Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umepigaje hapoI agree with you. All Kataa ndoa people are also cowards and incompetent people, living in a foolish age era.
Tumia zile hesabu zako za Kihasibu. Utapata kwa urahisi sana ndugu Mwasibu. 😁Nakubaliana na wewe. Nampata yule najua labda ni muda wangu. Mwezi mmoja tu nagundua ni garasa. Mwaka jana nimewapa muda wa3 lakini nilichokikuta ni ujinga-ujinga tu. Bahati mbaya nimeshachoka kukaa peke yangu, hata sijui nafanyaje
Hasibu la mchongo linashindwa kufanya account reconciliation.Tumia zile hesabu zako za Kihasibu. Utapata kwa urahisi sana ndugu Mwasibu. 😁
Mwanaume hautakiwi kujishusha hata siku moja. Pambana ujiongezee thamani na baada ya hapo watajileta kama nzi na mwishowe utachagua anaekufaa. Mwanamke unaetakiwa kuoa haumfuati wala kumbembeleza kuna mazingira yatakuja tu utashangaa mambo yanakuwa marahisi kwako ukiwa nae. Mwanamke yeyote anaekushushia thamani ikiwemo anaekufanya ujishushie thamani huyo sio mke wa kuoa. Hata kwa wazungu mwanaume anaejishusha ni yule ambae hana hela na anagawana majukumu na mke wake 50 50. Mabilionea wa huku ana mke na bado ana vimada na mke bado anatulia. Sijui hii kasumba ya wanaume kujishusha mliitoa wapi ?Ukweli mchungu ni kwamba smart potential spouse wapo wachache sana Sokoni
Ukiwa na akili kubwa kupata mke Tanzania ni ngumu sana. Mpaka ujishushe ukubali kuoa kilaza
Sababu ukiwa na akili kubwa unakuwa una akili ya kumsoma mtu.
Pia Kama una pesa umetafuta mwenyewe kwa jasho lako. Maana yake wewe una akili nyingi. Pesa hazipatikani kijinga..
Ukiwa na akili na una vipesa utapata shida sana kupata mtu wa kuoa.. maana wenye akili wapo wachache.
High value men ngumu sana kumpata high value woman hapa Tanzania. Sio kwamba hawapo ila wapo wachache sana sokoni.
Kwa ufupi smart potential spouse wapo wachache sana Sokoni. Wanaopatikana kiurahisi ni wale akili ndogo, Wazembe, wavivu, wapenda kulelewa.
NOTE : AKILI KUBWA HAIMAANISHI ELIMU KUBWA
You can have a PhD and still be an idiot! Education and intelligence are two different things.
Hatar sana mkuu.Mke wa brother ameondoka kwao baada ya mume kukataa kujishusha.
Kitu cha ajabu sana mwanamke anatoroka kurudi kwa wazazi wake kisa tuu ameshindwa kumtawala mume kwa kila namna.
Ndoa za siku hizi zimekuwa za ajabu ajabu
Watasema unachuki mkuu.Ukweli mchungu Sana huu hongera kiongozi kwa kuleta utafiti yakinifu Kama huu naongea kwa hisia zote kwa sababu ni ukweli mchungu Sana ya kwambq hakuna mwanamke mwenye akili Tanzania
Hapo kwenye ..."amtii" ndipo ulipochemsha. Sasa kama mwanamke hamtii mume huyo ni mke ama business partner?Hili hata mimi nimeliona kwa wanawake wenye akili kubwa kupata mume siyo Tanzania tu bali Africa ni mtihani kwa sababu wanaume wengi wa kiafrika hawana logic, yani karne hii bado kuna mwanaume anawaza mke amsaidie majukumu yake ya kutafuta pesa na bado anataka huyo huyo mke ampikie, amfulie, amtii na bado amlee kama mtoto mdogo, ni mwanamke aliye desperate na ndoa na mwenye low self esteem tu ndiye anayeweza kufanya huo upumbavu
@dronedrakeNow days
Ndoa ni kwa wanaume wapumbavu pekee!.
Hapo uliposema "mpaka ujishushe"
Mimi nimeelewa hivi
Kujishusha=submissiveness
A man should not be submissive to anything or anybody (INCLUDING FRAUDULENT WHITE BOY AND HIS FATHER DIPICTED IN A BLACK BOOK)
Thus why
MGTOW is the best possible way for smart people.
