Ukiwaelewa na kuwajua wanawake huwezi kuoa

Mkuu huyu ni mwanamke mmoja au kundi kubwa la wanawake?
 
Inasikitisha sana...Chanzo cha mabaya ni pesa na wasichana chunga sana alishasema Salu T.

Ni kweli.

Kwa Mwanamke ubaya wake huja kwa njia mbili kama alikuwa hakupendi

1. Ukianza kuishiwa au kufilisika
2. Akianza kupata nguvu ya kiuchumi.
3. Akipata umashuhuri

Ni hayo tuu
 

No 4… hapo umefika mbali wanawake hatunaga hela [emoji18][emoji18]
 
Kaka tulia na Mke wako japokuwa anapenda sana kumskiliza mchungaji.

Naona Ile kesi ya mkeo na mchungaji iliisha Salama.
Ahahahah.
Hapana chief. Labda utakua umeni changanya.
Kuna kesi moja tu niliowah izungumzia kuhusu mchungaji nayo ilikua inamuhusu aunt yetu.

Yan mke nioe mimi halaf akamsikilize mchungaji?? Mbona nitamhamishia huko huko wakaishie sio kusilizana tu bali hata miti wapigane
 
Wachungaji wanapenda kuchunga mifugo sio yao.
 
Wanawake tulipewa ili tuwatindue tu wewe unayeogopa hufai yaani kavae kibin tu
 
Mfalme sulemani alisema kadri unavyokua na maarifa ndio unakua na huzuni. Ukiyajua ya viongozi wa dini utaacha kwenda kusali
Unasema ukweli kabisaa. Kuna siku nilikutana na padre anasema ana stress kinoma. Kwa sababu ya elimu yangunkuwa ndogo nikashangaa, ina maana hajasoma maandiko "
Mathayo 11:28
[28]Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha."..
Kwa huyo Sisi huwa anatusimulia story za bulicheka???
 
Enheeeeee! Vyote hivyo, we unatutafutia tusiolewe sasa!

Na mwanaume aweje mkuu? Au kikubwa awe anapumua tu?

😂
 
Wanaona ndio kipaumbele Chao mkuu....alafu kwann jamii inaamini usipokuwa na mke una matatzo na wengine ufika mbali nakuita wasioa mashogaa😔
Wamekuwa programmed na jamii kuwachukulia hivyo
 
Enheeeeee! Vyote hivyo, we unatutafutia tusiolewe sasa!

Na mwanaume aweje mkuu? Au kikubwa awe anapumua tu?

😂

Hivyo ni vitu vidogo sana kwa Mwanamke kuwa navyo

Mwanaume awe Mtibeli tuu
Ndoa na maisha yako yote yatakuwa na Furaha
Yaani duniani kama mbinguni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…