Ukiwa na mkeo jizuie kupepesa macho

Hapo ulikosea kitu kimoja kikubwa sana, ikiwa utakamatwa hivo sema maneno yaha kwa mkazo, ninashukuru mke wangu hauvai mavazi yasiyo na staha kama yule, hana heshima na anamshushia heshima mumewe. Anaonekana kituko njia nzima. Twende zetu mke wangu mzuri ukale mbuzi katoriki. Hapo umemaliza kabisa
 
Mkuu, ikiwa unataka kugeuka uangalie hakikisha yafuatayo
1. Ukimwona anakuja kwa mbele yako, hakikisha unageuka unaanza kutazama atakapoelekea kabla hajakupita. Hapo utakuwa umepoteza lengo. Ulikuwa unatazama huko tangu zamani na wala si yeye aliyekufanya ugeuke
 
Na wanawake muwe na ubinadamu,unajua kabisa kuna mambo yasiyo ya muhimu naangalia mara moja napita hivi
siyo mambo ya kukatana vibao barabarani😀😀
 
Mimi ikipita pisi Kali lazima niangalie kwa timing
 
Hiyo kitu ni ngumu sana kuiepuka.... Huwa ni automatically kama kupiga chafya.
 
Hiyo kitu ni ngumu sana kuiepuka.... Huwa ni automatically kama kupiga chafya.
unajikaza tu ajili ya mwenza maana hata chafya ukiwa mbele za watu huwezi ipga direct lazima utaangalia namna nzuri ili usiwakere wengne
 
hii mbinu nzuri hasa ukishindwa jizuia kugeuka
 
hii mbinu nzuri hasa ukishindwa jizuia kugeuka
au ukikutwa unasindikiza hiyo mambo na wife usipanick kwasababu atakuwa anakuangalia reaction yako so unachotakiwa ni utikise kichwa kwa huzuni atakuuliza nini,mwambie umechoka na hii dunia na mwambie kwa kuona yasiyo mpendeza mung
 
mkuu naona we ni mtaalam wa hizi mambo
 
Daah nimemkumbuka x Siku moja tulikua kituoni tunasubiri daladala basi ikapita pisi kalii nikamsukuma kdogo kimbea na mkono nikashangaa akanyanyua uso kuangalia kulikoni!!! Sikutegemea nilidhani nikimpush kimbea ataniangalia usoni.
 
Je wanawake nao wanapepesa macho wakiwa na waume zao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…