KATAA NDOA IS THE BEST AND SMARTEST WAY FOR A MAN.
I am so anxious about you brother my be you are now at Shivaz near to TECNO building Arusha.Fools sleep with everybody they come across, marriage is not for fools, all kataa ndoa are fools, wanalala na demu yeyote yule
Dronedrake anaangalia muvi ya MALENA ngoja atakuja baadae.@dronedrake
Unaona ujinga huo. Halafu bado wazazi wakampokeaMke wa brother ameondoka kwao baada ya mume kukataa kujishusha.
Kitu cha ajabu sana mwanamke anatoroka kurudi kwa wazazi wake kisa tuu ameshindwa kumtawala mume kwa kila namna.
Ndoa za siku hizi zimekuwa za ajabu ajabu sana
I was there last night, now I'm on Sakina Streetbrother my be you are now at Shivaz near to TECNO building Arusha.
Ulimuelewa lakini mtoa comment aliposema wanawake wote wapo sawa alimaanisha kwenye masuala gani, anyway hapo kwenye classes kwani kwa wanawake hakuna high, mid na low ni vigezo gani umetumia kusema kwamba wanawake wote duniani wanakuwa treated the same, halafu pia una uhakika kuwa wanawake nao hawajagawanyika katika hayo makundi ya alpha, beta na sigma kwamba wanawake wote duniani wanawatreat wanaume wao sawaKwenye macho ya system
Wanawake wote ni sawa
Wanaeake wote wanakuwa treated kwa sawa kwasababu they are in the same class (high value)
Wanawake wote ni high value
Duniani kote.
Hata kihistoria mpka hivi leo tunavyoongea.
Mpaka kunawakat sheria huwa inapindishwa kwasabb tu muhusika ni mwanamke.
Do i need to justfy this?
Naturaly all women need to be:
1.Protected
2.Loved unconditionally
Kwa wanaume kuna
Classes nyingi.
1. Upper class
2.middle
3.Lower class
Pia kuna subcatezgories kwenye uper na middle class..
SOCIAL RELATIONSHIP WISE CATEGORIES
1.ALPHA
2.BETA
2.SIGMA
NK.
nyingine huwa zinaingia kwenye hizo tatu juu..
Ninaweza nikageralize kwenye categiries 2, ambazo ni
1. High value men
2. Low value men.
Nitajitahidi kuelezea nivyoelewa kulingana na unavyouliza
Mhudumie ili akutii mkuu kwa sababu hicho pekee ndio msingi wa utii wa mwanamke kwa mwanaume wake, kitendo tu cha kutaka akusaidie majukumu yako huyo tayari ni business partner, ukikubali kumpa majukumu yako basi uwe tayari na kumpa nafasi yakoHapo kwenye ..."amtii" ndipo ulipochemsha. Sasa kama mwanamke hamtii mume huyo ni mke ama business partner?
Ukweli mchungu ni kwamba smart potential spouse wapo wachache sana Sokoni
Ukiwa na akili kubwa kupata mke Tanzania ni ngumu sana. Mpaka ujishushe ukubali kuoa kilaza
Sababu ukiwa na akili kubwa unakuwa una akili ya kumsoma mtu.
Pia Kama una pesa umetafuta mwenyewe kwa jasho lako. Maana yake wewe una akili nyingi. Pesa hazipatikani kijinga..
Ukiwa na akili na una vipesa utapata shida sana kupata mtu wa kuoa.. maana wenye akili wapo wachache.
High value men ngumu sana kumpata high value woman hapa Tanzania. Sio kwamba hawapo ila wapo wachache sana sokoni.
Kwa ufupi smart potential spouse wapo wachache sana Sokoni. Wanaopatikana kiurahisi ni wale akili ndogo, Wazembe, wavivu, wapenda kulelewa.
NOTE : AKILI KUBWA HAIMAANISHI ELIMU KUBWA
You can have a PhD and still be an idiot! Education and intelligence are two different things.
Mapambano gani tena hayo jamani?Huu ni ukweli ukiwa na akili timamu tanzania mke mume ni mapambano.
UsioeNakubaliana na wewe. Nampata yule najua labda ni muda wangu. Mwezi mmoja tu nagundua ni garasa. Mwaka jana nimewapa muda wa3 lakini nilichokikuta ni ujinga-ujinga tu. Bahati mbaya nimeshachoka kukaa peke yangu, hata sijui nafanyaje