenye akili Tanzania
Watasema unachuki mkuu.
 
Hapo kwenye ..."amtii" ndipo ulipochemsha. Sasa kama mwanamke hamtii mume huyo ni mke ama business partner?
 
@dronedrake
 
Ulimuelewa lakini mtoa comment aliposema wanawake wote wapo sawa alimaanisha kwenye masuala gani, anyway hapo kwenye classes kwani kwa wanawake hakuna high, mid na low ni vigezo gani umetumia kusema kwamba wanawake wote duniani wanakuwa treated the same, halafu pia una uhakika kuwa wanawake nao hawajagawanyika katika hayo makundi ya alpha, beta na sigma kwamba wanawake wote duniani wanawatreat wanaume wao sawa
 
Hapo kwenye ..."amtii" ndipo ulipochemsha. Sasa kama mwanamke hamtii mume huyo ni mke ama business partner?
Mhudumie ili akutii mkuu kwa sababu hicho pekee ndio msingi wa utii wa mwanamke kwa mwanaume wake, kitendo tu cha kutaka akusaidie majukumu yako huyo tayari ni business partner, ukikubali kumpa majukumu yako basi uwe tayari na kumpa nafasi yako
 


Nakubaliana na Wewe 500%.

You Are Absoulutely Right.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…