Ukiwa na mkeo jizuie kupepesa macho

Kwa nini nijizuie it's natural na nisipoangalia nahisi nadaiwa kwa hiyo mwili unaproduce cortisol ambayo si nzuri kwangu.Acha niangalie.
 
nilichojifunza katika hili mke anahitaji atesheni yako sana hasa mnapokua mmetoka, kinyume chake utamfanya ajisikie vibaya
Wakwangu ananiambiaga "geuka, au kwa vile nipo ndo unapata shida huwez kugeuka" anaongeza "vipi nikuombee namba?"

Yani mi na yeye ni masela maana anaelewa binadamu anajichunga mwenyewe!
 
Kwa nini nijizuie it's natural na nisipoangalia nahisi nadaiwa kwa hiyo mwili unaproduce cortisol ambayo si nzuri kwangu.Acha niangalie.
ukiwa na mwenza bora ukafanya kiutani utani maana anaeza kukufikiria vibaya
 
Wakwangu ananiambiaga "geuka, au kwa vile nipo ndo unapata shida huwez kugeuka" anaongeza "vipi nikuombee namba?"

Yani mi na yeye ni masela maana anaelewa binadamu anajichunga mwenyewe!
mkeo yupo vizuri
 
Hasa kikipita kitu kama hicho yna2 hapo lazima tu ugeuke,hata kama hutaki
 
Asee wewe una tabia kama ya Ex wangu wa Kihindi
 
Sio unageukaa mshingoo woteee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yani unaangalia chap imeishaa hiyoo hakuna Mwanamke anaependa kuona unamtamani mwanamke mwingine mbele yakee..!!

Hao wanaosema sijui akuombee na namba deep down maumivu yake anayosikia acha tuu...
 
Nikinuna we ninunue kwa hela, niwekee hela kwenye matiti na kitovu, ntakupa tabasamu na vingine. Ila ukirudia tena kunifanya ninune, bei ya kuninunua inaongezeka... kazi kwako.
😂😂😂Kumbe mnuno una gharama zake😂😂😂
 
Huyo wife mbona ana uafadhari mkubwa tu.

Mimi nimekuta contact zote za wadada wakali zimefutwa kwenye simu yangu.

Haijalishi ni colleagues, ndugu wala jamaa yangu wote wameishia kupigwa block na kuzi delete namba zao.
 
Huyo mke anashida zake,wengine tunakula kwa macho njia nzima hatuulizwi,sasa wewe hilo nalo ni kosa,sasa ukikutwa na ms utapigwa wewe
 
Ulifanya vyema kuomba radhi,ila siku nyingine,akikuuliza mwambie namfananisha huyo demu na mdada mmoja alinikopa fedha siku nyingi sana akaingia mitini
 
We ni mwanaume dhaifu..endelea kujishusha mpaka uzame
 
.............Umefanya kosa ila umefanya kosa kubwa zaidi kuomba msamaha kwa mkeo, umeshindwa kusema hata “nilikuwa naangalia plate number ya chombo chochote ambacho kilikuwa nyuma yenu kwamba kama unakifananisha na cha fulani”,au kama hamna ungesema nilikuwa nasoma tangazo lile pale kwenye mti.

Hapo hata angekataa story ingebaki wewe kutetea hoja zako ila kuonyesha udhaifu kama huo kwa mkeo anaweza akakushushia heshima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu mtihani huwa naushinda ninapokuwa na mwanamke yeyote.
Ila huwa unahitaji moyo mgumu.
 
siiku zote mwanamke huipamba dunia...flowers of the world....mie huwa naomba ruhusa kabisa.....hawezi ninyima coz anajua farahi ya macho haifilisi duka.........kuna viumbe kike vimefinyangwa jamani..........hahahahaaaa....kuna jamaa mkewe kamwagia waji ya moto usoni......kisa anapepesa sana...na haishii hapo....
 
kibishi bishi...yes.....huu ndio uanaume.......hahhaahaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…